Search results

  1. Y

    Kwa tahadhari tuunde TanCoBu-Coalition

    Huyu hakika haeleweki,lazima ana mental problems,soma mada kwa utulivu ndipo utoe hoja.
  2. Y

    TEC hizi tetesi ni za kweli?

    You must be sick.Unafikiri TEC ni sawa na lile baraza kuu na taasisi zake? TEC viko vichwa vyenye elimu ya hali ya juu ya kuweza kuchambua na kupambanua mambo mazito,hakuna kuhongwa ubwabwa pale.Tenauwe na adabu na TEC manake ina mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi hii katika elimuna...
  3. Y

    Komba: CHADEMA walienda Kenya na Kumtusi Kenyatta

    Ulitegemea mtu kama Komba angeongea nini? Huyu jamaa huwa hana la maana Bungeni, anafikiri kwa kutumia tumbo na mara nying akiongea utafikiri ni kuku aliyekatwa kichwa. Hopeless
  4. Y

    Serikali yafunga ushahidi kesi ya Ponda

    Wanaogopa kwa sababu ya roho ya uuaji mliyonayo si vinginevyo.Mafundisho yenu ni kuua na si huruma.Wakristu ni wastahimilivu na wavumilivu na hii ni kwasababu ya elimu na malezi mazuri.Mtoto wa Kiislamu akizaliwa anaambiwa na wazazi Mkristu ni kafiri, akifika madrasa anaambiwa hivyo hivyo...
  5. Y

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Mleta uzi asante kwa kuwa na upeo wa kutuwekea katika janvi leetu tujadili. Kama unavyojiuliza "Sijui kwa nini Tanzania ni Maskini". Nina imani kila Mtanzania mzalendo anajiuliza swali hili la muhimu.Mimi ni mdau wa utalii na niko humo kwenye utalii katika sekta binafsi.Tuna kila sababu ya...
  6. Y

    Hongera Lema! Hongera Chadema!

    Kajipange urudi baadae, dada
  7. Y

    CCM yango'a bendera ya CHADEMA na kusababisha ghasia Sumbawanga

    Umetoa hoja ya msing sana isivyo kawaida yako. Endelea kufunguka Mama Porojo.
  8. Y

    Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Mkuu Sweke34, mhadhara wa Kiislamu bila Bibilia Takatifu haunogi kabisaaa, fwatilia.
  9. Y

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Wewe usalama utakuwa nao hayo yakitokea? Sijui mnafurahia nini kufanya vurugu na kuhatarisha amani ya nchi.Ninaamini kabisa Waislamu wa kweli hawawezi kufwata ujinga huu wa Ponda na sidhani kama Ponda ni Sheikh Msomi,asingekuwa anafanya mambo yasiyo na busara na kuzorotesha maendeleo katika...
  10. Y

    Sumaye amkaanga JK

    Sumaye huyu huyu chini ya uongozi wa jirani yangu kule Lushoto,ndiye aliyebariki rushwa katika chaguzi akiita TAKRIMA,leo imekuwaje dhambi rushwa kumwangusha yeye? Ilikuwa takrima si rushwa!!!
  11. Y

    PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

    Ee Mungu nakushukuru kumpa ufunuo babu yangu kubadili dini kutoka Uislamu na kuwa Mkristu hata kuzaliwa mimi na ndugu zangu wote.
  12. Y

    CHADEMA sasa Tishio GEITA

    Acha ujinga, elimika!!
  13. Y

    Ukiwa Mnafiki Utafaidi sana CCM

    Nakubaliana kabisa na mleta uzi.Ukitak uishi ndani ya ccm lazima uwe mnafiki, mzandiki, mwizi na unayejuwa kuimba wimbo wa rushwa kwa kuiita takrima.
  14. Y

    UPDATE Maandalizi ya maziko ya Kardinali Rugambwa kesho

    RITZ, Swali lako ni la kejei kabisa na umeuliza kitu unachokijuwa.
  15. Y

    WANAJESHI wameanza kufyatuka kupaza sauti kudai mabadiliko

    Hili gamba kwanini mnaendelea kubishana nalo jamani?
  16. Y

    Kwanini CHADEMA wanaficha video ya Q & A aliyofanya Mbowe DMV?

    Kajipange upya uje na mada yenye maana na ushahidi.Usitufundishe chuki humu ndani.
  17. Y

    Balozi Hamis Kagasheki, familia yake na siasa za CCM Bukoba mjini!

    Kama mtu ana sifa za uongozi kuna tatizo gani?
  18. Y

    Joshua Nassari 'avaa viatu' vya wa Appolo

    Jambo zuri siku zote lazima lipongezwe.Alichofanya Nasari ni cha kusifiwa hata kama ni hatari kama unavyodai. Kijana huyo alifunga roho akashuka shimoni hali akijuwa ni hatari miamba inaweza kuachia na kumfunika,lakini atayajuwaje matatizo ya wachimbaji kama hajaona kwa kuona na kugusa. Ni...
  19. Y

    Imethibitishwa na Serikali... Babu wa Loliondo ni Tapeli

    Tupo kabisa.Kipindi cha kwenda Loliondo tulivuna pesa za watu wa Dar, Mbeya, Iringa na kwingineko. Magari yetu tulikodisha sana ila wengine hatukunywa dawa kwa kutokuwa na imani nayo.
Back
Top Bottom