naombeni mnipe ushauri kuhusu kukosa choo kwa mtoto mdogo aliye na wiki 2, na hanywi maziwa ya kopo, ananyonya maziwa ya mama yake tu, tatizo ni nini? anapata choo mara moja tu kwa siku, na siku nyingine hapati, kitu ambacho si kawaida kwa mtoto mdogo, msaada madakitari wote,
MZIMKU,
Kwakweli degree ya kuchanika sijui ni kiasi gani but najua tu walinishona ndani na nje,
swali lako la pili,
mtoto alipotoka ndio alipasua njia na sio mkunga kuichana,
sijui kama nimeeleweka..
jamani nashukuru wote kwa ushauri mzuri yaani nimefarijika sana sana, mmenipa imani ya kusimamia ili nipambane na huyu ibilisi wa uoga, maana ananionea sana, nitafanya maombi sana na mungu atanisaidia kujifungua salama, pia nahitaji maombi yenu nyote..
P,DIDY , asante umenifanya nijenge imani...
Naombeni ushauri jamani, mimi niko wiki ya 37 ya ujauzito sasa , nilikuwa nawaza je kuna uwezekano wa kujifungua salama iwapo mtoto wa kwanza nilipomzaa alisumbua sana na kupasua njia kipindi na push, sasa yale maumivu ya nyuzi nilizopata nisingependa yanirudie.
Swali langu ni kwamba, Je...
ubarikiwe,
mimi napenda sana mahubiri ya mwakasege lakini niko mbali so nawish kama ningekuwepo ningekuja
mtumishi wa mungu huwa anamahubiri mazuri kweli, mnaoweza mtume hata kwenye you tube tusikilize,
mungu akubariki wewe utakayetuma..
pole kwa matatizo uliyonayo, mungu ni mwema ipo siku utafanikiwa
kuhusu ushauri wa kutafuta hao wakaka sio mzuri, ni kama waganga wa kienyeji
ni bora upate docta mzuri na kumkabidhi mungu kwakuwa hashindwi na jambo lolote,
mara nyingi watoto wanaotokana na waganga sio wazuri wanamasharti...
jamani naombeni mnijulishe dawa ya meno naumwa na meno yote kinywani yaani hayataki kutafuna kitu najaribu kupiga mswaki but sipati nafuu sielewi ni nini tatizo, maana yako 2 yaliotoboka lakini nashangaa yanauma yote sielewi ni ugonjwa gani, wataalamu naomba mnishauri dawa itakayoweza...
hongera neggirl karibu kwenye mother club tunakukaribisha sana, usisahau kujiunga baby center ni nzuri pia kwa ajili ya maendeleo yako na kiumbe chako.. tuko pamoja
aliweza kuirekebisha kwa kutumia kanuni aliyoifanya mwanzo, alifika kwake na kukaa masaa kumi then akajumlisha na ule muda wake wa kukaa kule masaa kumi, akapata muda maalumu wa kuiset saa yake..
nashukuru wote kwa msaada wenu... nitaufanyia kazi..
mlionipa hongera wote ..asanteni
ila siko karibu kwa huko mwanza..
mlioleta mzaa pia, mjaribu kutoa msaada na sio mzaa
hasa mtu anapokuwa na matatizo, coz
mzaa mzaa hutumbua usaha..
naombeni msaada nina wiki 15 ya ujauzito but mtoto hachezi kama mwanzo, nilipokuwa na wiki 7, na 8 ..yaani sasa huwa anajigusa mara moja kwa siku au 2, but nikisikiliza mapigo ya moyo huwa yanaenda kama mwanzo,,, na wala sina maumivu yoyote...naombeni ushauri jamani napata hofu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.