Search results

  1. Mtumishi Mkuu

    Fundi wa Water Dispenser anahitajika

    Hebu tuchekiane 713393061
  2. Mtumishi Mkuu

    Fundi wa Water Dispenser anahitajika

    Nikiri tu kwamba nilifanya uzembe maana tokea nimeinunua ilikuwa haipoozi maji, nikaona uvivu kuirudisha nikiamini labda ilikaa sana dukani hivyo gesi imeisha, maji ya moto yakawa yanapatikana vizuri. Majuzi nimempelekea fundi kaniambia gesi imeisha, kajaza gesi nimerudi nyumbani hali ni kama...
  3. Mtumishi Mkuu

    Fundi wa Water Dispenser anahitajika

    Ni brand gani? Bado ipo?
  4. Mtumishi Mkuu

    Fundi wa Water Dispenser anahitajika

    Asanteni sana wadau. Tayari kuna fundi fridge mmoja ashanirekebishia
  5. Mtumishi Mkuu

    Fundi wa Water Dispenser anahitajika

    Dah naona wote mmenichunia. Sitaki kuamini kwamba humu kweli hakuna hata mmoja ambaye anashindwa kunisaidia. Ila poa tu. Upendeleo wa wazi kabisa na hata ma admin hawalioni hili...lol
  6. Mtumishi Mkuu

    Fundi wa Water Dispenser anahitajika

    Wakuu wanabodi, nina shida na fundi wa dispensa ya maji. Kama kuna fundi humu au mtu anayemfahamu fundi anisaidie tafadhali. Ninatanguliza shukrani kwa msaada wenu
  7. Mtumishi Mkuu

    Natafuta Fundi wa water dispenser

    Wandugu, habari ya asubuhi? Shida yangu ni kwamba dispense yangu haipoozi. Maji ya moto ninapata vizuri tu ila sehemu ya maji baridi ndo tatizo. Ninaishi kimara bonyokwa. Fundi anayeweza kulitatua tatizo langu tafadhali tuwasiliane kwenye 0758 407409
  8. Mtumishi Mkuu

    Freezer linauzwa

    Mkuu hela yangu imepungua nina kilo tatu vipi unaweza kunisaidia?
  9. Mtumishi Mkuu

    Nyumba inapangishwa,ipo Kimara

    Kuna moja iko kimara bonyokwa, finishing haijakamilika inauzwa mil 75! NB: Kimara bonyokwa ni km tatu kasoro kutoka kimara mwisho mkono wa kushoto ukiwa unatoka mjini
  10. Mtumishi Mkuu

    VITZ PINK NEW SHAPE for sale

    Lazima kuna mchaga anakupumulia wewe sio bure!
  11. Mtumishi Mkuu

    Photoshop zilizoenda Shule(Maliza siku kwa kutazama)

    Duh, kweli zimeenda shule hizi!
  12. Mtumishi Mkuu

    Naomba kujuzwa nataka kuacha kazi...

    Ushauri umetolewa mzuri ila kikubwa angalia mkataba wako makubaliano yakoje. Pia kama kuna HR manual na admin policy yenu. Katika mazingira ya kawaida sio vizuri sana kutoa 24 hrs notice. Hata huko unakoenda kama ni waelewa watakubali kukupa muda wa kufanya proper hand over huko uliko. Kama...
  13. Mtumishi Mkuu

    Nini Mantiki ya Matangazo ya Vifo Redioni?

    Ni suala la mazoea na inategemea hao wenyeji huwa wanapendelea kusikiliza station gani ya radio mara kwa mara. Hebu jaribu kufanya na kauchunguzi uone matangazo mengi ya vifo Radio Free Africa yanawahusu watu wa pande zipi!
  14. Mtumishi Mkuu

    Nini Mantiki ya Matangazo ya Vifo Redioni?

    Naona kama hii kidogo ina mantiki kwamba ni kwa ajili ya wale ambao sio walengwa wa moja kwa moja na msiba.
  15. Mtumishi Mkuu

    Nini Mantiki ya Matangazo ya Vifo Redioni?

    Ndugu wanajukwaaa, heshima kwenu! Kwa muda sasa nimekuwa ninajiuliza maana ya haya matangazo ya vifo kwenye radio haswa kwa nyakati hizi ambazo teknolojia ya mawasiliano imeboreshwa kwa kiasi kikubwa. Mtakubaliana name kwamba kwa sasa unapotokea msiba mahali, ndani ya nusu saa ndg wengi wa...
  16. Mtumishi Mkuu

    Usanii wa Clouds: Mshindi wa Brazuka akataa ushindi wa kwenda brazil

    Cha kujiuliza pia ni kwamba jamaa kasema alishiriki kama mara tano au sita, sasa inakuaje mtu ashirikik mara zote hizo na anajua akishinda atapata hiyo safari kisha aje akatae kwenda? Ina maana wkt anashiriki alitegemea nini? Wakati mwingine tutumie akili kudanganyana jamani!!!!
  17. Mtumishi Mkuu

    Tajiri adaiwa kumng’ata, kumchoma pasi mtumishi wake kwa miaka mitatu

    Some people are alive only because it is illegal to kill them! Mtu kama huyu ana roho ya ajabu. Hivi kweli unawezaje kumfanyia mwenzio hivyo na wala nafsi isikusute? Tena mwanamke mwenzake na ni ndugu yake. Inatia hasira sana na watu kama hawa ingekuwa uwezo wangu ningesitisha uhai wao mara...
  18. Mtumishi Mkuu

    Wapi Mashati ya Linen ya ukweli?

    Hello wanabodi, Ninaomba kufahamishwa sehemu ambayo ninaweza kupata shati za linen za ukweli hapa DSM. Nimejarinu kupita baadhi ya maduka ila mengi ninayokutana nayo ni size ndogo wkt mimi ninataka size XXL. Nitashukuru kwa msaada wenu. Asanteni sana.
  19. Mtumishi Mkuu

    Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

    Walisema 'Ukiwa huna hela mademu wote wazuri utabaki unawaita shemeji tu' maana watakula wengine!!
Back
Top Bottom