Search results

  1. kadagala1

    Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

    Tafuna tangawizi mbichi kadri uwezavyo
  2. kadagala1

    Binti wangu hawezi kuolewa na mtu maskini - Elon Musk

    Huyu hachelewi kukuozesha robot
  3. kadagala1

    Sheria ya ndoa ya mke mmoja kwetu sisi wakristo ilitoka kwa nani?

    Je, sheria ya kuoa mke zaidi ya mmoja imetoka wapi?
  4. kadagala1

    Kwanini wakurugenzi wa makampuni makubwa ni Wahindi?

    Tujiulize tu mtoto wa kihindi kazaliwa kariakoo lakini anaongea kihindi sasa angalia watoto wetu wanaozaliwa kariakoo hata kama wazazi wametokea usambaani huko vitoto vinaongea kiswahili tu lugha zao hawashiki, sijui tatizo ni wazazi na Kuna siku lugha zetu zitapotea.
  5. kadagala1

    Jana nimetembea Kilometa 43 kwa miguu

    Google map inasemaje?
  6. kadagala1

    TAHADHARI: Wahafidhina wapo toka zamani, Kisa cha Abneli mwana wa Neri na Generali Yoabu

    Mkuu ujumbe wako ni mzuri Ila Kwa kuongezea tu hapo kwenye nukuu ya biblia kama ilivyoandikwa. Imeandikwa kwamba Yoabu alimwua Abneli Kwa ajili ya damu ya Asaheli ndugu yake, ambaye aliuwawa na Abneli. 2 Sam 3;27
  7. kadagala1

    Ubora wa Xiaomi Redimi 8A

    Wote hardware na software, ndio card zote
  8. kadagala1

    Ubora wa Xiaomi Redimi 8A

    Mkuu natumia hio 8A imekuwa na tatizo la kutosoma simcard Kwa week sasa, imeniandikia no service sijui shida nini mana mafundi wameshindwa
  9. kadagala1

    Kujenga nyumba ni ndogo ya kila maskini

    Cha ajabu usiku huu lazima uingie ndani ya nyumba ulale
  10. kadagala1

    Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

    Lucky dube nimemuelewa, Ila kila mtu na kipawa chake
  11. kadagala1

    Hivi hii Biblia kuna manyang'au hawajabadilisha baadhi ya vipengele vya maandiko kwa faida yao kweli?

    Mi naomba niulize swali; Ni faida gani unaipata ukinywa pombe?
  12. kadagala1

    Fahamu namna ya ukadiriaji tofali katika ujenzi

    Mkuu, Kwenye hicho chumba makadirio ya bati na mbao yapoje?
  13. kadagala1

    Msaada; Kupata soft copy ya kitambulisho nida

    Kama ni kufanya application ya polisi weka namba tu ambatanisha
  14. kadagala1

    Matukio yanayoonesha uongo kwenye vitabu vya dini

    Mkuu samahani kama nitakukwaza, ila Kwa ushauri wangu nakuomba usihoji kila kitu ili uonekane wewe ndio unajua sana mana wapo waliojiuliza hayo maswali toka zamani na sasa hawapo tena, Mimi ninaamini akili zetu haziwezi himili majibu ya maswali haya lakini siku kila mtu atakapokufa mambo yote...
  15. kadagala1

    Uzi maalumu: Tabia zinazokera katika jamii

    Wanawake vaeni Kwa heshima tafadhalini sana, mkumbukeni mke wa Lutu.
Back
Top Bottom