Search results

  1. P

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Tusubiri ubunge wa mahakama wa msaliti zzk kwa vyovyote cdm haiwezi kukubali utumwa wa mahakama na wakala ccm ambao masaa yote wanacheza na akili za wanachama wa cdm.tusubiri mwisho wa hili
  2. P

    OFFICIAL: CHADEMA yawavua uanachama Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba...

    Zito zuberi kabwe ni maarufu lakini Hana faida kwa cdm huyu jamaa katuhujumu tangia uchaguzi wa 2010 hadi Leo anaendelea naomba chadema wakiuke amri ya mahakama wamfukuze uanachama
  3. P

    Mnyika: Zuio la mahakama halizuii kumjadili Zitto isipokuwa uanachama wake tu

    Kikao cha cdm na ajenda zake haizuiwa kilichozuiwa ni mjandala wowote kuhusu uanachama wake hata ordinary person ataelewa hili halihitaji kwenda shule ya sheria
  4. P

    Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali

    Chadema yenyewe na wazee wenye nia njema na nchi hii
  5. P

    Chadema isisimamishe mgombea Arumeru

    Kumbuka kwamba kutomsimamisha mgombea nayo chama kina kosa umaarufu kwa hiyo ni bora kupoteza pesa lakini chama kinapata umaarufu na KIMSINGI hiyo ndiyo siasa yenyewe, ni kweli tuna hitaji chama kujenga chama vijjin lakini hiyo nayo inahitaji spill over effect that is why ni lazima tumweke...
  6. P

    Kituko Wizara ya Afya, Blandina Nyoni haivi na Lucy Nkya, Hawasalimiani hata wakikutana kwenye kordo

    Hayo ni yale yale ya wale walioshindwa kuvuliana magamba na bado itafika wakati waziri kagombana na dereva wake na ni hatari kusikia Maafiosa wa ngazi ya juu kiasi hicho kutoelewana kwa sababu ni rahisi hisia zao kutawala utendaji wao na hivyo shughuli nyingine zikaathiriwa na hisia zao, Na...
  7. P

    Hii ni kwa wana CCM tu

    Na bado nataka mshindwe kabisa kama mnavyoendelea kushindwa mambo mengi kwa sababu mliwekwa na tume ya uchaguzi siyo watanzania namini Mungu atatulipa CDM kwa hujuma mliyo tufanyia
  8. P

    Kikwete akutana na uongozi wa CHADEMA Ikulu; Dr. Slaa ndani

    Shida kubwa ya wanamagamba ilikuwa ni kwama hawakumwelewa Dk.Slaa, Kwa sababu Dk. Slaa alikuwa anasema mchakato uliomwaka kikwete Haukwa halali na hivyo yeye hautambui(siyo Raisi) na akafafanua zaidi kwenye vyombo habari kuhusu hilo lakini kwa sababtu wanamagamba hakuweka akili zao katika...
  9. P

    Ufisadi wa Kufa mtu TANAPA: Hebu angalia Mkakati ulivyokaa!!

    Absolutely the fact without evidence remain to be gosip but let as keep our mind positive because nchiyetu hain mweyewe it mighty be true because the said banks are currently investing around those national park and other area of such kind. let as wait because there is swahili saying that"...
  10. P

    Kafulila kuendelea na ubunge

    Kabwe Zuberi Zitto hana madhara tena labda atolewe tena bungeni ndiyo atarudisha heshima yake na jinsi siasa inavyoenda baada hamadi ni yeye yatamkuta kwa sababu ya maneno yake na msimao wake usiozingatia maslahi ya chama na ni imani yangu ndani ya CDM wamemvumilia sana
  11. P

    JK futa uraia wa Dr Slaa, Mbowe, Zitto, Mnyika, Lema, Pengo na Shivji ili Taifa litawalike!

    Obsolent and awkward thinking has got no shame that is why your posting it but if could be you who has that mandate you couldn't say that. To deport politician and other famous persons like Dr.Slaa will put our country in hard time and the country couldn't be rulled as your thinking, Be serious...
  12. P

    Lubuva Mwenyekiti mpya Tume ya Uchaguzi!

    Sijaona lolote jipya katika uteuzi wa rais.The big problem of our country is weak institutions an their working system and their setup in combination with their constitutional Mandate on which tume ya uchaguzi operate, we can have very good people but the system is not their best allies
  13. P

    Tamko la CHADEMA kuhusu Mafuriko lililotolewa na Dr. Slaa leo

    Utendaji wa kupaa na uchumi wa utajiri wake? wakati watnzania wanahali Mbaya? Docta akiwaaambia watanzania wanaishii kwenye nyumba zinafanana na mbavu za mbwa mnasema dr anawakejili.Mwenzio huyo alikwupo tangia enzi za uhai wa mwalimu na akiwa n madaraka serikalini sasa utendaji upi we hausahau...
  14. P

    MAFURIKO: Hali ya usafiri Dar yawa tete, makazi yasombwa!

    "Unpopular town planing led to Popular disaster" all what happen is purely naturally caused but the way we have responded to it is what make unhappy because mafuriko jana yaliua watu lakini bado suala la uharaka wakati wa majanga ndani ya nchi yetu imekuwa tatizo.Tumeweza,tumethubutu,tunasonga...
  15. P

    Ajira ajira ajira wahi haraka haina elimu hii

    bul shit ur not serious
  16. P

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Tujue alitumia shilingi ngapi za walipa kodi wa tz pia tungemlinganisha na maraisi waliopita ili tujue nani alisafiri sana?
  17. P

    Huyu ndiye Simon Kisena mnunuzi wa UDA?

    mkubwa ungetupa zaidi ni wapi huyu robert kisena alisoma shahada ya kwanza? au hakuendelea tena na shule baada ya kufukuzwa? ili pia tujue inawezekana kachakachua hadi shahada ya kwanza n katumia jina lingine kabisa kwa sababu nchi yetu in mifumo dhaifu ya kugundua wezi
  18. P

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    haya bana makada wa kile chama chenu kama njoni hapa home tulianzishe coz hapa ndani kwetu ndo 2nahitaji kuandamana from the grass root
Back
Top Bottom