Search results

  1. V

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    PhD ya kuwalisha watu mkate wa bwana yesu kanisani??????halafu akamsaliti bwana wa mabwana kiaina!!!!!ful mitamaaaa huyu jamaa!!!hi! hi! hi!
  2. V

    I am a teacher!!!!!

    Mimi ni mwalimu wa masomo ya Sayansi O-level and A-level,nafundisha Mathematics,Physics na Chemistry. Natafuta Shule ya kufundisha. Yeyote anayeweza kunisaidia anitafute kwa e-mail ifuatayo:johnchriss77@yahoo.com
  3. V

    CCM kama ARSENAL

    Me mwenyewe arsenal damu,kila mwaka natengana na amount flani ili nipate ujezi wao mpya!!ila hawa watoto wanatuboa saaanaaa!ctosahau madudu waliyoyafanya mechi na birmigham,man kwenye ukweli lazima 2ongee! Arsenal wanatunyima raha sana wapenz wake huku mtaani! Yani ni kama ccm,ukiwasifia tu...
  4. V

    Hata kutuma msg ni kazi???

    Me siwadharau au vipi!!nnachopenda kuona ni kwamba kama mtu kitu huelewi ni bora uombe uelekezwe,kwani kuna watu wengi tu wanafahamu hivyo vitu!me mwenyewe kuna vitu vingi tu huwa sivielewi katika matumizi ya kompyuta,but watu hunielekeza,baada ya kuwaomba lakini!!!
  5. V

    CCM kama ARSENAL

    Meeen nimejitahidi sana kukipenda hiki chama cha CCM,but nimechemsha!!jamani madudu yote yanayoendelea nchini yanatokanana udhaifu wa hiki chama!!ni juzi tu nikiwa sinza mida ya usiku nilitumia ka energy kangu kalikobaki mwilini kubishana na mtu kama 5 hivi ambao wapo very against na CCM,me...
  6. V

    Hata kutuma msg ni kazi???

    Wakubwa hivi hawa watu wanaoshindwa kutuma msg vizuri kwa kutumia simu zao mnawasomaje??!si waombe msaada kwa watu wanaojua wawaelekeze,tatizo la wabongo kujifanya wanajua kila kitu hata kama hawajui!!! Utakuta mtu anakutumia msg kweny simu hata kuweka 'space' anashindwa!!!yeye anayaunganisha tu...
  7. V

    Kongamano la Pili la Katiba: Jumamosi, 02 Aprili 2011

    Man wachungaji siku hz wanasoma mistari ile inayofanya waumini wawe na hofu,ili wawakamue vizuri mapene!si unajua mtu akiwa na hofu anafanya chochote!cku hizi ukienda makanisani kuna mistari inarudiwa kila jumapili,yote ni mistari ya sadaka na fungu la kumi!!!they wanaboa
  8. V

    Ukibishana na kichaa nawe utaonekana kichaa!

    We all know that kikwete siyo bubu!kama huamini nenda kawaulize akina odinga kenya mgogoro wao alidili nao vipi,angekuwa bubu asingeweza!jamaa kaiva kisiasa
  9. V

    Ukibishana na kichaa nawe utaonekana kichaa!

    Slaa analalamika njaa?si anabwabwaja tu uzushi ili ajipatie umaarufu!!ni uchizi
  10. V

    Ukibishana na kichaa nawe utaonekana kichaa!

    Hongera rais kikwete kwa ukimya wako pamoja na maneno kibao ya matusi na uzushi unayotupiwa na wanasiasa uchwara na mashabiki zao!!AMA KWELI WEWE UMEKOMAA KISIASA NA UNATAMBUA VYEMA UKIBISHANA NA CHIZI NAWE UTAONEKANA CHIZI....
  11. V

    Sitta amwaga radhi TBC1

    Hivi hii ni jamii forum au chadema forum?
  12. V

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    U cant compare misri na libya or mubarak na gadaf,mubarak ni kiongozi mwenye busara ambaye alionyesha kila dalili ya kufuata matakwa ya umma na wala hakuwatukana watu wake!gadaf hajaonesha heshima kwa watu wake na amesema atafia ikulu kuliko kuachia madaraka!wale wanaopigana na gadaf ni...
  13. V

    Ngo!ngo!ngo!ngo!

    Wivu??kumuonea wivu mtu anayeacha kujenga taifa na kufanya mambo yasiyopaswa kufanywa wakati wa kazi!!!
  14. V

    Ngo!ngo!ngo!ngo!

    Hizi ban ndo sizielewi kabisa!kama vipi nitupie tips nizinyake vizuri
  15. V

    Ngo!ngo!ngo!ngo!

    Kweli mzee!ulijuaje?nashangaa nilituma topic moja tu nikawa banned!mbona sielewi elewi! Au humu namo kuna limit ya kuongea kama chadema
  16. V

    Hivi huyu NDODI wa starTV huwa mnamwelewa??

    Nimekusoma mkuu!sasa na hii ya kuzitaja hizi bidhaa kwa majina kwenye tv inakuwaje??si anaharibu busines za watu?me nafikiri ktna mambo anatakiwa kuyatamka akiwa na mteja mmoja mmoja
  17. V

    Hivi huyu NDODI wa starTV huwa mnamwelewa??

    Huyu jamaa me cmwelewi kabisa! kuna siku nilimsikia anasema TUSILE CHIPS, MAYAI, NYAMA, UGALI, WALI, SAMAKI, MAHARAGE, DAGAA and TUSINYWE JUICE, SODA ZOTE, BIAAAA huyu jamaa anataka tu starve to death nini!! anataka tuwe na jamii ya watu vikonde? 2tafanye kazi?? Kuna siku aliniua...
  18. V

    Kitimoto

    Nina rafiki yangu m1 mwislamu ngangari analalamika eti kuna nyumba ya marafiki zake wamemlisha nyama ya nguruwe mara 3 bila ya yeye kujua katika mazingira yale yale yanayofanana!!!!eti mara ya 1 alienda akakuta rosti la ukweli,yeye akadhani ni cow akaligonga,alipomaliza washkaji wakamtonya kuwa...
  19. V

    Ngo!ngo!ngo!ngo!

    Thanks kwa kupata nafasi kama hii!jamani tanzania kama sweden inawekana!ili mradi tuamue kubadilike kuanzia mtu mmoja mmoja na jamii nzima kwa ujumla!!si huu upuuzi wa sasa hivi!watu wanatumia maofisi kama sehemu za kuchat facebook,sms na umbeya wa manchesta na arsenal,and tamthiliya za kina...
Back
Top Bottom