Search results

  1. P

    Soma Mkasa wa kusikitisha kutoka Moshi....

    Mmh! Ama kweli ubinadamu umekwisha. Kama mtu anadiriki kuondoa uhai wa mwenzie kisa kulinda heshima aliyojiundia isiyokuwa yake, twendako sijui!
  2. P

    Viwango vipya vya mshahara wa mwalimu

    Wadau naomba mnijuze viwango vipya vya mshahara kwa mwalimu mwenye shahada.Pia ongezeko ni la asilimia ngapi please!
  3. P

    Kwa nini serikali haitumii maoni na ushauri wa kitaalamu?

    Jamani wana wa jamii forums naomba kupata mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi sana nimekuwa nikifuatilia utekelezaji unaofanywa na serikali kufuatia ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu ufumbuzi wa matatizo yanayokwaza maendeleo ya taifa katika nyanja tofauti. Lakini kwa hakika kinachoendelea ni...
  4. P

    Kwa nini serikali haitumii maoni na ushauri wa kitaalamu?

    Jamani wana wa jamii forums naomba kupata mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi sana nimekuwa nikifuatilia utekelezaji unaofanywa na serikali kufuatia ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu ufumbuzi wa matatizo yanayokwaza maendeleo ya taifa katika nyanja tofauti. Lakini kwa hakika kinachoendelea ni...
  5. P

    Bunge la bajeti 2011/2012 na yatokanayo

    Mi nafikiri makosa ya usalama barabarani hayatamalizwa na kiwango cha faini inayolipwa, la muhimu ni kung'oa kabisa mzizi wa rushwa uliotapakaa kwa watendaji wetu ili wasimamie vema majukumu yao. Hii ya faini ni kujitengenezea tu maeneo ya kushibisha matumbo...traffic police wanachekelea sasa!
  6. P

    Waziri Shamsi Vuai Nahodha anaishi New Africa Hotel $280 per day!

    Inawezekana ndo njia yenyewe ya kuyafaidi matunda ya vyeo vyao. Mantiki ya kuuziana nyumba na baadae kuishi hotelini kwa gharama iko wapi. Kweli serikali haina uchungu na jasho la wanyonge wa nchi hii. Siamini kabisa kama hao mawaziri wapo kwa ajili ya masilahi ya wengi ila kwa ajili ya kuifaidi...
  7. P

    Mdogo wa bashe atimuliwa

    Naam,huu ni ujumbe tosha kwa jamii kwamba tumechoka kuchezewa akili na watu wachache ambao walijidai wajanja katika nchi hii.Binafsi nilishuhudia tukio hilo pale 'Block T'.Nafikiri huyo dogo anahitaji kufunzwa jinsi ya kusoma alama za nyakati.
  8. P

    Konda Nae Kaoteshwa na Mungu -Mbagala

    Hii sasa tuseme ujasiriamali umehamia kwenye vikombe au ndo ubunifu wenyewe na uwekezaji kwenye bongo za watu? KUOTESHWA sasa ndo imekuwa 'password' ya kila anayetaka kuwachezea watu akili!
  9. P

    Re: Lema atangaza kampeni mpya

    Mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema ametangaza kampeni mpya ya kuleta mabadiliko katika jamii. Kampeni hiyo aliyoipa jina la 'CHANGE ON FINGERS' inalenga kuwafanya vijana kushiriki kuleta mabadiliko katika jamii kupitia vyombo vya mawasiliano kama vile simu na kompyuta,ambapo zaidi ya...
  10. P

    Nikweli Tumesaau Aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 Mpaka Tuandamane Kumtetea?

    Ndugu zangu naomba tufikiri 'critically'.Suala hapa si kumtetea Gaddafi isipokuwa ni kupinga kulaani vikali uvamizi wa mataifa ya magharibi nchini Libya.Ieleweke tu kwamba hawa wazungu lao kubwa ni uchu wa rasilimali mafuta katika Libya.Gaddafi kaonekana kikwazo kwa wao kupenyeza mirija yao ya...
  11. P

    How to use JamiiForums effectively

    Habari wanajamii?Nipokeeni nami katika jukwaa kwani nimevutika na elimu muitoayo,pia nami najiunga kujadili mambo muhimu ya jamii!
Back
Top Bottom