Search results

  1. M

    Tukitaka tume makini na zakuaminika

    Napenda nitoe maoni yangu hapa na tujadili 1.Tume zipitishwe na Bunge 2.Tume ya uchaguzi iteuliwe na Bunge kuepusha kupendelea chama fulani au kulinda watu fulani 3.Tume ya katiba iteuliwe na Bunge 4.Tume ya katika ifikirie kuwepo kwa wagombea binafsi kuanzia Ngazi za mitaa 5.Viti maalum...
  2. M

    Safari, Marando, Lema, Zitto kuwasha moto Bagamoyo leo jioni!

    Ni mkutano muhimu sana kwani Mkuu wa nchi anatokea mkoa huo.Ndicho kioo cha kutazama watu wajitokeze kusikiliza na siyo ushabiki. Naombea amani mkutano huo MUNGU ibariki Tanzania
  3. M

    Maxence Melo (Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums) apata ajali mbaya Maeneo ya Nzega

    MUNGU aponye haraka wana JF tumepokea kwa mshutuko mkubwa tukio hilo na tunafurahi siyo mkono wa Mtu
  4. M

    Mlitudharau na kutucheka leo mnatuona mashujaa!!

    Wana JF naomba nijibiwe hili Swali kwa umakini na kuendelea kuilinda haka kaamani kalichobakia kuelekea Saa ya ukombozi.Nimekumbuka Kile kitabu cha things fall apart cha Marehemu Chinuo Achebe
  5. M

    Bila Mungu taifa litaangamia

    Kauli zinazotolewa na viongozi kuepusha uvunjaji wa amani hazina hata tone la kumwogopa na kumwomba MUNGU atuepushe na yanayotokea. Yamejaa ubabe mtupu na hayana Uzalendo.Ningependa kusikia tuunde tume ya kurudisha amani ya nchi inayopotea Kila kukicha mifano hai ya amani kupotea:- Polisi...
  6. M

    Amani na Usalama wa Tanzania uko kwa Watanzania wenyewe

    Matokeo yote yanayonayotokea siyo ya kufurahisha kwa nchi yenye historia nzuri kama Tanzania. Tuungane kwa pamoja kulinda amani bila kujali itikadi ya chama,dini au kabila.Tuungane kwa pamoja kulaani maovu ya kigaidi na mauaji yanayotokea hapa Tanzania
  7. M

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    Nini hatma ya rushwa na ufisadi kwa wanyonge wa kitanzania kama siyo haki kutendeka
  8. M

    Wabunge wa CHADEMA Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kuhojiwa

    Kamati inafahamika wazalendo wanajulikana na wasio wazalendo wamo pia "ni nyakati za mwisho"
  9. M

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hakuna rushwa kwa CDM ni nguvu ya uma na kumwomba MUNGU tu
  10. M

    CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

    Tulianza na sala tumalize kwa sala.Kunyesha haki na nguvu za umma
  11. M

    Pinda ahalalisha mgomo wa madaktari,huku wanaharakati wakimwaga mboga,haponi mtu kesho.

    Ee Mwenyezi MUNGU wape hao viongozi busara na hekima, kufanya maamuzi ambayo yataokoa zimwi hili linalokumba secta hii nyeti. Inayogusa Watanzania wote. Epusha vifo ambavyo vinaweza kuepukika.Mnaotajwa hebu muogopeni MUNGU na toeni uamuzi kuokoa uhai wa wenzetu kuanzia kesho. Enyi wakuu acheni...
  12. M

    George Frederick Mbowe hatunae tena, JK atuma salamu za rambirambi

    Mungu amlaze mzee wetu amahali pema peponi, Poleni sana Wakina-Mbowe na jamii yote iliyoguswa na msiba huo.
  13. M

    Madaktari wasema hawataikimbia nchi kisa maslahi mabovu

    Hapa kuna Madakitari wazuri san na Bingwa ukiwajali wana uwezo hata kuliko hao wahindi jamani hebu chonde chonde serikali waoneeni huruma wanosubiri kujifungua wiki hii. MUNGU waongoze viongozi na wanasiasa wlione hili kwa taifa letu.Farau alipigwa mapigo kutokana na moyo mgumu. Musa uko wapi...
  14. M

    Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

    Kwanza tuangalie eneo la ardhi yetu jinsi ya kuilinda tunawauzia watu wa nje hasa majirani zetu na watu kutoka Ulaya. Bila kuangalia mapanga na vita vitakapotokea wakati wa kuidai upya. Tusisingizie uwekezaji.Kwani kwao hakuna uwekezaji? kaulize ardhi kwao ndipo upate jibu. Ardhi ya Tanzania...
  15. M

    Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

    Du mbona siku 308 ni nyingi itak uwaje. Uwongo unapojitenga na ukweli hao big 6 ni nani
  16. M

    Regia Mtema is No More!

    Nimekumbuka sana Mh. Amina, Salome na hivi leo Regia. Mungu tuokoe na ajali mwaka huu.Poleleni sana Watanzania bila kujali Chama na itikadi.RIP
Back
Top Bottom