Search results

  1. D

    BEI MPYA YA UMEME: CHADEMA, wasomi, wanaharakati wapinga bei mpya

    Imefika wakati sasa Umeme usiwe kama bahati ya mtu kuupata ila kila kaya mjini na vijijini lazima vitumie. Kwa nini nasema hivi; Itapunguza gharama za uendeshaji za Tanesco - watakuwa wakihudumia asilimia 100 ya wananchi na bei itakuwa nafuu sababu watakuwa wakiuza bidhaa yao kwa volume yaani...
  2. D

    Kazi ya kubadili mfumo uliopo ni ngumu kuliko tunavyodhania

    Ndio imefika wakati wakifanye chama chao taasisi kama ilivyo CCM. Watambue kwamba Zanzibar kuna watu wameichoka CUF na vile vile CCM kwa hiyo watafute weak points wapate majimbo angalau manne mawili kila kisiwa na mchezo utakuwa umekwisha kwa CUF na CCM.
  3. D

    Je hii kauli ya "2015 ni zamu ya Wazanzibar" ina mkono wa JK?

    Tuache huu ujinga. Hatuwezi kufanya kama Tanzania Visiwani kwamba wamewapa wapemba! Tanzania ni bora sana kuliko ujinga huu wa kizazi hiki. Naona sasa nchi inahitaji dikteta ili urudi kwenye mstari.
  4. D

    Urais CHADEMA moto 2015: Dk Slaa, Mbowe, Zitto hapatoshi

    Mimi napita tu........CDM mpo?
  5. D

    Pamoja na Kelele Zao Zoote, Hivi Waunguja na Wapemba Wakirudi kwenye Visiwa Vyao Havitafurika??

    Jamani wapemba na waunguja ni watanzania kama sisi watangayika tulivyo. Tatizo kuna sheria hata wao wakikaa sana huku tangayika hawaruhusiwi kupiga kura kwao na kuna watu wanasema itakuwa hong kong! Jamani kuna mchina anakatazwa kuishi hong kong akiamua! Tatizo si wapemba tatizo ni mifumo ya...
  6. D

    Tumewagalagaza tena CCM!!

    Okay CDM kama mmeanza kwenda vijijini basi 2015 hali utakuwa saaaafi. msisahau na Pemba kwa Maalim maana yule anajifanya mfalme kule.
  7. D

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    eti anasomesha vijana 11,000. STEMM si yake huyu jamaa ni mganga njaa number moja hatumtaki. Amefanya nini jimboni kwake. Charity starts at home. Kanda ya ziwa hawamjui huyu mtu! Toka aigie madarakani kiwanda gani kinachosua sua amekirudisha kwenye mikono ya serikali? Tuache upambe jamani watu...
  8. D

    Jaji Werema: CUF wamevunja Katiba

    AG yuko right. Imefika wakati sasa wananchi wachukuwe uamuzi mgumu wa kurudisha nchi yao kwenye mstari. Haiwezekani watu 100 wawayumbishe watu zaidi ya 25million sababu ya uhuni wao tu. Hivi vyama sasa ni magenge ya wahuni tu.
  9. D

    CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

    Unajua swala hili ni nyeti sana sasa kitendo cha Mnyika na Nchimbi kuweka sahihi na si wenyeviti wa vyama mimi limenisumbua kidogo na nilitarajia kitu hiki kutokea. Afadhali wangeenda kama wawakilishi wa Watanganyika na Wazanzibari yaani wawakilishi wa wananchi na kifanyike hicho kitendo. Kifupi...
  10. D

    John Malecela alithubutu

    Jamani Tangayika ipo na itaendelea kuwepo na hivi karibuni itakuwa na miaka 50. Hiyo si Tanzania bara ila ni Tangayika - so hakuna mtu yoyote anaweza kuileta sasa hivi sababu ipo! Tukitaka kujua haipo basi tuangalie jinsi vongozi watakavyo ingia uwanja wa Taifa siku hiyo. PM akiingia kama mtu wa...
  11. D

    Lowassa AKIRI alitajwa kwenye NEC ya Aprili kujivua gamba!

    Akiri, Asikiri 2012 ni mwisho wa hizi ngebe zote. Tusubiri tuone. Umeona wapi issue inashinda kikao cha maamuzi inarudishwa tena kwenye kijikamati! badala ya kupeleka kikao cha mwisho yaani Mkutano Mkuu! Chama hivi sasa kimejaza Wagagagigigogo! tupu
  12. D

    Big up Lowassa kazana uchukue nchi

    Hatutaki rais masikini tena, hatutaki rais wa majaribio, hatutaki rais asiyesikiliza hasa vijana maana ndo Taifa la leo. Hatutaki rais asiyesimamia anayoyaamini kwa hoja. Tunamtaka rais wa kutuondoa hapa tulipo na kutupeleka kwenye neema kwa wananchi wote na si wajanja wachache. na rais huyo ni...
  13. D

    Richard Kasesela nae, eti ana falsafa za mwalimu

    Ukitaka nichague nitachagua Professa though anapashwa kuwa anafundisha si kwenye siasa. Wana Rungwe hamna mtu mwingine zaidi ya huyu Richard? Amkeni msimpe jimbo mtu halafu mjutie.
  14. D

    Tanzania haitasalimika! Kenya yatumika na Magharibi kuishambulia Alshabaab!

    Mimi siwatetei sana kenya sababu wamechelewa kuchukua hatua madhubuti mapema. Hawa wanyama ndo watekaji wakubwa wa meli na hela zao hupitia Djibouti ama kenya. sasa mianya ya uhalamia imeaaza kuzibwa wanataka kuteka watalii. Ukitaka kujua hela yote haramu iko wapi kenya nenda Eastlands au Esilii...
  15. D

    Lowassa aongea na vyombo vya habari; akataa kugusia suala la Richmond/DOWANS

    Pamoja sana, waambie hao masharo balo wa siasa zisizo na tija! Endelea kuongea tutajua mengi sana mkuu, na usitishike nao njia ni nyeuuuupeeee kwako kama nywele zako.
  16. D

    Haya majimbo yatakuwa wazi kabla ya 2015

    Hao wote noma kaka
  17. D

    Nape: Tofauti ya kipato inahatarisha amani

    Kama yuko serious aifanye agenda kwenye CC na aisimamie ipite mpaka NEC ikisubiri mkutano mkuu. La sivyo ni porojo tu.
  18. D

    Uchaguzi Mkuu wa CCM 2012: Tumsapoti Lowassa

    Sokoine wa pili tu.
  19. D

    Nape Nnauye anatarajiwa kwenda Houston -USA kusuluhisha mgogoro wa Tawi la CCM

    akitukana huko watamfunga na atasahaulika kabisa. Achunge mdomo wake
Back
Top Bottom