Search results

  1. Y

    Hivi vitu ndio vilinifanya nigome kutoka Jiji la Dar es Salaam

    Kwakweli mijitu ya arushaa unajikuta mijanja.. Alafu utalikuta jitu linasifia arusha lenyewe lipo dar. Likienda kwao halikai hata wiki, hiloo lipo dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimeishi arusha,hakuna jipya.
  2. Y

    Karani wa sensa aporwa kishikwambi Arusha Ungalimited

    Sema watu wa arushaa wanapenda sana sifa.. Nina rafiki zangu wakiweka status yaani ni kujisifia tuu arushaa arusha, alafu wao wapo dar.. Huu ni ushamba sana, Hilo tukio kila wa arushaa kaliweka status. Na kuna watu wa mbeya nao. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wasukuma...
  3. Y

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Daaaah huu hizi ni ghetto university....... My headquarter
  4. Y

    Uzi maalum wa kujikumbusha mtaa wako uliokulia. Wa Majengo, Arusha tukutane hapa

    Chamwino moja.. Shule ya msingi chamwino A Nimezurura sana vilabu vya pombe za kienyeji tupendane.. Modeko ndo njia kuu nikiwa narudi home lugalaaaa, navuka daraja la mahita naingia kwenye machimbo ya mchanga lugala. Now nipo dar.
  5. Y

    Nimejikuta ni mtu wa mawazo sana na bado ni kijana mdogo

    Ucha uboyaaaaaa , mtu anahitaji msaada unaleta punch za komedi[emoji35][emoji35][emoji35]
  6. Y

    Tusiotumia Vilevi Twende Wapi Kutuliza akili?

    Nenda psssf COMMERCIAL complex mkabala na mlimani city kila mwisho wa mwezi kuna platform ya stand up comedy, Ni sehemu nzuri sana ya kurefresh na ipo very smart
  7. Y

    Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Mkuu, dar ndo collabo ya mikoa yote. Sasa unaposema ukija dar unaulizwa unaondoka lini??.. Je aliyekuuliza hilo swali una uhakika asilimia100 ni mzaramo, au mzawa wa dar?? Watu wa dar ndo hao waliotokea mikoani wakiwa na hasira za maisha. Ivi ushawahi kutana na mtu mwenye hasira za maisha mkuu...
  8. Y

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Haichekeshi[emoji35][emoji35][emoji35]
  9. Y

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Hapa ndo nilivyoanza.
  10. Y

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Tokea nianze kusoma huu uzi nimejifunza sana. Ila picha ya kwanza ndio nilivyoanza, Na hiyo ya pili ndipo nilipo saivi. Historia yangu ni ya siri kidogo. Ila in short maisha baada ya chuo yasikie kwa jirani.
  11. Y

    Je, Panya Road wamewashinda? Wamerudi kwa kasi ya kutisha sana

    Naendelea kukukumbusha, hata hao pants road pia ni wanaume wa dar
  12. Y

    Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Mbona siri yenyewe hujatupa???
  13. Y

    Huu mchezo wa kula nyama mwisho ameuanzisha nani kwani?

    Hii ni kama kutengeneza mwisho mzuri Mfano , wewe mwanafunzi unasoma ILI baadae uwe pailot, unaanza kujiona mbele ukiwa pailot. Sasa kama unajiona mbele lazima changamoto zozote utazokutana nazo utapambana ili ufike mwisho mzuri, yaani uwe pailoti Sasa kwa ishu ya kula nyama mwishoni, hii...
  14. Y

    Uncle Shamte ana ulimbukeni wa mapenzi

    Post za jf bana zinaenda na upepo Yaani kama umepost alafu mtu wa kwanza kakupinga basi ndo mwendelezo Inshort jamaa wamemkataa Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  15. Y

    Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Acha kukomplicate mzee Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  16. Y

    Zifahamu siri za maisha

    Daaaah, Mshana wewe mtu aisee
  17. Y

    Vijana wa UDSM

    Aisee
  18. Y

    MPOKI Vs JOTI: Nani Mchekeshaji Mkali?

    Nilikuwa namwona wa kawaida joti Ila nenda youtube tafuta video tatu za joti zinaitwa Condom Mchuzi juu Husia wa Babu Usipocheka sijui una shida gani
  19. Y

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Atakayesema hii ni chai, huyo atakuwa hanaga akili. Daaaaah noma Sana mkuraysh mkuraysh
  20. Y

    Leo naleta mrejesho kwa huyu msichana wa kilokole

    Hajawahi kuleta mwanaume wowote, lakini wewe ulienda??
Back
Top Bottom