Search results

  1. HUGO CHAVES

    Kenya yapitisha faini ya Kshs 500,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa binafsi za wateja

    Good starting good ending in digital economy no way to escape this regulation initiated in proper time .
  2. HUGO CHAVES

    China yazindua rasmi utafiti na maendeleo ya 6G

    Naomba tafsiri ya frequency kwa kiswahili. Hawa mbu wanaotusumbua huku sijui Kama watapona .nimeambiwa nitumie neno frequency#babukijana
  3. HUGO CHAVES

    CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mazingira sio wezeshi hii imeepusha mambo mengi Sana .mazingira yawekwe sawa .
  4. HUGO CHAVES

    China yazindua rasmi utafiti na maendeleo ya 6G

    5g ilikuwa inalalamikiwa kuwa na mionzi mikali hii 6g itakuwaje,
  5. HUGO CHAVES

    Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

    Black people share beer and cigar 😴😴😴
  6. HUGO CHAVES

    Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

    Time travel nadharia hii Ina ugumu kuua wazazi ili urudi kijana #mshana Jr please ufafanuzi unahitajika hapa
  7. HUGO CHAVES

    Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

    Chooni panachukuliwa kama mlango wa kuzimu na kuna mengi ya giza hufanyika chooni na kufanikiwa sana...... Ni jambo la kushangaza mno kama ukimkuta mtu ameinama chooni anachungulia bila sababu maalum... Huyo hakosi kuwa mchawi #mshana Jr mengi ya Giza hufanyika chooni mshana tuokoe Ni yapi na...
  8. HUGO CHAVES

    Dhambi ambayo hata shetani huikimbia

    Mshana Jr kwanini choo unakiita Ni lango la kuzimu na nini hasa wale wanaochungullia chooni wanaongea Nini .mfano una kikao na mtu anakwambia naenda chooni akirudi Ni chooni tu au kina mengine
  9. HUGO CHAVES

    TAKUKURU, Polisi waja na muarobaini wa rushwa za barabarani wakishirikiana na wadau

    LESIRIAMU, Kiutumishi kina maadili ya utumishi TAKUKURU wakipitia huku watawabana wengi. Pili kuna ngazi za mishahara za watumishi zimenainishwa kwenye circular. Ajabu utakuta Mtumishi wa Umma anashindana na mfanyabiashara. Gari kubwa injini Ina 4200cc.3500cc 2400cc hawana hofu tinted ya...
  10. HUGO CHAVES

    Dunia imeenda kasi sana, teknolojia imekuwa kubwa mno watanzania na waafrika bado tupo kwenye dimbwi la usingizi mzito

    Mada nzuri ila tenganisha Mila .na uchumi wa kisayansi .mfano masuala ya mila waachie wenyewe .mdharau kwao Ni mjinga .jikite kuchambua tumekwama wapi kisayansi hatuna hata pikipiki iliyotengenezwa Tanzania .tumekwama wapi .,tufanye Nini wewe mtoa mada umekuja na mbinu gani .za kututoa hapa...
  11. HUGO CHAVES

    Mali za Marehemu Bilionea Erasto Msuya, ndugu ngumi mkononi

    Huyo mtoto apimwe akili Kama ziko sawa .kisheria taratibu zipo kwanini atumie njia hii na Shari lipo mahakamani .Ni huruma ipi anatafuta nje ya Sheria
  12. HUGO CHAVES

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Jf imeanza kuchangamka mi napita tu😠😠
  13. HUGO CHAVES

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, Vincent Mashinji ni mdaiwa sugu BOA Bank

    Ili uwe na tija kwa taifa lako lazima ukope au kinyume chake , ili Kodi zipatikane kuendesha nchi .Kama hudaiwi jitafakari umuhimu wako kwa taifa na nchi yako .nchi zote huendeshwa kwa Kodi .
  14. HUGO CHAVES

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, Vincent Mashinji ni mdaiwa sugu BOA Bank

    Mleta mada benki hupata faida pindi mfanyabiashara anapo kopa .Kama wewe hudaiwi tafsiri yake huchangii chochote kwa uchumi wa nchi yako .Kama unadaiwa una tija kwa taifa wewe Ni mtu muhimu kwa benk na taifa pia .
  15. HUGO CHAVES

    Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

    Hao wazee wazalendo kweli
  16. HUGO CHAVES

    Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

    Hao wazee wazalendo kweli
  17. HUGO CHAVES

    Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

    Mwalimu aliweka misingi ambayo misingi hiyo iliwekekwa na kina Mao tse tung .tuenzi nyayo zake .najivunia kuwa na baba wa taifa .mwalim nyerere
Back
Top Bottom