Search results

  1. Power to the People

    Kwa Waziri wa Fedha Dr Mpango: Maoni kuhusu vikwazo katika kufanya biashara Tanzania

    Makampuni mengi yashaanza kupunguza wafanyakazi wakitumi a kisingizio cha COVID 19 yaliyomo nyuma ya pazia wanayajua wenyewe.
  2. Power to the People

    TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    Rafiki yangu mmoja husema kusikitika hakusaidii, na kama ni kusikitika tumsikitie yule aliyeondoka akatuacha duniani. Ameondokaje? Kwa huu msiba maneno yake nayapinga kwa asilimia mia. Wale watoto wao itakuwaje?
  3. Power to the People

    Hivi inakuwaje unamtengenezea mpenzi wako fumanizi feki na kumkodia watu wamlawiti?

    Watu wanasahau kuvaa uhusika. Mara nyingi wababe na waonevu wakisikia wa kwao kaonewa hautaamini moto watakaowasha.
  4. Power to the People

    Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni

    ATCL yaondolewa katika mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga IATA ATCL yaondolewa katika mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga IATA - MUUNGWANA BLOG Inawezekana kabisa sielewi mambo ya aviation lakini naweza kusoma na kuelewa. Hayo si maneno yangu, ni...
  5. Power to the People

    Shinyanga: Edson Timotheo amnywesha sumu ya panya mtoto wa mchepuko

    Watu wanaoonea wasioweza kujitetea ni watu dhaifu sana.
  6. Power to the People

    Air Tanzania yaondolewa kwenye mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga(IATA) kwa sababu ya madeni

    Kukubali uwepo wa mapungufu ni hatua ya muhimu sana kusuluhisha tatizo. Mimi na wewe tunajua ATCL imebidi ifanye makubaliano ya miaka mitano na shirika la ndege la HAHN ili kuuza ticket zake.
  7. Power to the People

    Kama Dereva anamtuma Kondakta au Kondakta anamtii Dereva basi muda wowote nashuka katika hili Lori

    Kuna abiria walimshauri dereva afuate sheria za barabarani wakashushwa katikati ya pori. Sisi tunaoendelea na safari hatujui kilichowapata.
  8. Power to the People

    RC Makonda: Kati ya wanawake 480 waliofika ofisini kwangu, 47 wamewataja wabunge na 14 wamewataja viongozi wa dini

    Kwani lengo la hili zoezi ilikuwa ni kutafuta statistics au kusaidia watoto waliotelekezwa? Lazima ifike mahali watu tukatae kutumika.
  9. Power to the People

    Makakala na UHAMIAJI yako mkimalizana na Nondo naomba mturudishe na Sisi makwetu

    Kufanya kazi kawa hila mbaya sana. Kwenye familia yetu generation ya watoto ndio tumeanza kuwa na vyeti vya kuzaliwa. Cha kwangu nilikipata nikiwa na miaka 10. Wazazi wangu waliozaliwa late 40s hawakuwa na vyeti vya kuzaliwa. Ili kupata passports ilibidi wale viapo mahakamani wao ni wazaliwa wa...
  10. Power to the People

    Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy azuiliwa na polisi

    Kadri siku zinavyokwenda nazidi kugundua they are all dirty. Wanasiasa wote ni wachafu!
  11. Power to the People

    Rekodi mpya: Gunia la mahindi lafika 20,000/-

    Swali la kujiuliza ni huyu mkulima alitumia gharama kiasi gani kuzalisha gunia moja? Kama anapata faida kuuza TZS 20,000 sioni shida, kama anauza bei ya hasara kwa sababu ya maamuzi ya wenye vyeo vyao sio sawa kabisa. Kila mmoja wetu anastahili kula mema especially kama alipigika shambani msimu...
  12. Power to the People

    Ungetamani nani asife?

    Mimi ningetamani wazazi wote wenye watoto wadogo ambao hawajaweza kujitegemea wasife hadi pale watoto wao wamekuwa na wameweza kuendesha maisha yao.
  13. Power to the People

    Balozi Kagasheki amtaka Kigwangalla athibitishe taarifa za yeye kupokea rushwa akiwa Waziri, Kigwangalla akana kumtaja

    Waziri anafanya maamuzi makubwa bila kufuata sheria iliyopo kwa kisingizio cha rushwa. Si apeleke hao wala rushwa na evidence kunakohusika?
  14. Power to the People

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Shida ni nani wa kumtuma kashazoea kutuma tu wa kumtuma bado hajatokea.
  15. Power to the People

    Video: Hasira za Rais Magufuli kwa "watu wazembe"

    Mtu anayeweza kudanganywa kitu obvious kama bei ya sukari basi atakuwa amedanganywa mengi. Hebu jiulize kwa nini wasaidizi wake wamdanganye?
  16. Power to the People

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Inashangaza sana sana. Sijui sisi wa huku vichochoroni tutakuwa kwenye hali gani. Ndio maana watu wanapotea hovyo hovyo hakuna anayehoji mambo yanaisha kimya kimya.
  17. Power to the People

    Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

    Speech aliyotoa siku alipoteuliwa kuwa mkubwa wa Anti-Corruption Bureau nilidhani Kenya ingekuwa corruption free. Siku zilivyozidi kwenda niligundua yalikuwa maneno matupu yaliyojaa mbwembwe bila strategy wala plan.
  18. Power to the People

    Hashimu Rungwe: Tundu Lissu amepata taarifa akatutaarifu, anaitwa sio mzalendo?

    Pole kwa mafua Mzee Rungwe. Lakini nina hakika ujembe umefika. TUPUNGUZE UTEMI!
Back
Top Bottom