Search results

  1. M

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    ww ni muongo umetumia tafiti gani mpaka ukatumbua hili vilevile tambua bila utafiti hutakiwi kutoa hukumu yoyote
  2. M

    HIVI (CCM,CHADEMA) ndi wako hivi...?

    aah hii ni kweli
  3. M

    Nape Nnauye, ni kivuli cha baba yake u mwendelezo wa usaliti?

    nape na mwezie chiligati wamepata ajali wakiwa jukwaani wakiwa iringa naona mapacha watatu wanataka kuwaonyesha kuwa hawako peke yao chanzo cha habari ni redio cloud fm
  4. M

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    kwakweli ukijua maana yashitambala kwalugha yao hutakiwi kuliza zaidi ninawasiwasi uwanasheria wake kwani ni mnafiki mpenda fedha bila kujali ubinadamu amekuwa akitudanganya wanambeya vijijini afadhali ameenda kwa mafisadi wenzie hatumtaki na wala hatujutii kuondoka kwake na siopigo kwetu
  5. M

    CCM inachukiwa kiasi hiki?

    ni chama ambacho hakina uzalendo ni chama ambacho kinaubinafi mkuba kinachojali matajili kama akina RA ambacho kinatumia rasilimai za tz vibaya maana masikini ndiye anayelipa kodi tajili halipi lazima kitachukiwa tu
  6. M

    Bunge halina uwezo kutunga Katiba mpya;MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

    nikweli wa wazenji wanauelewa zaidi ya watu wabara ambao wamekalia unafiki bila hata yakufikiria tz ya kesho maana hata watu ccm wanaukataa mswada huu wakati bara ccm wanaukubali
  7. M

    wana-CCM, sasa hizi ndizo siasa gani???

    wameshinda dawa yao ni nguvu ya uma na maandamano tu
Back
Top Bottom