Search results

  1. Miya

    Rais Magufuli anataka wapinzani washugulikiwe kwa kuropokaropoka, anarudia yale yale ya Mkapa

    yani hapo magu ndio anapoboa...hapendi kukosolewa..anajionaga kama mungu hakosei...watu wanatoa maoni anasema wanaropoka...anapenda kusifiwa tu....halafu anahubiri uzalendo mxieuu...
  2. Miya

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    Huyu kuchemka ndio kawaida yake...bashite anapenda kuongelewa cha msingi ni kumpitezea watajuana na baba ake
  3. Miya

    CHADEMA tunawajibika kumuomba radhi Rais Magufuli kama tunataka kufika salama 2020

    Hakuna kitu...bashite mwizi wa vyeti kamashindwa...unazungumzia vyeti feki gani?! Treni la umeme lipo wapi? Tunadai milioni 50 kila kijiji asijisahaulishe....
  4. Miya

    Yaliyompata Edward Lowassa yatampata Paul Makonda?

    Kwani uongo makonda sio bashite?!kwan ni uongo bashite hakuvamia studio za clouds kisa kipindi cha udaku?!kwani ni uongo makonda hatumii magari ya aliowatuhumu ni wauza madawa ya kulevya?!
  5. Miya

    Yaliyompata Edward Lowassa yatampata Paul Makonda?

    Kwani uongo makonda sio bashite?!kwan ni uongo bashite hakuvamia studio za clouds kisa kipindi cha udaku?!kwani ni uongo makonda hatumii magari ya aliowatuhumu ni wauza madawa ya kulevya?!
  6. Miya

    Utata: Uvamizi wa clouds FM

    Bashite kakojoe ulale
  7. Miya

    Rais wangu Magufuli, Mwigulu Nchemba yupo kwenye mgomo na ndiye anayewalisha akina Bashe maneno

    Hahaha hahaha ma ccm yenyewe kwa yenyewe yanagombaba.. Bashite ndio chanzo cha haya
  8. Miya

    Tunapinga na kulaani mawazo ya Waberoya kurahisisha mauaji ya ‘akina Bashe ‘

    Mwambie nataka ku mkodisha amuue bashite mtisha watu, mwizi wa vyeti,mwizi wa mali,
  9. Miya

    HE MUST GO: Waziri wa Mambo ya Ndani Unajiuzulu Lini?

    Kwa hali ilipofikia tunahitaji kina gwajima 10..mkuu wa mkoa anapata zero, anaiba vyeti vya Paulo, anavamia ofisi na jeshi, anatumia Mali za watu anaowatuhumu wanauza dawa za kulevya... halafu anaambiwa piga kazi..hizo ndio kazi za mkulu...viongoz wa dini wapo tu
  10. Miya

    Sugu: Mbunge Mlinga wa CCM anatukana mbona naibu Spika anamlinda tukiomba mwongozo?

    Watukanane tu...serikali inaongozwa na bashite unategemea nini?!!
  11. Miya

    Najaribu kuwaza kwa Sauti,Makonda hana muda mrefu madarakani

    Labda afe huyo ndio kaimu raisi ...nchi imemshinda kabakia kuteka watu...
  12. Miya

    Serikali ya Rais Magufuli ipo imara na haitishiwi na kelele za bungeni na mitandaoni

    Kama haitishwi unafanya nini hapa na huu utumbo wako?!! Serikali ya watekaji, serikali wacheni uoga timizeni ahadi zenu...
  13. Miya

    TWIST: Wanajiteka, Wanasingizia, Wanaogofya, Wanatisha

    Clouds walijivamia?! Wacheni ufala bana
  14. Miya

    CHADEMA sio NYINYI TU, CCM tumewapoteza wengi kisiasa tukiamini mnahusika.

    Kumbe mwenyekiti wa mkoa,wilaya na kinana. Sasa shangaa haya yanapigiwa kelele na tanzania nzima...kuna jeshi lina tabia ya kuvamia ofisi za watu sio la sirro ila la bashite hii ndio kazi yake..mwanaume mzima anaogopa kukosolewa ooh mara malaika ashuke afunge mitandao
  15. Miya

    Umasikini umeongezeka maradufu ndani ya mwaka mmoja tu wa utawala wa Rais Magufuli

    Utaachaje kuongezeka mabashite yanaua watu..nchi inaongozwa na wagonjwa wa akili unategemea nini?
  16. Miya

    CHADEMA sio NYINYI TU, CCM tumewapoteza wengi kisiasa tukiamini mnahusika.

    Ccm wamewahi kusema chochote kuhusu watu wao?!!
  17. Miya

    Lema: Watanzania wengi wanaandamana lakini hawaonekani sababu wanaandamana mioyoni, ipo siku

    Lile ni kama roboti halina ubongo, yani hajui hata kujiongeza anadhani watakuwa maraisi milele...bora Magu mzee, sasa yeye kijana anaharibu maisha yake bure...
  18. Miya

    Lema: Watanzania wengi wanaandamana lakini hawaonekani sababu wanaandamana mioyoni, ipo siku

    Kufuatilia faru mnao muda?! Au kuiba vyeti na kuvamia studio na kuteka watu?! Bashite wewe ni fala tu mwizi mkubwa
  19. Miya

    Lema: Watanzania wengi wanaandamana lakini hawaonekani sababu wanaandamana mioyoni, ipo siku

    Povu linatoka ndio si umeleta omo na maji..kama kafichwa si mu mfichue au ukae kimya kama hujui bashite mkubwa wewe kazi kuiba vyeti tu na kuteka watu..
Back
Top Bottom