Search results

  1. M

    Kuweni Makini na Tigo

    Ahsante..yaani ni kifo cha nyani tu,nimeangalia salio langu limeongezeka kiasi kile kile alichoingiza ndio maana nikashawishika kumpa yaani hadi senti,walikuwa wanajua kiasi kilichomo kwenye a/c yangu waka add laki 3. Nafikiria kuachana na hii biashara naona kama unawafanyia watu tu,ni Risk...
  2. M

    Kuweni Makini na Tigo

    Duh..tabu kwelikweli K zipo mbili ipi sasa ya Miss k inawakilisha my really surname na ile 3k inawakirisha Laki 3 Pole ,pls try kuwa mstaarabu tumia lugha ya heshma hata kama ujui nani unaongea naye unashusha P yako bila sababu ni hayo tu. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  3. M

    Kuweni Makini na Tigo

    Mimi ni mjasilia mali nafanya biashara ya kuweka na kutoa pesa I.e Tigo pesa,M-pesa,airtel money Leo amekuja mtu ametaka toa pesa 3k nimemtolea baada ya sms kuingia kwenye simu yangu na salio kuongezeka lakini baadae nikagundua nimepigwa !!!nikawapigia tigo kuwaeleza kwamba sms imeingia kutoka...
  4. M

    Nauza gari suzuki wagoni cc 990 bei poa

    Cyndy inajieleza kuwa wa kike that's y nikasema mdada kama nimekosea naomba samahani. Sijakusoma ikiwa njema hakuna rangi utaacha ona
  5. M

    Nauza gari suzuki wagoni cc 990 bei poa

    Wadau naomba kujua hivi Suzuki wagon ni kale kadogo kama Suzuki Alto? Spares zinapatikana kwa urahisi nchini kwetu? Mdada naomba weka tupicha kidogo Tuione hiyo gari ,mi natafuta gari pia Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  6. M

    Habari Mbaya kwa wanaotafuta kazi- Hakuna ajira mpya mwaka huu ila kwa Walimu na Madaktari

    Maisha bora kwa kila Mtanzania!!!!!!!!!!! Aaaaggrrrrrrrrh Hasira sana Walimu na Madaktari..watoto wao wanasoma mbali wanatibiwa mbali sisi tunaotegemea shule zetu za magoma kitakita tumikwisha..Ualimu ni wito kama udaktari siheri zingekuwepo nafasi za Jeshi Tukajifunze mbinu zetu zile tuje...
  7. M

    Mbakaji wa wanawake apata kipigo baada ya kutegewa mtego

    Naona jamaa kavaa ring kidole chetu kile ...hana mke huyu? heri asiwe naye maana bonge la aibu kwa mke wake kama anathubutu kubaka ndani inakuwaje?? Si anaweza kukufanya visivyo!!! kwa kukutishia bisibisi nasisi tunavyoogopa kifo!! Oooh MUNGU tuepushe na balaa ili nimeona thread nyingine...
  8. M

    Hodi waungwana wa JF

    Moha;Heshima mbele,naomba mnipokee Karibu sana Jf great thinkers,zingatia masharti tukuze jamii yetu
  9. M

    Soda yangu

    Hiyo unayokunywa wewe ya zamani may b imekaa sana depo...jaribu zinazouzwa kwenye magym,mashuleni zinamagesi hadi utapaliwa!! Try u will never regret no more..
  10. M

    Basic cert in tv &video prodn course

    Wanajamii naomba muongozo wenu naipenda sana hii fani na nimeanza kujitengenezea short video editing kwa kutumia program kama pinnacle 9 na nyingine kwa kujisomea tu. Sasa natafuta chuo,je ni kipi hapa tz kinachotoa hii fani kwa ubora zaidi? Tafadhali nisaidieni nikapate elimu.
  11. M

    Miss k wa JF!

    Heshima mbele wana jf, naomba mnipokee jamvini nami nipate elimika
Back
Top Bottom