Search results

  1. freeboy

    Nimemaliza deni Bodi ya Mikopo ila sijui cha kufanya

    Mkuu type muongozo hii barua umeipata ofisi ya bodi ya Dar au Dodoma, Nasi tunatarajia kumalizia hili deni karibuni ni vyema tukajua utaratibu wa kupata barua. Natanguliza shukrani
  2. freeboy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    @Ncherry1 bora wewe ndugu yangu umelipia mwezi wa 10 wenzako tumelipia mwezi wa 9 mwanzoni kabisa hadi leo hakuna dalili ya kufungiwa umeme huko mwisho wa reli, jibu ni hilo hilo kila mara hakuna mita, ila kinachoshangaza wengine wanafungiwa sijui mita zinatoka wapi.
  3. freeboy

    Msaada: Tatizo la Estrogen kuwa nyingi kwa mwanaume

    Pole sana mkuu, jitahidi kupunguza vyakula vya wanga na sukari. Unaweza kumtafuta dokta Boaz mkumbo na tiba yake ya sayansi ya mapishi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. freeboy

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu Abdulwahid hizi bei za LED na smart ya Hisense naona zinachanganya kidogo jaribu kuziweka sana au hua zinabadilika badilika. Isije kua napanga bajeti ya smart najikuta napata LED mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. freeboy

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Asante sana mkuu, hapa ngoja nifanye tathmini ili nijue bajeti inasimama wapi. Ila napenda kujua kusafirisha hadi Kigoma itagharimu kiasi gani ili nipate hesabu kamaili. Na utaratibu wa kupata mzigo unakuaje? Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  6. freeboy

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu Abdulwahid nikusumbue kidogo kiongozi, nataka unipe bei ya LED na smart tv za nch 32 na 40 nifanye tathmini mkuu. Natanguliza shukrani mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. freeboy

    Kwa majibu haya ya vipimo, je nitaweza kuzalisha au nikae pembeni tu?

    Mkuu mwambie mkeo amsome sana dr boaz mkumbo yupo sana facebook na instagram, kuhusu mirija kuziba naona anawekaga shuhuda za watu kupata ujauzito ingawa uzito wa mkeo upo sawa.
  8. freeboy

    Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

    Mkuu ungeweka na picha ya vidongr hivyo kama unayo ingekua rahisi sana kwa mtu anayeenda kununua.
  9. freeboy

    Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

    Pole sana mkuu ndio changamoto kila jaribu lina mlango wa kutokea uwezi pewa mtihani usiohumudu, ndio maana umeshayazoea maisha hayo. Dr Boaz anapatikana sana youtube, instagram na facebook. Kwa sababu ya tatizo la kusikia nashauri mfatilie sana facebook au instagram Pia ana blog yake.
  10. freeboy

    Msaada; Nina tatizo la kuona na kusikia vyote kwa pamoja

    Pole sana mkuu kweli dunianu kuna changamoto sana kuna binadamu hawajua kabla ujafa haujsumbika. Embu jaribu kupitiapitia makala za Dr Boaz mkumbo kuhusu athari za sukari na wanga zinaweza kukusaidia pia labda mfumo wa mwili haupo sawa sehemu.
  11. freeboy

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Mkuu Mshana Jr endapo mtu amekosa chumvi ya mawe au mabonge kama unavyoita, je akitumia chumvi ya kusaga hizi wanaziuza kwa kupima kina mama yaani ylile ya mawe iliyosagwa inafaa.?
  12. freeboy

    Naishi na maumivu ya tumbo kwa zaidi ya miaka 14

    Pole sana mkuu, kama wadau walivyosema hapo juu jaribu kuangakia na mfumo wako wa kula. Unaweza kumtafuta Dr Boaz Mkumbo kwa kumfatilia youtube au fb ili upate muongozo wa lishe.
  13. freeboy

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Hapa kwa lishe ya Dr Boaz Mkumbo hata mimi naunga mkono. Ajaribu kumfatilia ili ajifunze kubalance vyakula ikiwezekana anunuue kabisa kitabu au kujiunga na program zake. Ikiwezekana amtafute kabisa kwa ushauri.
  14. freeboy

    Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Wakuu mimi nauliza huu utaratibu wa NACTE. Mwanafunzi aliyemaliza form four na kupangiwa chuo na NACTE na anataka kuhama chuo na kozi aliyopangiwa, wanasema lazima kwanza athibitishe ndio aombe kuhama chuo/course. Je huyu mwanafunzi aliyethibisha ikitokea kakosa chuo/ kozi anayotaka kuhamia...
  15. freeboy

    Tetesi: Kupangiwa vyuo kwa wanafunzi walio maliza kidato cha nne 2019.

    Ngoja nami nisubiri jibu la hili swali hapa. Ukipata jibu nitag mkuu saidi
  16. freeboy

    Msaada kuhusu kuthibitisha/kubadili chuo NACTE

    Hivi kweli amekosekana wa kusaidia hili humu ndani wadau ?
  17. freeboy

    Msaada kuhusu kuthibitisha/kubadili chuo NACTE

    Wanabodi nawasalimu, Ndugu zangu napenda kuuliza utaratibu wa kuomba kuhama chuo kwa mtu aliyepangiwa chuo na NACTE. Kwa mujibu wa maelezo ya NACTE kama ilivyoelezwa hapa chini: Na tangazo likaendelea kujieleza kama hapo chini: Maswali la Msingi: 1. Je mwanafunzi anayetakiwa kuthibithia...
  18. freeboy

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Mkuu nsanzu ni vizuri ukifafanua ili wengine tujifunze umeitumiaje katika kuweka mazingira mazuri ya kibiashara.? Na pia kuufanya mwili na usingizi kua mzuri ? Ushuhuda wako utakua msada kwa wengi hapa.
  19. freeboy

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gani yenye option ya sub hiyo.? Sent using Jamii Forums mobile app
  20. freeboy

    Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

    Hili tatizo la aleji ya mafua halijapatiwa ufumbuzi tu ? Maana tupo wengi tushamaliza hospitali kibao. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom