Search results

  1. mwanapolo

    Mbunge: Tubomoe sanamu ya askari tuweke sanamu ya Diamond pale Posta

    Cha ajabu anapigiwa meza na wabunge wa ndioooo kumpongeza.....
  2. mwanapolo

    Samsung TV Bei Poa

    32 inch unayo? Na ni bei gani?
  3. mwanapolo

    Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

    Atakichagua mwenyewe, hapa arusha watu wana ufahamu
  4. mwanapolo

    IPTL saga: Siri Imevuja, Mwigulu na Zitto Kabwe Kaa la Moto... Ndio waliolipua!

    Mwigulu!!! Kapewa uwaziri kwa kazi maalum ya kukusanya pesa ya uchaguzi 2015
  5. mwanapolo

    Photos From Paul Okoye & Anita Isama Traditional Wedding Today

    Shughuli ya harusi hii ilionyeshwa kwenye channel ya hip DSTV. Ilikuwa poa sana
  6. mwanapolo

    Kama ni kweli Mungu ipitishie Yanga sc mbali

    Hata huko Misri kwenyewe kuna waarabu wameota kuwa Al Ahly watapigwa. Hizo ni ndoto tu, subiri dk90. Natumaini Yanga itasonga raundi ya pili. Mikia leo mshughulike na Prison mambo ya Yanga waachie Yanga wenyewe
  7. mwanapolo

    Third terminal at Dar es Salaam airport

    Naweza kufananisha na uwanja wa Jaipur India!
  8. mwanapolo

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Ufoo anaficha sababu ya Mushi kuchukua uamuzi huo mgumu kwani naamini Mushi hakuwa kichaa au mtu aliyerukwa akili. Sitaona ajabu kama yeye Ufoo ndo alishika bastola na kumuua Mushi alafu akatoka nje kuomba msaada. Yaonyesha Ufoo ana roho ngumu sana
  9. mwanapolo

    Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

    Taratibu hili group la Green Guard litakuwa kama mungiki la kenya.
  10. mwanapolo

    Arusha: Maandamano ya Kanisa Katoliki yasindikizwa na JWTZ

    Kama kitu huna hakina nacho sio lazima uripoti hapa. Uliza vizuri wakatoliki wa Arusha upate uhakika haya maandamano yalifanyika lini na lengo lake ilikuwa ni nini, una shusha heshima ya JF.
  11. mwanapolo

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Hii project ni nzuri sana. After 100 years ndo mradi utakamilika kwa tz, kama ingekuwa Rwanda au Kenya unge malizika mara moja. Kwa tz hapana. Kila kitu usanii. Kitu cha msingi ni kujiuliza nani mlegwa kwa hii miradi?
  12. mwanapolo

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Pole sana 1800. Tatizo lako wala sio kubwa sana. Tembelea hospital yenye mahabara mzuri ukapime mkojo. Pima mkojo wa asubuhi. Wakati ukichukua sample ya mkojo jitahidi chukua wa mwisho. Pia uwe na mazoea ya kunywa maji mengi
  13. mwanapolo

    Simba sc vs kagera sugar

    Mtani kaza buti
  14. mwanapolo

    Aibu ya kitaifa kwenye ujio wa Rais wa China: Tunakipuuza Kiswahili mbele za wageni?

    Hujaelewa nini? Xi kaongea kikwao na Dr J anaogopa kikwao, yaani anaona kiswahili hakifai. Umeelewa..!
  15. mwanapolo

    Utiaji saini mikataba kati ya Tanzania na China

    Mikataba yote iliyosainiwa leo ama ni ya kupewa msaada wa mkopo au uchimbaji wa raw materials(coal, chuma). Kwa ujumla mikataba yote wachina watafaidika kwa zaidi ya 70%! Sijui wachumi wetu wanafaida gani kwa hii nchi, aibu tupu. Kibaya zaidi serikali ya China imebana upatikanaji wa visa kwa...
  16. mwanapolo

    The Official Azam FC Thread

    Naikubali Azam
  17. mwanapolo

    Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

    Hujalazimishwa kupanda Fast jet, uelewe kuwa PW wameshusha gharama sababu ya uwepo wa Fastjet! Huduma kama za Fastjet zipo pia kwa Arabian air, nauli yao ni cheap x3 chini ya emirates kwa safari ya UAE. Uchaguzi ni wako sio kulaumu kitu ulichoandikiwa kabla ya kukata ticket
  18. mwanapolo

    Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    Sio picha nzuri kwa vizazi vijavyo. CCM watambue siasa sio vita ni sera. Ni aibu kubwa sana kwao!!
  19. mwanapolo

    ....Godbles Lema akirudi bungeni nakunywa sumu

    Yangu macho. Mathias na Lema wote mabest wangu..!! Hii vita mie simo
  20. mwanapolo

    Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

    R.I.P Wasaimon
Back
Top Bottom