Search results

  1. Bones

    Kuitwa Interview Viettel

    Hawa jamaa jana walikuja home maeneo ya science walikuwa wanaulizia site kwa ajil ya kuweka mnara wao wa simu so nadhani wapo really.... ila hawajui kingereza hata zaid dereva wao ndio mkariman wao...
  2. Bones

    Kozi hii ya SUA inalipa????

    Acha dharau ndg, kwani sio kila course SUA inahusu kilimo kuna Bsc Enviromental Science, Bsc Informatics, Bsc Education, Bsc Tourism, Bsc Rural Dev't, jiheshmu kijana sio wote wakulima!
  3. Bones

    Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

    Kazi yake ni utoaji taka mwilini ila kwanini wengne hawana? Au unamaanisha wa2 wa aina hyo ni wasafi wa nje na wachafu ndani ya mwili?
  4. Bones

    Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

    Kwanini au unampenda mtu awe na vinyweleo?
  5. Bones

    Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

    Kwa ufaham wangu anasema unapaka asali!
  6. Bones

    Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

    Habari za hapa wanaJF! Hivi kuna madhara yoyote ktk mwili iwapo utaamua kunyoa vinyweleo kwa kutumia wembe au hair remover? Pia kuna gene yoyote ambayo inahusika katika urithi wa vinyweleo kuwa vingi katika mwili? Aina gani ya hair remover ambayo ipo safely na mwili wa binadamu? Natanguliza...
  7. Bones

    Nimemchoka mwanaume huyu lakini nampenda nifanyeje?

    Siku njema huanza alfajir, lakin kwa maelezo yako nadhan ucku umeshaingia! Na samaki mkunje angali mbichi, hvyo kwa semi hizo mbili yatosha kukwambia umechelewa! Tafuta mwengne mwenye kujua thamani ya utu na mwenye mapenzi ya dhati kwako! Kusaidiana kwenye mapenzi ndio msingi wa penzi la...
  8. Bones

    Hodi wangwana!

    Ahsante sana MUUNGWANA Criss, tupo pamoja!
  9. Bones

    Mapenzi yapo kweli?

    Ahsante sana ila kwa level niliyopo naweza hata kuwa na mke na ndio maana nahtaji mwenza ingawa sijui ni wapi nitampata mwenye mapenzi ya kweli! Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako.
  10. Bones

    Mapenzi yapo kweli?

    Sio rahisi kama unavyofikiria! Ni bora usipende tena kuliko maumivu ya MOYO kwani wengi wao wanafanana!
  11. Bones

    Mapenzi yapo kweli?

    Nashndwa kuamini kama kweli ananipenda, siku ambayo simu yangu haipatikani huwa nina kesi kubwa ya kujibu lakin mm ninapokuta call waiting tena saa8 ucku naambia ni rafiki tu tena wa jinsia tofauti! Mbaya zaid anasema kama mtu anampenda aende kwao nami bado nasoma, pia kaniambia J'3 kuna...
  12. Bones

    Hodi wangwana!

    Hakika ungwana ni vitendo na sasa naamini! Ahsante sana Katavi na Sweetlady kwa ukarim wenu!
  13. Bones

    Hodi wangwana!

    Kweli sasa najihisi nipo nyumbani, ahsante sana kwa chai! Iman na ukarimu ndio hulka yetu waungwana ambayo tumerithi kutoka kwa wazee wetu, hvyo TUIDUMISHE idumu daima nasi!
  14. Bones

    Hodi wangwana!

    Waungwana husalimiana, habari za hapa ndani! Mwenzenu mgeni hapa hvyo nahtaji wenyeji waniongoze, natanguliza shukrani zangu kwenu! Ahsante.
Back
Top Bottom