Search results

  1. Dume la Mende

    Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Labda humjui vzr. Huyu mtu ni RC smart kuliko wote waliopo sasa. Age is just a number Kaka. Ally Hapi ni mdogo, utamfananisha kwa lipi na Kone? Ni usiku na mchana!
  2. Dume la Mende

    Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Mkeka wa wakurugenzi pia upo maana ndio wapigaji zaidi
  3. Dume la Mende

    Mawaziri 5 bora 2016

    Sasa tunaelekea kumalizia mwaka huu wa 2016. wafuatao ndiyo bora zaidi kiutendaji " top 5" .... Hii ni kwa mtazamo wangu. Mawaziri: 1. Mwigulu Nchemba 2. Nape Nnauye 3. Ummy Mwalimu 4. Mbarawa 5.Ndalichako RCs 1. Mrisho Gambo.......Arusha 2. Paul Makonda.......Dar 3. Amos Makalla.......Mbeya...
  4. Dume la Mende

    Mikakati dhidi ya Dr. Slaa: UKAWA mnaona hii ni sawa?

    Atajitoa siku 2 kabla ya uchaguzi na kupata kabisa ng'ebe. Tusibiri.
  5. Dume la Mende

    Akina mama Mkalama na Iramba waandamana kupinga kauli ya Lowassa

    Kama ni kweli basi imekula kwake maana wanawake wana nguvu sana na no faithful voters.
  6. Dume la Mende

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Naangalia ITV mkutano wa Lowassa na wanawake wa Dat. Hawa wanawake Nadhani wamelewa viroba wanapiga ma kelele hawamsikililizi mgombea yamo ni vululu vululu!!!
  7. Dume la Mende

    CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoni Tanga kimesema kuwa katika kuelekea uchaguzi mkuu wanamuunga mkono aliyekuwa Katibu Mkuu Dkt Wilbroad Slaa kwa kitendo chake cha kukaa pembeni kutokana na ujio wa Edward Lowassa na kupewa nafasi ya kuwania urais. Sisi wanachama na viongozi wa...
  8. Dume la Mende

    Mama Salma Kikwete kufunga kibwebwe kumnadi Magufuli

    Bwahahhahaaaaaa!!!!!!' Ati nini???
  9. Dume la Mende

    Wananchi Sumbawanga wamwita Magufuli, jembe

    Yeah! you are right. Hilo kweli ni jembe linalohitaji kuingiziwa mpini kisawasawa
  10. Dume la Mende

    Kura za maoni CCM Arumeru kurudiwa

    sasa.... unaweza kuamini
  11. Dume la Mende

    Mawaziri mzigo kwa Taifa

    Imekaaa vizuri,,,,,,,,,,
  12. Dume la Mende

    Huyu Mwigulu Nchemba ni nani haswa?

    Chadema msifanye masihara na huyu kijana,, kama ataongoza kampeni Arumeru basi hapo muandike maumivu,, lazima itakula kwenu
  13. Dume la Mende

    Arumeru Mashariki hakueleweki!!!!

    Elirehema Kaaya yuko vizuri
  14. Dume la Mende

    Katibu Mwenezi CHADEMA atimkia CCM

    na Ghisa Abby, Morogoro KATIBU Mwenezi wa Wilaya ya Kilosa kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Raymond Mlama na mjumbe mmoja, Penford Chimola, wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama...
  15. Dume la Mende

    Mbowe aisifu CCM kwa kukuza demokrasia

    Umeona eeh?? polepole tu mpaka wataingia chumbani
Back
Top Bottom