Search results

  1. C

    Mbowe: Tendwa hana ubavu wa kuifuta CHADEMA

    [QUOT kuliko wengine ndiyo zilizochangia mauaji ya kimbari kule Rwanda kwa kuwaaminisha wahutu kwamba watusi ni mende. Naona na wewe umeanza kuleta kauli kama hizo, kwa kutaka watu waamini kwamba CHADEMA ni mbwa. In such a way kwamba hata tukianza kupigana, mtu asione uchungu kuwaua wafuasi wa...
  2. C

    Wananchi wa Ileje tunapinga kuwa sehemu ya mkoa wa Songwe na makao makuu kuwa mkwajuni Chunya

    Mimi natokea kijiji cha mkotano Wilaya ya Momba,kama mapendekezo haya yatapita nitalazimika kutembea zaidi ya km 275 kufika mkwajuni kupata huduma za kiselikari.sisi wananchi wa Momba tunaungana na wananchi wa Ileje kupinga uharamia uliofanywa na kamati ya kandoro kwa shinikizo la naibu waziri...
  3. C

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    kwa nia njema kabisa ndugu wadau naomba mnisaidi utaratibu ambao huwa unatumika kumuondoa naibu spika wa bunge.
  4. C

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    acha kuwa na mawazo finyu we gamba unataka woye wawe wanasema ndiyo,bunge la vyama vingi halipo huwa linakuwa hivyo.hapo wapinzani wanafanya kazi yao vizuri,huko ndio kuiwajibisha serikali.
  5. C

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    haisikitishi hapo inatakiwa tumshukuru Mungu kwa kuwa sasa siasa yetu inakuwa,msiogope watanzania hiyo ndiyo demokrasia ya kweli.
  6. C

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    hiyo ttc,ni teacher training college.umeposha mkuu
  7. C

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    hebu mcheki anavyofanana na osama bin laden,tunaletewa magaidi nchini alafu hawa wajingawajinga wanaanza kuwaita viongozi wao.
  8. C

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    hili nalo si ligaidi,linajiandaa kujilipua,yamedanganyika eti yanamfia mungu.ni mungu gani gaidi kama sio ufinyu wa mawazo,tena bahati yenu siku hizi mkwele zaifu ndio anaongoza
  9. C

    PICHA: Kamati ya Bunge yatembelea Jengo la Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere

    namwalimu atafundishaje darasani unataka nae akae,kwa sababu wanafunzi wamekaa.wewe ndio mshamba ambae unataka tuige kila kitu ulaya.
  10. C

    Si sahihi kwa ITV kuwapa Airtime uamsho kwa hali ilivyo sasa.

    huo ndio uhuru wa vyombo vya habari naona mtowa maada bado anaakili finyu juu ya hili.Mbona aljezira wanonesha hadi kwenye front line kabisa ya mapambano,huachi kuona.na wewe utakuwa mmoja wao hutaki umma ujue mambo yenu.
  11. C

    BBC: Askofu Martin Shao wa Zanzibar atishiwa kifo; yadaiwa akimbia Zanzibar

    tusishangae ndugu zangu tunaotoka kwa mama mkubwa,simnajua imani ya kiislam imetokana na utamaduni wa kiarabu,ambao chimbuko lao ni kutoka kwa mke mdogo wa Ibrahimu,tena na sikia alikuwa house gero.kwa lugha fasaha ya kiswahili mtoto anaezaliwa nje ya ndoa huitwa MWANAHARAMU,ndio mana hata...
  12. C

    Mafukara milioni 30, Mabilionea 30

    watu wenye mawazofinyu,wakipata bahati ya kupata ufafanuzi wa mambo mhimu ya mambo ya jamii yao,kutoka kwa watu wenye deep thinking kama ndugu zito,huanza kumtusi na kutowa maneno ambayo huakiki ujinga wao.ndugu zito ametowa analysis makini sana.nina wasisi sana na CV ya mchangiaji wa...
  13. C

    Mwalimu huyu alipwe bei gani?

    huyu jamaa nasikia elimu yake ni darasa la tatu aliishia hapo baada ya kuwa naakili nzito ambayo haikuweza kumruhusu kuendelea,ana uelewa mdogo kuliko tumbili na ngedele,sijawahi kuona mtu mjinga kama huyu jamaa
  14. C

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    mpwapwa dodoma napo shule zote za mjini,watoto hawajasoma.pia nimetembelea chuo cha ualimu mpwapwa wakufunzi hawajafika kazini kabisa.mgomo huu umefanikiwa sana,serikali isipo tumia busara watoto watamaliza hawajui kusoma tena,pia tunatarajia dv 0 nyingi sana.
  15. C

    CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

    alafu kama hajui vyuo vya ualimu ndio vimefungua kama wiki hivi,wakufunzi nao wapo kwenye mgomo,wanahudumia zaidi ya wanachuo elfu ishirini.
  16. C

    Tutazuia Sensa mahakamani na kwa maandamano ya amani - Sheikh Ponda Issa Ponda

    huyu jamaa nilisikia watu wanasema hana tofauti na taira nikafikiri anasingiziwa,wenzao wanawaza wataongezaje shule yeye anawaza kugomea sensa.sijawahi kuona watu wajinga kama ponda,hivi ni darasa la ngapi?
  17. C

    Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    ufahamu wako ni mdojo juu ya hii kada ya ualimu,watu wenye mawazo finyu kama wewe.ndio ambao wana ufauru mbovu kama wewe felia mkubwa.kama unabisha tuwekee cv yakao hapa ili tuone kama nisemayo ni uongo.
  18. C

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    nasikia huyu jamaa ni form four leaver,kama anabisha atuwekee CV yake hapa mwenyewe.badala ya kujibu suala la elimu yake ametuwekea maneno ya taraabu kama kawaida yao.
  19. C

    Je kuongeza kodi kwa wafanyakazi (PAYE) kutamkwamua mfanyakzi au ndiyo maumivu kwao?

    hapa mnatuchanganya jamani,Tunaomba anaejua PAYE inavyopigwa atusaidie.tuelewe maana ya hilo ongezeko.
  20. C

    Je kuongeza kodi kwa wafanyakazi (PAYE) kutamkwamua mfanyakzi au ndiyo maumivu kwao?

    hakuna kilicho ongezeka zaidi ya uchulo tu ndugu yangu,ngoja tuone msimamo wa TUKTA na CHADEMA maana walikuwa wamesema kodi ipungue hadi asilimia 9.
Back
Top Bottom