Search results

  1. Jacobus

    Meseji ya Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL

    Wengine humu kwa tabia yao ya kuchukulia mambo mzaha mzaha tu hawaoni kuwa kwa nini taasisi ya serikali (TCRA) inahusishwa kwenye huu utapeli!?
  2. Jacobus

    Meseji ya Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL

    Hah hah hah! Mkuu nimesituka ndo maana nimewasilisha humu kwenye watu wanaojitambua. Utakumbuka ujumbe ulosomeka 'Piga cm mimi mwalimu mwanao kaanguka.....'? Hao weshanipiga sh 60,000/=.
  3. Jacobus

    Meseji ya Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL

    Hata ukikaa kimya ni ushauri vilevile mkuu.
  4. Jacobus

    Meseji ya Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL

    Tena natumiwa kwenye 'line' ya Halotel mara zote!
  5. Jacobus

    Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Kanisa gani linabatiza mara mbili kwa mtu mmoja?
  6. Jacobus

    Meseji ya Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL

    Namba hii ya TTCL 0738 488 207 huwa inanitumia ujumbe huu "Hongera! Umezawadiwa Tsh 7,000,000.00 Milioni Saba kutoka HALOTEL Kampuni No. 1155 Piga Simu TCRA No. 0782 771 957 ili kujaziwa fomu yako Ahsante!". Ujumbe huu mara ya mwanzo ulinisitua na kuwa na hamu ya kuongea nae huyo jamaa wa TCRA...
  7. Jacobus

    Hatuwezi kuwachukia wayahudi kwa wivu wa kijinga na husda na roho mbaya

    History of PALESTINIAN STATE: 1. Before Israel, there was a British mandate, not a Palestinian state 2. Before the British Majndate, there was the Ottoman Empire, not a Palestinian state. 3. Before the Ottoman Empire, there was the Islamic state of the Mamluks of Egypt, not a Palestinian...
  8. Jacobus

    Mbunge wa Viti Maalumu aolewa na Maulid Kitenge

    Wasafi radio kulikoni? Tabora haisikiki takriban mwezi sasa!!
  9. Jacobus

    Msaada: Natafuta App ya kutafsiri lugha ya Kiswahili/Kiingereza/Kiswahili

    Sio wote waliomo JF ni vijana. Mie kwa faida yako nimepita miongo sita hivi sasa. Na tambua kuwa elimu haina mwisho.
  10. Jacobus

    Msaada: Natafuta App ya kutafsiri lugha ya Kiswahili/Kiingereza/Kiswahili

    Yamaandishi mkuu. Nshaipakua na naitumia. Nimefarijika mno kuona lugha ya Kilatini imo.
  11. Jacobus

    Msaada: Natafuta App ya kutafsiri lugha ya Kiswahili/Kiingereza/Kiswahili

    Kwa hiyo ni 'google' tu kumbe! Maana pana kundi moja nilitupia 'clip' ya Kiinglishi basi mara moja jamaa mmoja ajaitupia kwa Kiswahlli. Tokea siku hiyo sijamuona tena kwenye kundi licha ya kutupia 'clips' nyingi tu za Kiinglishi.
  12. Jacobus

    Msaada: Natafuta App ya kutafsiri lugha ya Kiswahili/Kiingereza/Kiswahili

    Wakuu, nahitaji 'app' ya kutafsiri lugha Kiswahili/Kiinglishi/Kiswahlli Inaitwaje niipakue?
  13. Jacobus

    Uchambuzi: Yanga wamefungwa kimakusudi Ili kuwazubaisha mamelodi na simba

    Ndo ajabu. Mie nilidhani mechi inachezwa Oman maana kanzu zilikuwa nyingi VIP.
  14. Jacobus

    Benchikha kakimbia timu mbovu?

    Mkuu umenena ila aliyetuloga kesha fariki dunia ati.
  15. Jacobus

    Dube ni mnafiki, alicheza chini ya kiwango kila akicheza na Yanga

    Tatizo la mahaba ya vilabu vya Simba na Yanga ndo unapandikizwa kiasi ukisema ukweli kuwa hayana afya kwa futiboli la nchi yetu unaambiwa mnafiki. Angalia, hata kwenye chombo cha kutunga sheria pana Usimba na Uyanga. Mechi za saa nane mchana ni mwiko Simba au Yanga kucheza. Juzi palikuwa na...
  16. Jacobus

    Abdul Mwinyi: Hayati Mzee Mwinyi hajawahi kuugua maisha yake yote, isipokuwa miaka 2 iliyopita

    Na mama yake ni yupi kati ya bi Khadija au bj Siti?
  17. Jacobus

    Swali Chokonozi: Kwanini Mzee Mwinyi hakuzikwa kwao Mkuranga kapelekwa Zanzibar?

    Hata marehemu Mohamed Raza kazikwa Mzizima!
  18. Jacobus

    Swali Chokonozi: Kwanini Mzee Mwinyi hakuzikwa kwao Mkuranga kapelekwa Zanzibar?

    Mkuu, unamsahau mzee John Malecela au kwa kuwa yeye anaishi kwao Idodomya?
  19. Jacobus

    Mtambue Chifu/Mtemi wako

    Kwa kweli hii ni moja ya AFYA YA AKILI. Hii kalenda niliisahau kabisa kwani nilipoinunua (Mzizima) nikaipeleka Nyanyembe na kuondoka. Jana nimeipata.
Back
Top Bottom