Search results

  1. C

    Elections 2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    Ha ha ha ha.....hii sio 2005, ng'oa kabisa visiki vyote bunda, simanjiro nk..
  2. C

    kagera msimamiz wa uchaguz atoweka na vifaa

    Mmmh, kama yupo hai atapatikana tu....hofu yangu kama uhai wake umetoweka
  3. C

    Serikali kuanza kulipa madeni ya walimu

    Hivi kura c huwa ya siri......nipewe Leo malimbikizo then baada ya uchaguzi wanikate tena kwa miaka kumi.....No its time for change...!
  4. C

    Star TV mjutie na mjifunze

    Ukifuatilia utaona, wanaoalikwa kwenye vipindi star TV ni wale wenye mrengo wa kijani...lakini pia wasema hovyo media kama ITV hawawezi kumualika msema hovyo...maana wanajitambua. Viva ITV
  5. C

    Dalili zote zinaonesha ni Lowassa

    Hivi wana CCM, mnajisikiaje nyie mnavyotumia muda na nguvu nyingi kumkashifu EL....alafu hamjibiwi? Wakati yeye akitangaza Sera tu. Cjackia mkitaja ESCROW....semeni na hili kidogo
  6. C

    Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Maji ya shingo hayo....hana jipya EL kawashika pabaya....ha ha ha ha
  7. C

    Hivi ndivyo serikali ya TZ itakavyoonekana baada ya 0ct. 2015

    Magufuli akiwa Rais, Waziri Mkuu mtarajiwa ni Lukuvi
  8. C

    Mtoto wa mama mwenye nyumba ananitega...

    Mie cjakuelewa... Unataka tukusadiaje? Maana hizo sifa ulizo zitoa hapo juu kama na wewe unatutega vile. Acha umburula
  9. C

    SIRI IMEVUJA: January Makamba ndiye kinara wa kutaka JamiiForums ifungwe

    Hana jipya, eti rais kijana...asie kuwa na chembe hata kidogo ya uchungu wa mahitaji na haki za vijana..! EL ndo kila kitu ndani ya CCM.
  10. C

    Clouds TV acheni kumtetea Makonda ni mkosaji

    Jana kupitia kipindi cha jahazi Musa akiwa katika mahojiano na Paul anayetuhumiwa kwa kumrushia chupa Mzee Jaji Walioba, alitumia lugha ambayo kimsingi inaaina ya uchochezi na ukosefu wa maadiri ndani yake. Hii ilimtoka baada tu ya kuhojiana na Makonda na kuripot kuwa juhudi za kumpata Mzee...
  11. C

    Bado, gharama za harusi jamani, tafadhali

    Hizo cost naona kama hazina uhalisia kwa jiji la Dar....mfano ukumbi now days, Gari la maharusi,gharama ya suti, upambaji, gauni la bib harusi, MC Pia cjana Cake hapo....gharama hizo unatafuta stress my frnd.
  12. C

    Kwa wanaume wapenda kilevi kupindukia

    We umecont kwa lugha gani hapa....au kwa kiingereza....?
  13. C

    Lowassa Arejea Dodoma huku akiwa na Masikitiko Makubwa ya kuporomoka kisiasa Kanda ya Ziwa

    Tutachonga sana....lakini Lowasa pamoja na kwamba anakashifa...alionyesha mfano mzuri...katika suala zima la uwajibikaji....alituhumiwa...akaamua kuwajibika kwa kujihudhuru...viongozi wangapi wamekumbwa na kashifa wakawajibika wanyewe....lakini pia hakuna mtu asiye jua utendaji wa huyu...
  14. C

    Lowassa Arejea Dodoma huku akiwa na Masikitiko Makubwa ya kuporomoka kisiasa Kanda ya Ziwa

    Haraka haraka....kwa ccm namuona Lowa nikiongozi anayeweza kuisimamia nchi hii...ktk misinga ya sheria na si vinginevyo....akipitishwa nitampa kura ya urais.
  15. C

    Sheikh Ponda asomewa mashtaka akiwa amelazwa Muhimbili!

    Acha kukurupuka, haiwezekani zanzibar na Moro mtu huyo huyo atafutwe kwa kosa la aina moja....then utuambie alikuwa anatimiza wajibu wake.....je uchochezi ni sehem ya wajibu wake? kimsingi kama mtuhumiwa hakupaswa kupigwa risasi...na police kama inavyo daiwa na hapo ndipo haki za binadam zilipo...
  16. C

    Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    Ushasem Rasimu, then hakuna uhalali wowote wakuitumia.....hapa utekelezaji wa kauli ya mtoto mkulima ndio inazingatiwa kama ORDER
  17. C

    Nyie wanaume nyie sio kabisa

    Vyabure ni sawa na deni lenye riba kubwa......
  18. C

    Kwanini simpati mwanaume wa maisha yangu!

    kwa nini ukubali kutapeliwa mara kwa mara? Nyie ndo huwa mnalazimisha mambo bila kuangalia utayari watu......unadanganywa kutokana na jinsi ulivyo jiposition....
Back
Top Bottom