Search results

  1. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    na anaondoka bure summer hii
  2. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kinachofuata ni ku handle Transfer Request na kufanya Booycott
  3. Bukayo jr

    Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    kuepukana na complications zote hizi nunua plots ambazo ZIMEPIMWA, plot ambazo zimepimwa hakuna hizi habari za kujikuta umezungukwa na waswahili, sijui barabara hakuna ni gharama ila it is worth it
  4. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    wabebe tu, antony na sancho si wale man utd, fee kubwa wana jipya gani
  5. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    arsenal watafte Alternatives, hawa majamaa hawana akili
  6. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    poleeeee
  7. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    link ya youtube
  8. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    link ya game
  9. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    ben white kacheza sana RB alipokuwa brighton na yuko vizuri sana, juzi game ya Chelsea pia kacheza nafasi hiyo kabla ya kuingia cedric
  10. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    arsenal wame extend mwaka 1 kwa Mohamed elnenny pia, so ni Partey, elnenny na Lokonga
  11. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Leeds (hii timinga yake ni changamoto) wana hali tete na everton ni game ngumu sana, thou spurs anazo pia relegation threaten teams (BUNLEY) 15th May
  12. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    piga ignore button kwa mtu anaetukana tukana hutoona post zake kbs
  13. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nolito, Bravo, Mendy, Nathan Ake kawanunua Pep guadiola mwenyewe
  14. Bukayo jr

    Kioo cha xiaomi MI pro

    nenda CHINA PLAZA floor ya kwanza au ya pili, wauzaji wa xiaomi wamejaa pake, ukikosa agiza kioo aliexpress.com
  15. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hakuna kitu hachezi kitimu.....
  16. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hakuna kitu pale, mpira wa anao anao, too many touches
  17. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    anza kumu ignore, sasa kupoteza muda wa nini, arguments zake anaonekana wazi ni teenager, kingine kuna watu ni anti arteta, wanataka afungwe wa prove their points kuwa walikuwa sahihi
  18. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    aina ya mpira anaocheza sio kbs, anao anao sana sidhani kama anatufaa
  19. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bro umeamua Tu kumchosha mwana!!! Arsenal Kupambana na Top 3 unavyotaka, tungonjee Hii Project yao waakae walau hata miezi 24 hadi 36 pamoja (yaani 3 seasons) na hapo umeongeza Quality signings zingine kipimo cha Kuzifunga top 3 ndo unakuwa bora basi WESTHAM ni timu Bora maana kaifunga...
  20. Bukayo jr

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kwa Namna ambavyo Arsenal waliona wateneze Project mpya ya Vijana, Hata Top 4 ni Bonus kwa Msimu wa 2021-2022 sidhani kama ni jambo walidhani litakuja "OVERNIGHT" Kuzifunga hizo called top 3, itakuja, Naona unakuwa Impatient computerarsenal Arsenal kwa hapa walipo kwanza na walikotoka toka...
Back
Top Bottom