Search results

  1. E

    Mrema na Al-Shabab wa Morogoro!!

    Da'awa ni mawaidha( mahubiri) ila da'awa inaruhusu maswali na majibu tofauti na mahubiri ambayo huwa ya upande mmoja.
  2. E

    Serikali iingilie kati tiba ya Dr. Ndodi wananchi wanaliwa fedha nyingi na hawaponi

    nakumbuka yule mama baada ya kumsikiliza majibu yake mimi niligundua kuwa sio shuhuda bali ni mtu wa karibu na ndodi. Jinsi alivyo anza kujieleza ilionesha hajui ila alimshukuru ndodi,jinsi alivyobanwa kwa maswali na mtangazaji basi alianza kujichanganya na hatimaye nikagundua ni mtaalam wa...
  3. E

    Mrema na Al-Shabab wa Morogoro!!

    Shabab maana yake ni kijana.Hivyo hiki ni kikundi cha vijana(youths) ambacho kinakusudia kuwazindua waislam hasa vijana kwa kuwa wao ndio taifa lenye nguvu na muono wa maendeleo kiuchumi na kiimani.
  4. E

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    Mambo ya Zitto jamani inatosha! Nimesema kuna watu wanataka umaarufu kupitia jina la Zitto.Sasa mada juu ya Zitto zinatosha kwani kama kuchafuliwa imekuwa too much!Hana mazuri tukamsifia? Leo hii ni thread ya pili ya Zitto! Jamani hii inatosha!
  5. E

    Bungeni Live: Waziri Mkuu ajibu maswali ya papo kwa papo!

    Kuna maswali na majibu kutoka wizara mbalimbali.Nimechelewa kufungua startv nikingoja tbc1 hadi nususaa imepita,nilidhani labda leo hakuna kikao!
  6. E

    Bunge liombe radhi

    Spika ameshindwa kumanage bunge.Anakua mkali kwenye hoja za msingi za kitaifa kwa kuzizima kibabe.Kama kweli spika anaweza basi wabunge wote wa mipasho wachukuliwe hatua za kinidhamu.Mi kwa maoni yangu bunge la safari hii ni la kihuni tu,na halina tofauti na kijiwe cha mashabiki wa Simba na...
  7. E

    JK angefanya nini kwenye majimbo ya mafisadi?

    We unafikiri kisiasa wakati wa kuomba kura JK angefanya nini wakati anapita kwenye majimbo ya uchaguzi wakati wa kampeni,wakati huohuo kumbuka hali ya siasa ilikuwa ngumu kwa upande wake.Mi nadhani hakuwa na ujanja isipokuwa kuwalinda wale mafisadi ili apate kura kwani angefanya vinginevyo...
  8. E

    Sambwee Shitambara aachwa solemba na wananchi

    We sema2 unataka ka umaarufu humu JF. Hoja Zitto hapa 2shazichoka na hatuzitaki. Naomba atakayesoma reply yangu ampuuze mleta hoja na asicomment chochote, ili mwisho kapost kake kawe mbali kwenye page na kukaweka front page niku2potezea muda wa kukasoma haka kapost. Mods hubu ka2pien kwenye dustbin.
  9. E

    Udini wapenyezwa madai ya katiba; Maandamano yasifanyike Dar madai ni agenda ya kumng'a Rais

    Tatizo kuna wa2 hawafikiri japo ni wasomi na wana maGPA makali lakini vilaza.Wanajisifu kuwa niwasomi lakini hizo GPA niza kutazamia.M2 wa namna hii hafikili ila bendera fuata upepo.Waislam kuzungumza hayo ya agenda za cdm hatujakurupuka system yote tunaijua! Pangeni mnachopanga tutajua...
  10. E

    Wabunge walipwe kutokana na profession yao

    Kweli hiyo imetulia kuliko maji mtungini.Kwani ikiwa hivyo itapunguza wimbi la wataalam kuacha taaluma zao na kukimbilia kwenye siasa.Wengi wamekimbilia huko na bado wengi wanatamani,kutokana na hilo utendaji wa kitaaluma umeporomoka na kuishia kufanya kazi kwa madili na hivyo kuendeleza wimbi...
  11. E

    Msaada tafadhali

    Pole sana ndugu yangu,hapa JF inaonekana we mgeni wa kupost kama mimi.Lakini mimi nilikuwa msomaji wa wengine tu hadi nilipoamua kujinga. Ukitaka post isomwe na kuchangiwa labda ihusu chadema na kuwaponda waislam. Ushauri wangu kwako best ni uende Bayport financial services lakini hawa ni wezi...
  12. E

    Dr.Slaa alikurupuka pia!

    Hivi karibuni kumezuka maneno mengi,hasa baada ya Mufti kuwaasa waislam wasijiunge na maandamano ya kisiasa.Dr.Slaa akimjibu mufti kwa kuwa chadema ndio inayohusika na maandamano alisema Mufti hakufanya utafiti.Mi nikajiuliza mbona kuna mambo mengi tu mufti hakusema na kama angeyasema na...
  13. E

    How to use JamiiForums effectively

    Nashukuru kuwa mwanachama.Naomba mnipokee kwa mikono miwili.
Back
Top Bottom