Search results

  1. duda

    Tenda ya PHOTOCOPY MACHINE

    bei nzuri ni ipi unayoitaka wewe? mcheck huyu kaka anazo zimeingia kama wiki tatu zilizopita 0655236074
  2. duda

    Jeeee inawezekana kugegeda kwa hali hii

    kuna njia nyingi za kumridhisha mme sio lazima sex, wanawake wengi wanajisahau, simaanishi tigo pia lkn kuna njia unaweza kumsaidia mme na akafika kileleni bila kukuingilia
  3. duda

    Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

    tabia ya wasichana wengi kuzungumza huku wanatafuna, yn nakereka sana
  4. duda

    aliniambia nichague mawili

    pole sana, nikisoma vitu kama hivi au kusikia story kama hizi hua sitamani kabisa kuolewa maana mimi huo uvumilivu nadhani sina. Why nibaki kuishi na mtu asiyenipenda??? No way, kuna kitu unaepushwa nacho hapo ni bora uanze maisha mapya. Unaweza kufa hata kwa stress na watoto ukawaacha na usijue...
  5. duda

    Pendo la kwanza?

    hajiamini na kazi yake huyo, wa kwanza ndo nn kwan jaman, anaweza kuwa wa kwanza lkn wa sasa ndo anaweza migegedo kuliko wa kwanza, sasa unafuata nn kwa wakwanza.
  6. duda

    Msaada certficate course

    ni D kwa chuo ninachosoma mm, cjui kwa vyuo vingine
  7. duda

    Msaada na ushauri wenu

    ada ya udereva ni kiasi gani? Mie pia najisomesha elimu ya juu, nimepitia vikwazo vingi lkn Mungu ni mwema nilifanikiwa kufungua biashara na ndio inanilipia ada na matumizi yangu binafsi. Napenda kukusaidia japo kidogo, ni pm nijue ada ni kiasi gani na inalipwaje kama itakua ndogo nitakulipia...
  8. duda

    kwa wanaume tu, soma hapa

    kwanini uvunje miguu, msubiri mhudumu akija muulize bili yako tu halafu lipa na uwaage kwa amani.
  9. duda

    Mtaji wa 30m

    biashara hua sio tu fulani akwambie nn ufanye lkwanza zingatia ujuzi, aina ya biashara yako na wateja wa biashara hiyo. milion 30 ni nyingi sana kama akili ikitulia
  10. duda

    Nguri wa hesubu msaada pls

    $2.7m ni sawa na 4,320,000,000 kwa rate ya 1600 kwa $1 na 20% ni 864,000,000
  11. duda

    inatafutwa kazi

    utafutaji huu mgumu jamani, tuwe makini maana usipokua serious hakuna atakaekua kwa ajili yako
  12. duda

    Msaada wa haraka

    NTA level 8 kwa ninavyojua
  13. duda

    barafu wa moyo,ananiambia turudie kuwa marafiki

    Hujaelewa nn sasa? au kusoma hujui???
  14. duda

    Msaada please!! Photocopier canon jamaniii

    Masumin na hapo Hydery Plaza wanauza ghali sana , Nenda pale Veta Chang'ombe opposite kuna duka linauza hizo copier machine na ni imara mimi nilinunua hapo na mashine ina miiaka miwili sasa na haijasumbua
  15. duda

    Upatikanaji wa flemu Mwenge, Sinza, nk - dar na bei zake

    ongea na madalali ndo wanajua frem
  16. duda

    Rav 4 new model inauzwa tshs mil 20!!

    Ecol Be serious bwana, mi nauza kweli achana na avator
  17. duda

    Rav 4 new model inauzwa tshs mil 20!!

    habari wana JF, kama mnavyoona picha hapo juu gari inauzwa kwa Tshs Mil 20. Make: Toyota Year of Manufacture : 2000 Colour: White Fuel used: Petrol kwa yeyote anayehitaji ani PM ili aweze kuja kuiona. Nawakilisha
  18. duda

    Jamani Tatizo ni nini hasa?

    ukitaka kuujua ukweli angalia the comedy show kipengele cha ndoa ndoano, yale wanayoigiza ni kweli yapo katika ndoa, sasa tunaona ni bora tujiweke pembeni tu.
  19. duda

    Mpenzi wa kwanza.....

    mi hata sura yake sitaki kuiona nn kukumbushia????????????? aende mbele !!
Back
Top Bottom