yo know why I love this song??? It depicts what is being preached and not being followed and to be honest I hate religion....Let me find some of the touching lyrics of Tupac about racism and share with you....
yo know why I love this song??? It depicts what is being preached and not being followed and to be honest I hate religion....Let me find some of the touching lyrics of Tupac about racism and share with you....
Maneno makali ya vijana wa Ghetto walio kata tamaa na wachungaji na mashekh feki ambao wanashindwa kutatua matatizo ya kila siku ya kijamii kwa kuwapa vijana promise za kufaidi ahera
[2Pac]
Searching for Black Jesus
Oh yeah, sportin jewels and s**t, yaknahmean?
(Black Jesus; you can be Christian
Baptist, Jehovah Witness)
Straight tatted up, no doubt, no doubt
(Islamic, won't matter to me
I'm a thug; thugs, we praise Black Jesus, all day)
Young Kadafi in this bi**h, set it...
[Verse]
Yea... Yea... Ay yo
The things I've seen in life will make you choke by suprise
Like an aborted fetus in a jar that opened it's eyes
Provoking my demise, I'll leave your spirit broken inside
Like the feeling of 50 million people hoping you'd die
And niggaz wonder why my heary is filled...
Habari wana jamii, mimi na mke wangu tuna kama miaka mitano tuko pamoja, ila kitu kinacho nitatiza nikuwa wakati tukitaka kufanya majambo...hasa kwenye foreplay huwa lubricant haitoki...what might be the problem????
Asanteni..
Ndugu mwanaume huwa habakwi, bali kulawitiwa..kubaka kwa tafasiri ya kiswahili ni kitendo cha mwanaume kuingiza umme wake kwenye tupu ya mwanamke bila ridhaa yake...Napenda ufahamu kitu kimoja hapa, kama mwanamke hajaridhia unaweza kuingiza umme wako, na hii inatokea kwa sababu ya maumbile yake...
Kwa ukweli mimi kama Raia wa kawaida sijui hasa ni zipi kazi za mamlaka hii hasa linapo kuja swala la television, tulitangaziwa kwamba Tanzania kama nchi nyingine duniani kote, inaondoka kwenye mfumo wa analogia na kujiunga na mfumo wa digitali...sawa si vibaya...Ila sasa mbona hamtuambii...
Nashauri mafunzo ya matumizi sahihi ya simu ndio yatolewe sio kupiga marufuku maana hata wakipiga marufuku hawatofanikiwa.
ni kweli lakini ukiangalia umri wao bado hawata yafuata hayo matumizi sahihi...mfano simu nyingi zina Internet ambayo ingeweza kuwasaidia kupata material ya masomo yao...
Ni bora uje na habari kamili kwasababu hii haijakamilika, inakuaje Jambazi lipige risasi juu afu polisi afe au huyo polisi alikuwa ana ugonjwa wa moyo???
Nimekua ni kifuatilia muda mrefu mijadala inayo endelea ndani ya Bunge na nikaja kubaini kuwa kunakasoro kubwa katika Bunge letu hasa kwa wabunge wa CCM, upigaji makofi wao kidogo unatia shaka!!Mimi ninachokielewa ni kuwa mkusanyiko kama ule wa watu waheshimiwa japo wengine si wasomi ila idadi...
Mh. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, huyu ndie Mbunge anae ongoza kwa taarifa katika Bunge letu, mimi ninachotaka kumuuliza ni kuwa yeye wananchi wake walimtuma kwenda kutoa taarifa Bungeni au kuisimamia Serikali pamoja na kutatua kero zinazo wakabili??? Mh. wito wangu kwako ni kuwa badilika, na...
Kwa kipindi kirefu sasa nimekua nikitafakari ni wapi sisi watanzania tunapoelekea, nimekua sipati jibu la moja kwa moja. Toka Mh. Jakaya aingie madarakani yametokea mengi na hayo mengi ni yakutisha na kusikitisha vilevile. Ni kirejea manene ya baba wa taifa kuwa kila zama na mambo yake,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.