Tnx Kwa mawazo wadau,, contact to be displayed ilikuwa ok,, option ya Chen Hu imenisaidia email yangu inatumika Zaid ya device moja yalikuwa deleted nimeyarestore yamerudi,, zaidi nataka nitafute namna ya kumfungia matumizi ya email yangu katika device nyingine japo Yuko mkoa tofauti.
Habari wadau ,, naomba niende kwenye mada,, ni siku nne Sasa majina mengi yametoweka ktk sim yangu hasa yaliyokuwa saved ktk email nimepambana kila namna nimefeli msaada pls"
Kwa experience ikoje wadau nilisuka mkeka ndani ya mkeka Kuna team 4 za Kosovo nadhan ilikuwa zicheze saa 9 mchana hadi usiku huu ni not started na zimebaki hzo tu je what next?
wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna utofaut before na afta installing,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.