Search results

  1. KIBURUDISHO

    Ndugu wa damu anatafutwa na nduguye

    Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo cha kazi cha baba yake.Baba yake huyo alikuwa askari polisi aliyekuwa anaitwa BENARD SAMWELI...
  2. KIBURUDISHO

    Thomas mtoto wa Askari Polisi Benard Samwel Mwakitalu, anatafutwa

    Msaada wa hali na mali unahitajika kuna mama mmoja anamtafuta kaka yake ambaye ni mdogo wake aitwae THOMAS MWAKITALU huyo mdogo wake alizaliwa mwaka 1991 katika wilaya Serengeti kilipokuwa kituo cha kazi cha baba yake. Baba yake huyo alikuwa askari polisi aliyekuwa anaitwa BENARD SAMWELI...
  3. KIBURUDISHO

    Wataalamu wa rangi za magari Pitieni hapa

    Heshima iwe kwenu ninahitaji kupaka rangi kakiberiti kangu sasa ktk pitapita mitandaoni nikitafuta rangi gani itakayotuliza mapepo yangu nikakutana na rangi hiyo hapo pichani Sasa tatizo limekuja nitamuelekezaje fundi maana fundi kaniuliza una namba ya hiyo rangi?? nikakwama nikatafuta app...
  4. KIBURUDISHO

    Bado nahitaji haka kagari

    Suzuki samurai Mwenye nako ajitokeze tufanye biashara ila vizuri zaidi kama katapatikania Maeneo ya Mwanza Mara Simiyu na Shinyanga
  5. KIBURUDISHO

    Ninahitaji hizi taa za LED

    Wadau wa magari heshima iwe kwenu naulizia hizi taa pichani zinapatika maduka gani hapa bongo na kwa bei gani?
  6. KIBURUDISHO

    Nataka kununua Suzuki Samurai

    Wazoefu wa magari naombeni uzoefu wenu juu ya haka kagari upande wa matengenezo yake kama upatikanaji wa spea zake na ustahimilivu pia.Ni nini cha kuzingatia hasa maana nahitaji kununua used kwa katakakonipendezea toka kwa mtu atakayekuwa nako.
  7. KIBURUDISHO

    Suzuki Samurai inahitajika

    Wakuu heshima iwe kwenu natafuta kagari hako tajwa hapo juu huenda kakawa kametelekezwa kutokana na model yake kenye bei rafiki kabisa kama kanavyoonekana hapo pichani
  8. KIBURUDISHO

    Msaada ukokotoaji wa TRA kwenye pikipiki upoje

    Jamani naulizia ushuru wa TRA kwa pikipiki inayoagizwa kutoka nje ukoje na pia kwa hapa bongo ni wapi wanakouza pikipiki used zilizo katika hali nzuri kutoka Japan?
  9. KIBURUDISHO

    Msaada:Kesho ni birthday yangu

    Wenyeji wa humu heshima iwe kwenu.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ujumbe niliotumiwa na mpenzi wangu nimeshindwa nimjibu nini.Hivyo kupitia hapa naombeni ujumbe maridhawa nitakaompatia kutoka kwenu ambao mmekwishakutana na hili tukio la siku ya kuzaliwa ya utamu wako.Mimi sina mihela...
  10. KIBURUDISHO

    Madakitari wa Kinywa na meno

    Heshima iwe kwenu madakitari. Naombeni msaada wenu mwanangu mwenye umri wa miaka mitano meno yanapukutika mdomoni mithili ya watoto wanaokula kwa wingi biskuti na pipi sasa sijui tatizo ni nini.Nitumie dawa gani kumpatia mwanangu ili kuutibu ugongwa huo???
  11. KIBURUDISHO

    Samsung Note3 inahitajika

    Nahitaji samsung Note3 iwe nzima isiyo na tatizo lolote lile wala michubuko location Mwanza
  12. KIBURUDISHO

    Msaaada wa haraka kuzuia kubleed

    Hashima iwe kwenu madaktari mdau wa kike anaomba msaada afanyeje ili kuzuia tatizo alilonalo la kuingia kwenye siku zake mfululizo baada ya kutumia uzazi wa kutumia kijiti tokea amefungwa anasema ni miezi minne sasa zilikuwa zinatoka kidogokidogo ila kuanzia wiki mbili zilizopita tatizo hilo...
  13. KIBURUDISHO

    Ushauri: Nimeachana nae ila ananifanyia fujo nakosa amani

    " Nishauri kitu, kuna mtu nimeachana nae ila ananifanyia fujo nakosa amani, anataka nimlipe hela zote alizokuwa ananipatia za matumizi nifanyeje, au nikienda polisi nitapata msaada?"
  14. KIBURUDISHO

    Msaada wenu Geita na mikoa ya jirani: Mama Nkena Bihinyagi anawatafuta ndugu zake

    MSAADA WA MUHIMU SANA UNAHITAJIKA Ndugu zangu heshima iwe kwenu, Ninachotaka kuwaelezeni hapa ni stori ndefu kidogo kuhusu maisha ya mama mmoja niliyekutana naye huko Serengeti nilipokuwa huko kikazi aitwaye MKENA BIHINYAGI anayewatafuta ndugu zake kwa muda mrefu pasipo na mafanikio. Kwa...
  15. KIBURUDISHO

    Dawa hizi zinatibu nini?

    Madaktari msaada wenu tafadhali dawa hizi zinatibu tatizo lipi
  16. KIBURUDISHO

    Hadithi muhimu kwa waheshimiwa wabunge wote pia wananchi

    Nimeitoa sehemu. HADITHI YANGU KWA WABUNGE WOTE Hapo zamani za kale palikuwepo na nchi fulani katika nchi hiyo kulikuwa na makabila mengi kati ya hayo makabila kulikuwepo na makabira mawili makubwa.Kabila moja lilikuwa linaitwa CHANGANYIKENI na kabila la pili lilikuwa linaitwa BURUDIKENI...
  17. KIBURUDISHO

    Msaada fundi pia mtaalam wa disco light

    Namtafuta mtaalamu kwa kuzifunga zile taa za kwenye kumbi za disco ambazo mwanga wake huwa zinawaka kwa kuendana na mdundo wa mziki.
  18. KIBURUDISHO

    Msaada tafadhali nimerudi tena kwenu

    Wakuu heshima na iwe kwenu. Awali nilileta kwenu ombi langu la kupata app kwenye simu yangu ya kumix sauti(tangazo) nashukuru sana kwa msaada wenu app mliyonipatia ya Crossdj inafanya vizuri hadi sasa.Leo pia nimekuja kwenu kwa yeyote anayeifahamu app ya kutengeneza tangazo wimbo au muziki ukiwa...
  19. KIBURUDISHO

    Tetesi: Ushuhuda mali walizohifadhi wajerumani.

    Wana wa jf heshima iwe kwenu. Nimeamua kuuleta uzi huu kwenu ili kutufumbua macho kutoka ktk biashara hii ninayoiita mimi ni ya kufikirika ya MALI WALIZOFICHA WAJERUMANI. Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiisikia habari hii pia biashara hii ambayo sina uthibitisho wa moja kwa moja kama kweli...
  20. KIBURUDISHO

    Msaada app ya kuchanganya sauti

    Wakuu heshima iwe kwenu niko hapa kuomba msaada kwa anayefahamu app kwenye simu za android inayotumika kutengeneza matangazo yaani kuchanganya sauti kama vile matangazo kama ilivyo virtual dj
Back
Top Bottom