Search results

  1. M

    Rais wa nchi kuiita pesa ya nchi yake pesa ya madafu, kiongozi kweli huyo?

    Ni kweli matamshi ya kiongozi wa nchi yana nguvu sana, ya kujenga au kubomoa. Kiongozi wa nchi anapashwa kupima kwa makini maneno yote anayoyasema na siyo kuzungumza lugha za mitaani. Tangu tupate uhuru tumesikia matamshi mengi ya viongozi ambayo yamekwamisha nchi. Kwa mfano dhana ya umasikini...
  2. M

    Tuhasimishe wananchi kuwadhibiti madereva wabovu

    Nilifadhaishwa sana na ajali iliyosababisha vifo vya wanamuziki 13 wa taarabu hivi karibuni. Kuna haja ya watanzania kuhimasishwa ili wachukuwe madaraka wanapoona dereva anendesha hovyo. Habari za tukio hilo la kusikitisha zilimwonyesha mama moja abiria ambaye alisema kwamba dereva alikuwa...
Back
Top Bottom