Search results

  1. Mwamikili

    Chonde Chonde CCM!, Kakobe Has Powers!, Akisema CCM ni adui wa Mungu, 2020 CCM Haitapata Kura Milioni 10 za Walokole!.

    Pumba kabisa za huyo muumini pascal, mbona ameshanadi wagombea kibao majukwani na wakaishia kuangukia pua, amemchezea jk sasa hiki chuma cha pua subiri
  2. Mwamikili

    Vijana wa CCM simameni kudai mabadiliko ya CCM kikatiba sio porojo za CCM mpya ya Polepole

    nimeona twitter, chadema ikiendeleaa kutegemea ma idiot kama ww yericko kutwa kutukana mitaandaoni kitamfia mbowe acheni siasa za mitandaoni nendeni kwa wanachi, issue ya kuchaguliwa magufuri tayari ilishafanyika wakati akigombea urais hivyo itakapofika miaka kumi ya urais ataingia mwingine kama...
  3. Mwamikili

    Lazaro Nyarandu: Muelekeo ni mhimu kuliko kasi

    pumbavu sana hawa, si ndio wakati wao twiga anapanda ndege, majinga sana yamebanwa mbavu saa hizi yanajifanya kuropoka ropoka na bado
  4. Mwamikili

    Lazaro Nyalandu, kinyongo cha Uwaziri kitakuponza

    jinga sana li nyarandu na ndio lilikuwa likuuza wanyama wetu, akafie mbali huko
  5. Mwamikili

    Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu

    upo sahihi cha msingi hapo ni kupeleka haraka sana watu wa mbadala ambao ni jeshi, tiss na tmaa wapya
  6. Mwamikili

    Tundu Lissu ametaka viongozi waliowahi kuongoza Wizara ya Madini wachukuliwe hatua

    haya ni moja ya majitu yaliyotufikisha hapa p.u...vu sana wote waliokuwa makamishina wa madini washitakiwe
  7. Mwamikili

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    upeo wako ni mdogo sana. hapa issue sio mikataba issue ni declaration ya wealth ya container na accia anajivua mwenye huu msala ni SGS sasa ndio itokee independent commision ikujumuisha SGS, ACCASIA, GOVT, Bunge wachunguze tena tujue ukweli
  8. Mwamikili

    Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

    imesema wapi kumbe ndio maana darasani ulikuwa unafeli, maana husikilizi vizuri, wamesema masaa 7 na 40min
  9. Mwamikili

    Nadhani ujumbe umefika, hakuna tena mwingine atakayekuja na 'single' ya kejeli kwa viongozi

    umeona enheee hiyo ndo dawa ya wabongo, akina bashe na rostam, kalamaghi, iptl, richimond, nbc, ttcl, wakati wanaiibia hii nchi akina bashe walikuwa wapi?
  10. Mwamikili

    Bashe: CCM acheni unafiki, mimi nimeshakamatwa na watu wa usalama. Nipo tayari mniondoe kwenye chama

    hivi utekaji na wizi wa mali za watanzania kipi kibaya, kwanza utekaji ni ww mwenyewe kihere here chako na matusi kwa serikali na ww bashe mku... wa bibi yako mlikuwa mnashirikiana na akina rostam kuiibia hii nchi sasa hakuna madili mnatafuta pa kuchomokea rudi kwenu somalia kashike mtutu...
  11. Mwamikili

    Zitto Kabwe: Rais Magufuli amemzuia RC Makonda kutokea mbele ya Kamati ya Bunge

    Mkuu kunatakiwa signature 20% ya wabunge (396) wasign ambao ni kama 79 hivi then liwakilishwe kwa spika siku 90 kabla ya kikao cha bunge alafu spika aunde jopo la watu nane mwenyekiti akiwa jaji mkuu kumchunguza rais wrong doing then likimaliza limpelekee spika na spika a table mezani ijadiliwe...
  12. Mwamikili

    Sasa siyo siri tena ni Vita vya Magufuli na Makonda dhidi ya Mawaziri wa CCM!

    kaka kutokuwa na imani na waziri mkuu ataunda serikali nyingine labda useme kutokuwa na imani na rais ambapo jopo litaundwa kumchunguza rais na kabla hilo jopo halijamaliza kazi atakuwa amevunja bunge ndipo uchaguzi utarudiwa. Nyerere alishawaambia kuwa kwa katiba hii mkipata rais dikteta mtakoma
  13. Mwamikili

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    hahaaaaaaaaa mkuu kila anaepanda jukwani ni makombora kwa Makonda huku wakijifanya kumshauri rais amshughulikie makonda na wakizidi kusema eti hajatumwa na mkulu haaaaa wabongo bana na ingali walimsikia ikulu akiwaponda hata wabunge ila nao wakaenda kucheza mziki wa makonda, kidogo zitto ndo...
  14. Mwamikili

    Magufuli wana hasira na wewe, mpe Makonda Unaibu Waziri Mkuu, anaweza

    Kaka gwajima mbona hamsemi magufuli na wakati magu kamponda kupeleka kwanya polisi, kama yy kidume angemjibu rais kwa nini anakimbilia kwa makonda? nimekuelewa mkuu na wanao isoma number ni ccm waliozoea vya dezo wacha wanyooshwe, hawa akina rizwan walitaka kuifanya nchi ya kifalme sasa nao...
  15. Mwamikili

    Bulaya: Makonda amenipigia simu na kudai wabunge sio chochote kwake, yupo karibu na bwana mkubwa

    una ushahidi si uende mahakamani la ni porojo na bora uende ukasagane na mdee wako
  16. Mwamikili

    Nahisi anachofanya Tulia ni sehemu ya mbinu za uspika

    kaka katika vitu umenena ni hili la Ndugai, leo wapinzani wanamuona anabusara haaaa wakati ndio kalikuwa kakorofi ile mbaya, hivyo hivyo keshokutwa Tulia ataonekana anabusara kuliko naibu wake atakae kuja
  17. Mwamikili

    Joseph K. Musukuma(Mb): Makonda awekwe ndani aseme anatoa wapi pesa ya kusafiri USA, UK na Dubai

    Msukuma ni akili ndogo sana ambae anasikia maneno huku na kule na kuyaropoka bila kujua effect yake, alitumika kwa Lowassa na alitegemea shavu kwa magu na kalikosa maana magu sio wa maji taka
Back
Top Bottom