Search results

  1. M

    Elimu ya tanzania inaelekea wapi?

    Ninashindwa kuelewa haya mambo yanayotokea katika SECTOR MUHIMU kabisa ya elimu yana lengo gani. Hivi karibuni Wizara ilitangaza alama mpya na mpaka ikafika kipindi kukawa na maelewano hafifu na hadi ikaundwa tume kuchunguza mambo haya, lakini nimeshangaa sana alama mpya zilizotolewa hata...
  2. M

    Natafuta mtu wa ku-chat nae kwa kiispania.

    Estoy en Dar es Salaam. ¿Dónde vives?
  3. M

    Natafuta mtu wa ku-chat nae kwa kiispania.

    Buenas dias amigo! Estoy aquí podemos charlar español.
  4. M

    Wabunge wengine bwana....

    Kwani alichokiongea Nyambari kinaewekana ama ameongea kwa vile amepata fulsa hiyo? Hii kweli inawezekana Kiswahili kutumika kufundishia katika nyanja zote za elimu? Kwa mtazamo wangu hatua hiyo bado hatujaifikia kwa sababu kiswahili hakina msamiati wa kutosha.
  5. M

    Lissu ameanza kutema cheche

    Miongozo ya kumwaga
  6. M

    Bungeni: Taarifa ya tume ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne yasomwa

    Sijawahi kuona! Nahii inadhihirisha viongozi wetu jinsi wasivyo makini. Wahusika wanasubiri nini kujiudhuru?
  7. M

    Katibu Mkuu Mpya Nishati na Madini?

    Tatizo sio Wizara, Ebu tujaribu pia kuangalia Serikali huenda ndio chanzo cha haya yote. Siamini kama Jairo peke yake ndiye aliyehusika katika hili. JK ajaribu tu pia kuangalia Wizara nzima kwa ujumla, na kama akiiona Wizara iko safi, basi ajiangalie mwenyewe pia huenda ndicho chanzo cha yote
  8. M

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    Ninaungana na familia zote zilizofikwa na msiba huu kuwapa pole kwa msiba. Lakini pia ninaweza kusema, Uzembe wa madreva ndio chanzo kikubwa cha ajali. Mimi niombe tu serikali ichukuwe hatua kali za kisheria kwa aliyesababisha ajali hii.
Back
Top Bottom