Search results

  1. jockey emmanuel

    Mdada anapomkunjia ndita ampendaye atarajie nini?

    ategemee maumivu...yaani kibuti...
  2. jockey emmanuel

    Nimerudi tena wanajamvi....

    Baada ya kupotea kwa muda mrefu nimerudi tena wapendwa wangu....nilikuwa mwana mpotevu,..lkn xaxa najua kuwa MUACHA ASILI MTUMWA!...niliwamisi xana ol da tym dat ckupost ki2 wala kutoa mchango wangu...lkn xaxa nimerudi tena kulijenga taifa langu la JAMIIFORUMS...i luv u ol!....:A S 12:
  3. jockey emmanuel

    Awamu ya tatu ya mgomo wa madaktari 23 June, 2012

    dc ina-discourage tunaotaka kuwa doktaz,..honestly hata kama ni kuvumilia na kujitolea co kihivyo
  4. jockey emmanuel

    Picha za MNYIKA akitolewa nje ya Viwanja vya Bunge

    mh...hilo ndo bunge letu,...litakumbukwa daima kwa vituko vicvyoisha
  5. jockey emmanuel

    Tabia mbovu maticha wa kiume

    nasema nanyi walimu,mnaoniangalia matendo yenu ya sumu,mi' nimeshayasikia bado hamjanipata?nimetumia tungo tata? kweli kupanda mchongoma,na kushuka ndio ngoima ninapatwa na uchungu,nikiwacheki walimu napata kizunguzungu,matendo yenu ya sumu twapigania haki zenu,mnazima ndoto zetu tunatetea...
  6. jockey emmanuel

    Si atakuwa ananipenda au najidanganya?

    endelea kumpma had akiopolewa na wajanja ndo utaelewa maana ya mapnz
  7. jockey emmanuel

    Polisi anapopagawishwa mpaka kusahau kazi

    mh..dunia ina mengi kwelikweli :shock:
  8. jockey emmanuel

    Chonde chonde JF....!

    wape haoooooo....wala ucwakopeshe!wakimeza wakiteama hiyo ni shauri yaoooo...wanaboa,wanataka wote tufanane ama?...kama ni hivyo watengeneze websyt yao wenye mawazo sawa...
  9. jockey emmanuel

    Mnakumbuka track hizi?

    usisahau ule wa "mrembo na.8 ananichanganya..." na "kama wanipenda,nnunulie zeze,nikilala kitandani.." na mingine miiiiiiiingiiiiiiiii ya kumwaga ni wewe tu kukumbuka!....pamoja sana JF FAMILY....MSIKOSE TAMASHA HOTTEST ONE LITAKALOFANYIKA WET N WILD,DECEMBER HII,MIMI NTAKUA NAZINDUA ALBAMU...
  10. jockey emmanuel

    Mnakumbuka track hizi?

    SIO SIJATOKA MBALI YANI CKU HIZI NA HAYA MASOMO 11 NITAKUMBUKAJE ZOTE?HALAFU NKITAJA ZOTE NYIE MTAONGEZEA NINI?ONGEZA NDG,INAELEKEA WE UMETOKA MBALI EH?ENZI HIZO HIZI TRACK ZINATOKA MI NLIKUWA PRIMARY XCUL,WEWE JE?NAJUA ULIKUWA MAYB SEC CO?LKN NILICHOMAANISHA HAPO KTK WAT U QUOTED NI KUWA...
  11. jockey emmanuel

    Huyu ndo msanii ninayemkubali Bongo, we unamkubali nani?

    namkubali roma mkatoliki kamanda wa ukwee,kalla jeremiah akisema wimbo wa taifa,mwana fa akisema bado niponipo na prof jay akisema nikusaidieje.zaid ni zile nyimbo zilizokuwa zinanikosha roho enzi zangu za primary ukitaka kuzijua refer to the thread nlo anzisha inaitwa "MNAZIKUMBUKA TRACK HIZI?"
  12. jockey emmanuel

    CHADEMA yapata pigo jingine baada ya Slaa kushindwa kushawishi umma wa Arusha kukaa kwa wiki

    KWELI JAMII YA WATZ NI YA KUJENGA UPYA,wanasikia lkn hawaelewi,wanashuhudia lkn hawaoni...kizazi gani hiki?wanamapinduz wa kweli ndio wapo jikoni wanapikwa tayari kwa kuijenga nchi mpya...tym will tell
  13. jockey emmanuel

    Mnakumbuka track hizi?

    "Mtoto idi kazua balaa mtoto idi kazua mikosi kisa pamba kapandwa na kichaa anahitaji kurekebishwa" mb dog akikwambia latifa,"penzi la dhati lati mi ntaona aaaa penzi la uzushi lati mi ntajua aaaaa kumbuka dog man dog nakupenda ukiniacha dog man nitakonda..." ferooz akisema starehe,"hapa...
  14. jockey emmanuel

    Sitasahau...na wewe nipe yako!

    ni asubuhi njema naamka najiandaa kwa ajili ya masomo yangu ya kawaida...ni jumatatu nyingine ambapo nipo ktk mfungo kwa ajili ya vitu fulani vinavyo husu maisha yangu.sina hili wala lile...tukiwa assembly narudi hadi mwisho kabisa wa mstari na kuanza kuwapa hi masela viranja nikiwa...
  15. jockey emmanuel

    If you have a weak heart dont Open!

    ama kweli malipo duniani,akhera hesabu tu!...bt ctl i dnt think if tc a gud idea kumchoma m2 kiac kile,4 sure inatisha na kusikitisha...wachawi wengine wajifunze,im sure wauaji ni kati ya waume ambao wake zao walibakwa usiku kiuchawi...cha mtu mali....
  16. jockey emmanuel

    Naomba serikali inipeleke India nikatibiwe Mafua

    i lyk ur swaggz..mi ndo serikali,nambie kiasi gani kinahitajika..bt kumbuka kuna india nyingi cku hz,mi ntakupeleka kule uhindini dnt wory
  17. jockey emmanuel

    Rais Kikwete arejea ghafla ikulu ya Dar es salaam

    asante kwa kunijulisha,kweli xcul za boardng vita inaweza ikaanza madenti wanashtuka pale nchi inashangilia ushindi lol...
  18. jockey emmanuel

    Obama's Profound Disrespect For The Presidency

    huo ni mueditio wa wazi kabisa....haipendezi..
  19. jockey emmanuel

    CHAKACHUA..... Ujiachie!!!!!

    umbea...upo wa kumwaga!huku kipya ni admin ye2 inabana madenti balaaa,maisha yamekuwa kama sumu,machafu kibao yanafichuka...ukitaka kujua zaid,,,dnt wory ntawatel soon
Back
Top Bottom