kama matatizo ya ufisadi hayatashughulikiwa kwa dhati, kukatika umeme kusikokoma, utawala bora (haki itendeke katika maamuzi kv uchaguzi, usalama wa raia..) kama havitashughulikiwa kwa dhati; na wananchi wasipofanya kazi kwa bidii zaidi tutarudia maisha ya karne ya 18 ifikapo 2015. tuache...
mapenzi ni kuvumiliana. it is nature vitu viwili au zaidi zikiwekwa/vikikaa pamoja msuguano ni lazima. weka kilainisho kidogo kupunguza msuguano lakini msuguano ni palepale. Hivyo hivyo katika mapenzi msuguano ni kawaida inahitaji management.
nchi yetu ikiwa katika karaha kubwa ya giza kutokana na mgao wa umeme, mwaka huu tunaadhimisha miaka 50 tangu tupate uhuru. kwa kujipongenza kumaliza miaka 50 wakati karaha hiyo inaongezeka tujue tunakokwenda ndiko siko. ni vema tutafakari tumekosea wapi tukashindwa kutatua tatizo hilo mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.