Search results

  1. Mndengereko

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Ushauri unahitajika,gari gani nzuri kwa ajili ya barabara za rough road? Kati ya raum na spacio?
  2. Mndengereko

    Ahmed Ally: Inonga mgeni rasmi kwenye mechi yetu J'mosi

    mikorogo itapanda bei!!!!
  3. Mndengereko

    Natafuta mume, awe HIV+

    mungu akufsanyie wepesi
  4. Mndengereko

    Hatimaye Boss kaoa

    pole sana ila kaa ujue kuwa wanaume hatuoi kwa factor moja peke yake ya uzuri coz uzuri unaweza ukapotea at any time,tunaangalia ni vigezo vingine ,muhimu kwako kwa sasa ni muombe mungu akupe subra na utapata wa kwako ambae nae atakuja kukuoa ila usilazimishe awe boss kila mtu amepangiwa na...
  5. Mndengereko

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    unataka taarifa ipi si uingie mtandaoni uwe unaviona viwanja vinavyouzwa shida nini? na ununue @ your own willingness au unataka mpaka upewe na bando?
  6. Mndengereko

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    hii inaitwa e-goverment,hongera kwa serikali ni mwanzo mzuri sana japo changamoto haziwezi kukosekana ili ni bora kuanza kuliko kuwa kimya
  7. Mndengereko

    Jiulize ni kwanini Jordan na wengine wamekataa kupokea wakimbizi wa Palestine

    ukweli wa nchi za jordan na misri kuwakataa wakimbizi wa israel ni kutokana na sababu kubwa zifuatazo 1-usalama wa egypt na jordan - egypt a jordan wanaogopa kuwa wakiwakaribisha wakimbizi wa palestine wanaotokea katika ukanda wa gaza,wakiamini wanaweza kuhatarisha usalama wa nchi zao kwani...
  8. Mndengereko

    Natafuta Azola kwa mkoa wa Mbeya

    Habari wakuu, Natafuta mbegu ya chakula cha kuku azola kwa mkoa wa mbeya, naweza kupata wapi? Maana nimetafuta sana nimekosa. Au kama kuna mdau anauza basi anicheki please.
  9. Mndengereko

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ule sio mchezo wa kuigiza ,ni jambo la hatari sana lililotokea kwa uongozi wa russia kwa ujumla,na tukubaliane kuwa kuna mahala putin amefeli,kugundua ukweli ni moja ya njia ya kujisahihisha ,kinyume chake ni kujidanganya.
  10. Mndengereko

    Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

    Kuna muda huwa nataman JF wangekuwa wanafanyisha watu interview kabla hawajawa members,hii comment haina hadhi ya ki-JF kabisa
  11. Mndengereko

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Chamazi

    Ameweka kwa futi ili vionekane vikubwa
  12. Mndengereko

    Kwa haya yanayoendelea, ni dhahiri Rais anapaswa kujiuzulu

    Umeandika mwenyewe au umeandikiwa hii thread
  13. Mndengereko

    Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

    The worst thread in jamii forum
  14. Mndengereko

    FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

    Nabi afanye sub turud kwenye back 4-2-1-1 au 3-5-2 amtoe mzize na mudathir ili ki acheze na 10 then aingie moloko na kisinda/musonda.
  15. Mndengereko

    FT: Yanga S.C 0-0 Rivers United | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 30.04.2023. Yanga yatinga Nusu Fainali

    Naandika nafuta naandika nafuta,inauma sana. Tatizo moja kujirudia mara 2
  16. Mndengereko

    Rivers utd wadai kupuliziwa sumu na kuibiwa pesa

    This conspiracy has got nothing to do with yanga,kama ni kweli gari limepuliziwa na caf wamethibitisha sio lazima wahusika wawe yanga,wanaweza wakawa wao wenyewe au watu wengne.
  17. Mndengereko

    Rivers utd wadai kupuliziwa sumu na kuibiwa pesa

    Kwanini waache hela kwenye gari? Na kwanini hawakumuacha dereva? Ili alinde?au mwingne yeyote
Back
Top Bottom