Search results

  1. Bongolander

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Mkubwa siwezi kusema najua, lakini naamini kuwa serikali haikukurupuka kuchukua uamuzi huu, sio uamuzi rahisi. Serikali haiwezi kumuweka mtu kizuizini kwa miaka tisa kwa sababu hewa, hasa akiwa shehe. Naamini kuwa itakuwa na sababu za kimsingi kabisa. Lakini tungekuwa tunazungumza lugha nyingine...
  2. Bongolander

    Viongozi wa Uamsho wapo huru?

    Tuombe Allah kuwa walioachiwa sio magaidi. Lakini nashangaa sana wanaolalamika kuwa wamekukaa rumande muda mrefu, as iff ni wao tu ndio wameka rumande muda mrefu na hakuna wengine, na wanalalamika asi if serikali imewaweka kizuizini bila sababu yoyote. Kama serikali ingeweka kila kitu hadharani...
  3. Bongolander

    Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    Mkuu Pascal huu uzi unaonyesha kuwa maoni yako yanasomwa na watu, ina maana kuwa unaheshimiwa. Na kama unaheshimiwa unajua ni nini cha kufanya. Kuzungumzia udikteta, haina maana unaupinga au unauunga mkono, na kuzungzumzia ujinga haina maana unaunga mkono au unapinga, ndio maana baadhi ya...
  4. Bongolander

    Serikali, punguza kodi ya Sukari sio Pombe

    Umesema la maana sana, nadhani ingekuwa busara kama kodi ya sukari ingeongezeka mara mbili. Sukari ni adui mkubwa namba moja kwa afya ya binadamu.
  5. Bongolander

    Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli

    Mheshimiwa Pascal Inawezekana kweli wewe unajijua mwenyewe, sisi wengine tusokufahamu hata sura tunakujua kutokana na mabandiko yako hapa. Mabandiko yako mengi yanaonesha wewe ni mtu mwenye uelewa mzuri wa utawala wa nchi yetu, lakini kama hili ni kweli ndio maana watu wanakuwa na wasiwasi kuwa...
  6. Bongolander

    Rais Samia atengua uteuzi wa Albert Chalamila RC Mwanza, Dkt. Batilda ateuliwa kuwa RC Tabora

    It was very clear from the very beginning that this Dude did not have what it takes to be the RC. Not surprised that he is now thrown under the bus, nilishangaa yeye kuendelea kuwa RC.
  7. Bongolander

    Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

    Upuuzi wa hali ya juu. So what? Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa na Telex kabla ya Afrika Kusini, umesikia mtanganyika anajidai kwa hilo? Tanganyika ilikuwa ya kwanza kuwa na shamba la kahawa kuliko Afrika Kusini ..... so what? Hivi mtu mwenye akili anaweza kukaa mahali na kuwaambia watu? Ni...
  8. Bongolander

    Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

    Mara nyingi wajinga huwa hawana hoja, jaribu kuwauliza Canada kwanini dialing code yao ni +1. Kama unadhani JF imejaa mambumbumbu utakuwa unakosea sana, ujinga kama huu unatakiwa kuupeleka vijiweni. Kuna issues nyingi sana zinazomsumbua mzanzibar dialing code haipo kwenye orodha, hata kama...
  9. Bongolander

    Kadari Singo aliyeteuliwa na Rais Samia ni Raia wa Marekani?

    Mkubwa hii ni tata kidogo. Hapa Tanzania kuna watu wengi wasio watanzania na hawana damu ya mtanzania na wanaijenga Tanzania. Lakini pia kuna watu wenye damu ya watanzania
  10. Bongolander

    Kadari Singo aliyeteuliwa na Rais Samia ni Raia wa Marekani?

    Hii kweli kabisa na pia hata hapa kwetu kuna tatizo hili. Utakuta mtu babu na bibi yake ni waliingia kama wakimbizi, lakini wakiambiwa kuwa wao sio raia ni wakazi tu wanahamaki. Kuna umuhimu wa kuwaambia watu kuzaliwa Tanzania na kuishi Tanzania kwa muda mrefu hakuna maana wewe ni mtanzania kama...
  11. Bongolander

    Kadari Singo aliyeteuliwa na Rais Samia ni Raia wa Marekani?

    Ukizaliwa Marekani ina maana kuwa wewe ni raia wa Mmarekani, kwa kuwa sheria ya urais wa Marekani ina jus-soli na Jus Sanguinis. Yaani urai halali wa Marekani unapatikana kwa kuzaliwa kwenye ardhi ya Marekani, na kuwa kuzaliwa na damu ya mmarekani. Ulaya inafuata sheria tofauti, kuzaliwa Ulaya...
  12. Bongolander

    Rais Samia ameingilia mhimili wa Bunge kwa hiyo ameanza kuisigina katiba waziwazi

    Mkubwa ni vigumu kuelewa unachotaka kusema, au huna uelewa wa unachotaka kusema. Ungeeleweka kama ungesema kuwa kuna mwingiliano wa mihimili ambao unaruhusiwa kikatiba, lakini ukweli ni kuwa Rais hakuingilia mhimili wa Bunge. Kwa kuwa Rais ni sehemu ya bunge. Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya...
  13. Bongolander

    Chad: Rais Idriss Déby afariki dunia saa chache baada ya kutangazwa mshindi wa Urais kwa muhula wa sita

    Habari za kifo chake haziko wazi, ila ni kama amekufa kwa majeraha ya risasi, na mtoto wake anayejulikana kwa jina la Kaka ametangazwa kuwa rais wa mpito.
  14. Bongolander

    Watu wakimsifia sana kiongozi, anza kuwa na wasiwasi. Wanaomsifu wana hila

    Nakumbuka siku moja JK aliwahi kusema alipokuwa mbunge alimpa lift bwana mmoja wa jimbo lake, na wakiwa kwenye safari alianza kumuuliza maswali mbalimbali kuhusu hali ya jimbo na wanajimbo. Bwana huyo aliishia kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, kwa kummwagia JK sifa kemkem, kuta amefanya kazi...
  15. Bongolander

    Jinsi wasomi wanavyodhalilishwa Bungeni

    Mkubwa ukiangalia vigezo vya kuwa mbunge utaona kuwa ni vya chini sana. Hili ndio tatizo la kwanza, na hili si kosa la mwenye elimu kunniga kwenye ulingo wa kujibizana na wasio na elimu. Lakini la pili ni kuwa, kwa mfumo wetu wa sasa siasa inalipa kuliko elimu. Ndio maana utaona maprofesa na...
  16. Bongolander

    Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

    Mkubwa inakuwa vigumu sana kuelewa pointi yako. Ukiangalia wazee wetu wengi waliofanya kazi nzuri kwa ajili ya nchi hii wengi ni watu wa shamba (wengine wanasema wazi kabisa kuwa ni wakulima au watoto wa wakulima). Naweza kutoa orodha ndefu sana ya kukuthibotishia kuwa washamba wamekuwa na...
  17. Bongolander

    Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

    Mkubwa tunatakiwa kuomba mungu sana. Kweli inasikitisha, nilifikiri watu watazungumzia maudhui ya alichoongea.
  18. Bongolander

    Ni Muda muafaka sasa Tanzania tuwe na Senate "Bunge la mabwanyenye"

    How is that so? Just pick a couple of "seniors", knowledgable and the experienced amongst the incumbent MPs, and give them tools to be senators. It does not have to be like Kenyan or Nigerian style, let us have our own. Kwa mfumo tulio nao sasa mtu yoyote anaweza kuingia bungeni kwa kigezo cha...
  19. Bongolander

    Ni Nani hasa Mwenyeji wa Zanzibar? Je, ni Muafrika, Muarabu, Mshirazi au wote?

    Mkubwa hata jina Zanzibar maana yake ni eneo la watu weusi, mwanzoni kwenye uzi huu niliweka historia ya nano Zanzibar, na ukiangalia wageni wa kwanza kuja Zanzibar si waarabu kama baadhi ya watu wanavyotaka kutuaminisha, inawezekana kabisa kuwa ni waajemi. Lakini historia ina upungufu wake. Kwa...
  20. Bongolander

    Ni Nani hasa Mwenyeji wa Zanzibar? Je, ni Muafrika, Muarabu, Mshirazi au wote?

    Hili ndio tatizo, badala ya kujibu hoja unaleta ujinga. Nani mtu wa kijiweni?
Back
Top Bottom