Search results

  1. Allymisi

    Natafuta mke!

    Umehifadhi juzuu ngapi?
  2. Allymisi

    Natafuta mke!

    Sawa kaka tuombeane Mungu maana hatufanani!.Mchana mwema
  3. Allymisi

    Natafuta mke!

    Inshaallah, Shukran!
  4. Allymisi

    Natafuta mke!

    As alaykum.Naitwa Ally, ni mwalimu shule ya sekondari serikalini,umri ni miaka 25.Natafuta mke wa kumuoa Serious! Awe na sifa: *Muislamu Mchamungu *Asizidi miaka 22 *Awe amehifadhi Quran Tukufu kuanzia Juzuu 3... Inshaallah tutafunga ndoa ndani ya mwaka huu na Hatutaingiliana mpaka...
  5. Allymisi

    Naomba nisaidieni!

    Hapana kaka kuna mshikaji alishawahi kuniwekea ikafanya kazi ila niliiflash juz kati hapo ndo maana naihitaji tena kwa ss sipo naye yule jamaa aliyeniwekea mwanzo.Naomb msaada mwingne kaka if possble!
  6. Allymisi

    My Nokia 2700 classic

    Hello, Nitaweza kupata free download na kuinstall antivirus software ktk simu yangu NOKIA 2700 CLASSIC? Naomba msaada Wajameni!
  7. Allymisi

    Naomba nisaidieni!

    Thax kaka nimekusoma ila upo short sana lakini kuhusu nokia manager umeniacha kidogo na siku moja nilifanikiwa kudownload moja ila kila nikiifungua naambiwa unformat file niweke sawa namna ya kuinstall my dear brother! Please!
  8. Allymisi

    Naomba nisaidieni!

    Habari ndugu! Kama kuna mtu ana jua namna ya kupata free download ya PDF AU ADOBE READER FOR MOBILE PHONE Naomba maelekezo.Simu yangu ni Orignal NOKIA 2700 CLASSIC, Nashindwa kusoma files zinazohitaji software hizo na nina shida nayo sana kuna materials yangu muhm sana ya kishule! NATANGULIZA...
  9. Allymisi

    Naomba ushauri

    Habari za asubuhi kaka na pole kwa maswahibu yaliyokukuta.Kaka hapo unapigwa CHANGA LA MACHO na huyo demu ni MSANII nawe jiulize ataugawaje Moyo wake kwa watu wawili? KAA NAYE MBALI ANAKUPOTEZEA MUDA HUYO! Jitahidi utasahau kwan UMEPENDA SIPO!
  10. Allymisi

    Nachanganyikiwa Nisaidieni, Nina Matatizo Makubwa Ya Kimapenzi

    Oh! So sorry my bro but don b Neither confused No discouraged just pray 4 God before anything u do, this is the only way of success throught of our lives BUT MANY PPLE UNDERSTAND NOT ABOUT IT!!!
  11. Allymisi

    Taifa stars hiyoooooo!

    Hakika Taifa Stars imeniknsha moyo
Back
Top Bottom