Search results

  1. M

    CUF na CHADEMA waungane kuiondoa CCM madarakani - Mtatiro

    Malemo, again Mtatiro is logical, ingekuwa chadema wana hizo nguvu za tsunami, ilikuwaje CCM wakashinda kata 22 chadema 5 tens mbili zikiwa za leap kabla na CUF wakashinda moja mpya. Na ukisoma vizuri kwenye hiyo analysis Mtatiro anaonesha kuwa, kama kungekuwa na CONSENSUS tangu awali, upinzani...
  2. M

    CUF na CHADEMA waungane kuiondoa CCM madarakani - Mtatiro

    Ni BORA kuonesha msimamo, and Mtatiro is always doing that.
  3. M

    CUF na CHADEMA waungane kuiondoa CCM madarakani - Mtatiro

    Mimi naona Mtatiro is very logical, nadhani anachosimamia ni kwamba vyama hivi vijitizame na vitengeneze jukwaa la pamoja, vijadiliane na kuondoa tofauti zao kwa nia safi ili mwisho wa siku vijipange kuiondoa CCM. Lakini naona pia kwamba Suala la CHADEMA kutangaza maandamano ya upinzani bila...
  4. M

    CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

    Wala simsafishi Mtatiro, na mara nyingi nimewahi kumkosoa kama navyowakosoa viongozi wengine wa vyama vya siasa. Katika hili chadema wamechemka, wamezoea vya kunyonga, hebu chadema ijipange zaidi, jana ninasikia kwenye maspika yao ya matangazo wakinadi eti Lipumba atakuwepo....mbatia...
  5. M

    CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

    Kama kuna utaratibu wa upinzani kushirikiana utangazwe hadharani, haiwezekani chadema iibuke ghafla na kujaribu kutudanganya ATI Leo wanaitaka CUF, si jambo jepesi, linahitaji mchakato, miezi kadhaa iliyopita nilimsikiliza Mbowe na SLAA wakihutubia mikutano kadhaa Mtwara, kila mmoja kwa wakati...
  6. M

    CHADEMA wanaingilia Ngome ya CUF - Mtatiro

    Mtatiro yuko sahihi, chadema ni wanafiki na wanafanya siasa za majitaka, ni hivi karibuni tu walikataa katakata kushirikiana na CUF kwenye mambo ya upinzani wakisema CUF ni CCM B, Leo wanawataka CUF kwenye maandamano. Upuuzi, mimi naona Mtatiro ana visheni pana, siasa za kinafiki ni mbaya sana...
  7. M

    Hotuba ya Julius Mtatiro leo Nkrumah Hall; Je, anajenga hoja?

    MADA; RASILIMALI NA MUSTAKABALI WA UCHUMI WA TAIFA LETU KWA MIAKA 50 IJAYO; Jumapili, 09 Desemba 2012, 1400 – 1800HRS – Nkrumah Hall (UDSM). Imeandaliwa na Kuchangiwa Na; Julius Mtatiro 1. RASILIMALI ZILIZOKO TANZANIA. Wakati Tanzania inapata uhuru mwaka...
  8. M

    Hamad Rashid aapa kuimaliza CUF

    Magazeti ya jana 12/12/2011 yaliripoti habari juu ya mvutano mkubwa uliotokea manzese kati ya walinzi wa ofisi kuu ya CUF wakishirikiana na walinzi wa wilaya ya kinondoni kupambana na mabaunsa waliokodiwa na hamad rashid mohammed. Makundi haya hasimu yalivutana katika tawi la KOSOVO ambako hamad...
  9. M

    CUF yafunika Igunga, Shughuli zasimama, Maduka yafungwa, CDM yapata aibu.

    MaChama cha Wananchi CUF jana kimeifunika Igunga, mapokezi makubwa ya kwanza ya kihistoria yamefanyika baada ya Mwenyekiti wa CUF profesa Ibrahim Haruna Lipumba kuwasili. Mapokezi hayo yalianzia nje kidogo mji wa Igunga ambapo Profesa Lipumba alipokelewa kwenye kijiji cha Makomelo. Lipumba...
  10. M

    CHADEMA wasaliti - CUF

    wajameni, huyu mtatiro ameshaeleza mara mbili hapa ndani juu ya hali halisi na shutuma anazopewa, na ameomba tuhuma hizo zithibitishwe, mleta mada ameingia mitini, hataki kuthibitisha, kwa hiyo tutamshambulia mtatiro wa watu bila hatia. In fact nasisitiza kuwa ukweli utasimama daima, kwa mtu...
  11. M

    CHADEMA wasaliti - CUF

    Mtatiro ni jembe la ukweli na ndiyo maana washabiki wa CHADEMA humu jamvini kila wakiona jina la Mtatiro wanakuja wakali kama pilipili, Mtatiro msimamo wako nimeupenda, waache vijana wanaokimbilia vyama maarufu wakaendeleze umaarufu huko, hiyo CUF yako wanayoidharau kaa chini utulie uijenge...
  12. M

    Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

    Hata kiziwi angeulizwa angekujibu ccm 16%, chadema 18%, cuf 66%, jusa aliwa-outnumber kabisa wenzie, aliweza kueleza mambo mengi ya msingi kwa upana na kwa muda mfupi. Alijibu chochoko zote na propaganda dhidi ya cuf. Pale kwa vyovyote chadema hawakupenda, na kwa zile hoja za cuf hata kama ccm...
  13. M

    Matokeo ya Kura za Maoni Igunga: CCM - Dr Kafumo, CHADEMA - Mwl Joseph Kashindye

    Kwa vyovyote vile LEOPARD MAHONA wa CUF ana nafasi kubwa ya kuibuka kidedea, watu wengi wa vitongoji vya igunga wanamtaja zaidi MAHONA, muhimu MTATIRO na wenzake wajipange.
  14. M

    Mtatiro Julius apata ajali mbaya Morogoro

    Wadau, Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba kamanda mpambanaji wa CUF na kiongozi wa kutumainiwa wa chama hicho JULIUS MTATIRO amepata ajali mbaya eneo la KILOMETA KUMI kutoka Morogoro mjini. Mtatiro ambaye ni NAIBU KATIBU MKUU wa CHAMA CHA WANANCHI CUF Tanzania bara alikuwa akitokea...
  15. M

    Igunga wagombea kadi na bendera za CUF

    Nilikuwa igunga kwa shughuli za kibiashara, Natabiri CUF watashinda pale, kila nilikopita mjadala mkubwa ni yule kijana MAONA wa CUF aliyepambana na RA, Pia nimeona magari kadhaa ya CDM yasiyopungua 4 huku CUF wakiwa na gari moja na pkpk zisizopungua 10 hivi. CCM bado wako mafichoni...
  16. M

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Mimi namuona LIPUMBA kama presidential material na asilani abadani sishauri aingie kwenye ubunge, he is the best Presidential candidate no matter what.
  17. M

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Mimi naongelea facts hizi kwa sababu nimekaa Igunga takribani wiki mbili zilizopita, Nilikuwa pale kwa muda wa wiki tatu. Watu wa Igunga hawaisemi CUF kama mnavyosema hapa, watu wa Igunga wanamuona Leopold Maona kama a very Strong candidate, na kwa bahati nzuri jamaa anajenga hoja vibaya mno na...
  18. M

    Chadema na CCM wanawakati mgumu sana uchaguzi mdogo Igunga.

    Leopold maona goooooooooooooooooooo! Go go! Huna mpinzani igunga labda cdm wakukodishe.
  19. M

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    Msema ukweli mpenzi wa mungu, [/FONT][/COLOR] Pale Igunga Chadema hawana mtandao na hata katika uchaguzi mkuu ulliofanyika miezi 9 iliyopita CDM hawakusimamisha mgombea ubunge na kwa wale wasiofahamu Mgombea wa CUF Leopold Maona alimtikisa sana RA na wagombea ubunge walikuwa wawili peke yao...
  20. M

    Mtatiro(CUF), Nape(CCM) na Erasto Tumbo(CDM) "LIVE" on MLIMANI TV Leo saa 2 usiku

    Mtatiro unayemdharau huyu hapa; Waziri wa mikopo UDSM - 2006-2007, Waziri Mkuu UDSM - 2007-2008, Katibu Mkuu wa vyuo vikuu Tanzania 2007 -2008, Mkurugenzi wa haki za binadamu na sheria CUF - 2009 - 2010, Kaimu katibu Mkuu CUF(bara) - Dec 2010 - May 2011, Naibu Katibu Mkuu CUF(bara) - May 2011 -...
Back
Top Bottom