Search results

  1. M

    Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

    Manabii waliokuwepo,walikuja kwa ajili ya kuutambulisha ulimwengu juu ya uwepo wa Mungu.Walimaliza kazi yao na walirudi kwenye ufalme wa Mungu.Hakuna tena unabii mwingine.Hawa manabii wote wa sasa ni wapiga dili tu,wala siyo wachamungu.Ukiwafuatilia mambo yao utapatwa mshangao wa hali ya juu.
  2. M

    Nigerian witch doctor sentenced to 14 years imprisonment in America

    This works spiritually,right from the bottom of the possessor soul.
  3. M

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Wana jamii,naomba mnisaidie.Hivi ukishakusanya hela nyingi sana baadaye inakuwaje? Kwa hakika huwezi kutembelea gari mbili kwa wakati mmoja,kulala nyumba mbil kwa wakati mmoja,wala kula sahani mbili kwa wakati mmoja. Kama haya madudu ya mwanamama Blandina ni ya kweli,basi tuombe mwongozo wa...
  4. M

    Loliondo hii nayo kali

    Ndugu yangu sina ushauri wa moja kwa moja,ila nitakusimulia machache. Mimi ni tabibu ktk kitengo cha UKIMWI.Baadhi ya wagonjwa wangu wamekwenda kwa Babu.Kwa imani kubwa waliyokuwa nayo kwa babu huyu,wengine waliamua kuacha dawa za ARVs,hawa wamefariki watano kwenye clinic yangu,wengine wote HIV...
  5. M

    Wa usoni yametepwereka mno

    Kwa kweli watanzania tukiendelea kuiga haya ya magharibi,itakula kwetu. Hivi mtu akibaki natural, atakuwaje?
  6. M

    How to use JamiiForums effectively

    hello waungwana,nafurahi kuwa nanyi.
Back
Top Bottom