Search results

  1. e2themiza

    Phone4Sale Iphone 7 Plus 32 GB (Used) Clean as new full box

    Iko vizuri sana mkuu, je una iphone 8 plus pia? au ipo hii tu? Na je bei inaweza ikapungua kidogoo
  2. e2themiza

    Msaada wa jinsi ya kufunga Dish la Canal

    Ndio ila utaona mechi 2/3 kati ya 8... hi ni sawa sawa na kusema ata Azam pia anaonyesha EPL... maana anaonyesha mechi moja kwa week. So kwa hiyo Canal ya 40k vs 44k ya DSTV... Canal unaona mechi zaidi pia unaona Europa, wakati DSTV haionyeshi kabisa hiyo Europa.
  3. e2themiza

    Tazama ligi kubwa duniani kwa gharama kidogo

    Mbona kama wewe ndo unaleta upotoshaji, hayo unayolalamika jamaa hajasema hata moja. kwani mdau kasema hii ni mbadala wa DSTV? Kwani kadai kuwa inaonyehsa hizo international matches? Nahisi watu weneyewe wanaozitaka hizi ndo hawana elewa vya kutosha. so unapaswa mtu kuuliza vyote ili ushairiwe...
  4. e2themiza

    African Satellite World and Sat Gear

    what decoder are you using and are all those channels unlocked?
  5. e2themiza

    Tecno mabingwa wa copy & paste

    Mkuu wametisha kwa muonekano au? Uzuri wa simu sio muonekno au housing ni specification na uwezo wake
  6. e2themiza

    Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

    Shukrani sana mkuu hapo umenena
  7. e2themiza

    Al Masry vs Simba Sc kuonyeshwa na Tv hizi

    oi mazee.. hii ni uhakika 100% kuwa DMC Sport wataonyesha hii game, sio watu tunaandika mabango alafu mida inafika wadau wanambulia patupu hahaha
  8. e2themiza

    Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

    Mkuu hii inategemeana na speed ya internet yako, kwa mfano kipande cha dk 3 labda kina mb 1, na kama internet yako iko vzuri kitadownload hiki kpande kwa sekunde kadhaa, Haimanishi kwa kuwa kipande ni cha dakika 3 ndo lazima ichukue dakika 3 kudownload.
  9. e2themiza

    Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

    Mkuu kitendo kinachofanyika hapo, ni inasave ile video kwa kuidownload kwenye simu yako, kisha utaweza kuiplay kupitia simu yako na kutokuhitaji internet "data" lakini bila kuwa na internet au "kuwasha data" hichi kitendo hakiwezi kufanyika ndo maana kwenye steps zako umesema step ya kwanza ni...
  10. e2themiza

    Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

    JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO ZA YOUTUBE NA KUIANGALIA TENA BILA DATA
  11. e2themiza

    Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%)

    TITLE : Tazama video za youtube bila kuwasha data ( working 100%) Hatua ya Kwanza : Washa Data. Duuu.. kazi ipo haha, kiku kingine pia mtu akikuambia siku zote kuwa hii ni 100%.. huwa sio kweli.
  12. e2themiza

    LG G3 32 GB GOLD ORIGINAL (USED)

    Duh naona hatuelewani.. Simu haina tatizo ila haikujengewa kushika 4G ya Tigo Halotel na Airtel hawana 4G... Kama unataka kuprove ni rahisi tu.. Piga 100 na kuwauliza.
  13. e2themiza

    LG G3 32 GB GOLD ORIGINAL (USED)

    Tigo wanao.. Nimelist hapo juu.. Sema hii simu haisupport 4G yao so utashika mwisho 3G kwa sasa.. Labda waje wabadili mfumo wao
  14. e2themiza

    LG G3 32 GB GOLD ORIGINAL (USED)

    Haina tatizo.. Hii ni kwa upande wa 4G kwa bongo ina support mitandao hiyo ya juu.. Bongo kuna 4G katika mitandao hii Vodacom 4G - Supported Tigo 4G - Not Supported TTCL 4G - Supported Zantel 4G - Supported Smile 4G - Not Supported Smart 4G - Not Supported Airtel na Halotel hawana 4G.. Na hii...
  15. e2themiza

    LG G3 32 GB GOLD ORIGINAL (USED)

    Hii bado ipo, anaehitaji ani pm
  16. e2themiza

    LG G3 32 GB GOLD ORIGINAL (USED)

    Poa ila chance ni 60/40 maana kuna mtu alinicheki kakaribia hiyi bei
  17. e2themiza

    LG G3 32 GB GOLD ORIGINAL (USED)

    Hii kitu bado ipo.. Received offers ila zote hata haikaribi lengo kabisa hehe
  18. e2themiza

    LG G3 32 GB GOLD ORIGINAL (USED)

  19. e2themiza

    Offer! Pd proxy vouchers for 5500 tzs each (only 50 available)

    Voucher zimeisha shukrani kwa wote walionunua, wengine mnaotaka hizi voucher contact munjy1 normal prices kwa each voucher ni 9,500.
  20. e2themiza

    Offer! Pd proxy vouchers for 5500 tzs each (only 50 available)

    Wala mkuu usijali ndo zinaishia ivyo
Back
Top Bottom