Haki ya annate na yule mwanae itapatikana tu hata ichelewe vipi. Hata atumie hela vipii damu ya yule dada na mauaji yale ya mateso ya kuchinjwa kama kuku haitapotea kamwe
Mabosi shikamooni,
Mnakuwa kwenye mashirika makubwa tu, marupurupu yapo ya kutosha ila mnakula peke yenu....kwa nini mkila na vipofu mnawashika mikono?
Wataabikaji na wafanyaji kazi wa kweli ni sisi, ripoti zenu zinategemea sana sisi tulichokifanya yaani kwa maana nyingine wavuja jasho ni...
Najua unajua jamaa ni majisifu flani hivi kuwa makini bidada shogare. Jamaa ni mvunja mioyo anajitilisha huruma kwa namna hiyo ameshapita na wengi jamii. Sikio la kufa endelea kwa kuwa husikii.
Nasubiri omo
Sitajibu lolote msiniulize tafadhali
Niko najipikilisha hapa Usiku kucha.....mabites kama yote. Mwaka ulikuwa mgumu sana ila kwakuwa bado napumua ngoja niufunge kwa kula vizuri na kumshukuru Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
si mna wa kwenu? waleeni kikamanda. au zaeni wa kwenu mlee mtakavyo
kumbukeni watoto hawafanani, na kuna umri hata uchape vipi mtoto hasikii. mnaweza kuwalaumu wazazi ila wengine watundu mnoo
Kama unatokea Dar Shuka Same mjini ulizia ofisi za kilenga au stendi ya chome. ukifika hapo utaelekezwa. Saa 12 jioni kuna pickup yake inabebeba wateja wake kwa sh 2000 tu. Anatibu magonjwa yote maana anatumia Miti shamba. Siku za kazi ni jumamosi na jumapili tu. Kula na kulala bureeee 100%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.