Search results

  1. denoo49

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Movie za Kanumba na Ray
  2. denoo49

    Ampasua mkewe na kofi zito la shavu hadharani tena barabarani

    Nilitegemea kusikia umetoa walau hata kilo ya sembe kwenye mzigo wako ukamapa mhanga. Kumbe umeisha kupiga picha [emoji23]
  3. denoo49

    Kuna warembo hawanunuliki. Imagine huyu alikataa 100M TZS!

    Hata Majaliwa alikua madhabahuni akituaminisha Rais yupo fit anachapa kazi, kumbe walishamuweka kwenye jokofu kitambo tu.
  4. denoo49

    Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Hapo ulipo, unashahuku ungekua mke wake
  5. denoo49

    Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Ni muda wa kwenda kuifanya siasa inayohitajika kukidhi malsai ya jamii... na ni muda wa kwenda kuipata KATIBA mpya.
  6. denoo49

    Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Hivi kumbe bado upo na vitusi vyako vya reja reja?
  7. denoo49

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Andaeni masufuria ya ubwabwa na daftari la rambirambi.
  8. denoo49

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hapa hata mahali usi negotiate, beba puli za kutosha tu.
  9. denoo49

    Naulizia Chumba Single Self Maeneo ya Usa River Arusha Wakuu

    Hizo user name zenu zinabariki hadi matokeo yenu.
  10. denoo49

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kwenye Geography ukisikia kitu inaitwa River Streams ndio hiyo Sasa.
  11. denoo49

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Majeruhi wa mjumbe
  12. denoo49

    JF Photo Library: Mada maalum ya Picha za Zamani

    Sema huyu baharia alianza kutafuna kuku na mbuzi wa watu kitambo sana.
  13. denoo49

    Uchaguzi 2020 Sitaki kuwa mnafiki. WanaCCM awamu hii tunaburuzwa na Mwenyekiti

    Umesahau ni hii, au ndio unadamka kutoka usingizini?
  14. denoo49

    Wadau nimependwa na askari wa Trump na ninaelekea kuvunja rekodi ya ubilionea

    Yani ukiishaona kiingereza kina "i" nyingi, hamka shtuka kabla ujaliwa para ngozi nyenzako.
  15. denoo49

    Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

    Nzuri ni ipi? Kama alikua anajua itakua mbaya kwanini aliamua kujihusisha nayo?
  16. denoo49

    Demu wangu kaniacha baada ya kusoma Post zangu JF

    Ana korodani hizo sasa? unaona hapo alipo kaishatepeta kaisha.
Back
Top Bottom