Search results

  1. N

    Wako wapi vijana jasiri kama Hussein Bashe ndani ya CCM? Lowassa sasa fanya hivi...

    Ben naheshimu sana michango yako kwenye jukwaa hili. Lakini katika thread hii Mashindano kuamini kwamba wewe ndiye unayeweza kutoa maoni haya ambayo kwa kiasi kikubwa yako skewed in favour of your favourite candidate ambaye uongozi wa juu wa UKAWA unaoushabikia una unwinda awe mgombea...
  2. N

    Waziri Membe jiandae kukanusha

    You have nothing between your ears. Hatuwezi kujadili stories ambazo ni speculative. Hizo chenji za waliokutuma zitumikie kwa namna nyingine siyo kutuletea stori makengeza.
  3. N

    Natamani kusikia hili kutoka kwa Bashe

    acheni kumjadili hayawani. Yule dogo anatafuta uhalali wa kuendelea kuishi nchini baada ya uraia wake kuleta mawaa. Nchi hii ukiwa na mawaa jiunge na mafisadi utapona.
  4. N

    Anguko la Mahanga kwenye NEC ni ushahidi tosha

    Jamaa alikuwa na makesi kibao ya kudhulumu fedha za watu. Keshamalizana nao baada ya kupata fedha za ufisadi?
  5. N

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Hakika Lowassa ni mwanaume wa kuchukua maamuzi magumu na mifano iko wazi. Michache kati ya hiyo ni hii: 1. Aliingiza nchi gizani kwa tamaa ya utajiri binafsi na familia yake. Mkataba ule wa Richmond mpaka leo umeiweka nchi kitanzini. 2. Bila aibu wala kupepesa jicho alidai rushwa ya dola...
  6. N

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    Duh! Jamaa kashuka maana na mie nimemsoma na hakika hoja za Mgeta hazipaswi kupuuzwa. Hivi uongozi unaonunuliwa kwa mabilioni haya ambayo asili yake haifahamiki una malengo gani na kama alivyosema Mwalimu Nyerere zitarudije? Nchi imeingia kwenye janga na Watanzania wanapaswa kuamka kulikataa...
  7. N

    Mnyika hilo sawa lakini .........

    Napata fikra kwamba huyu bwana mdogo jimbo linamshinda na inawezekqna majukumu haya ni makubwa sana kwake na sasa yanamuelemea. Na hili ndilo linalowatokea wabunge wengi sana waliongia madarakani kwa euphoria na hasira za wananchi kwa chama tawala.
  8. N

    Lowassa amtaka Gavana wa Benki Kuu kueleza kwanini mfumuko wa bei haushuki

    Mnamuonea baba wa watu kutaka awe na utaalam kama mchumi wakati mwenzenu kajisomea usanii. Sasa hapo takwimu zinaingiaje? Ingekuwa maigizo mngemlaumu. Mwacheni apumzike mzee wa watu!
  9. N

    Hili la Mnyika litajibiwaje?

    Hakika heshima ya seriakali hii imewekwa rehani kama wataalam watashindwa kushauri hatua stahiki kwa wahusika hata kama ushahidi wa tuhuma za rushwa haupo. Kufukia jambo hili chini ya busati kutalifanya liibuliwe miaka michache ijayo.
  10. N

    Utata wa malipo kwa mke wa Mudhihiri

    Halafu unawaona mtaani wamevaa na suruali kumbe ni mijitu haina hadhi hata ya kutembea mtaani. Ndiyo maana ameacha ile kazi yake ya kutunga nyimbo za taarabu na kuwauzia wanamuziki wa vikundi vya rusha roho! Lakini haya yote anayafanikisha Mwenyekiti wa Bodi, Mama Anna Abdallah ambaye ndiye pia...
  11. N

    Naam, Lowassa si Waziri Mkuu, Rostam sio active politician sasa, Je matatizo yenu yameisha?

    Sisi hatujadili watu na wala hakuna majungu hapa. Tunajadili matendo maovu na uovu wa hawa wanaojiita viongozi. hata huko Marekani watu wanapewa fursa ya kupima matendo ya wanaowania uongozi wa nchi ili kujua kama wanastahili kuendelea kukabidhiwa dhamana ya nchi. Hawa wenyewe ni hoja tosha ya...
  12. N

    Hivi Mbowe hili unalionaje?

    Hili gazeti na lile la Mwanahalisi sasa yanachungulia kaburi. Walilewa sifa na tamaa za wahariri wao sasa zinayatafuna magazeti haya. Mbowe ajue kwamba gazeti likifa hao wanaoliua watahamia gazeti lingine na kumuacha yeye akishangaa.
  13. N

    Kamati ya Lowassa Kukagua Balozi

    Kwa mimi ninayemfahamu Lowassa hili halitanishangaza hata kidogo. Alipochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati hii aliwapigia mabalozi wote akiwataka wawe wanamtumia matatizo yao kwake. Hii ilikuwa ni mbinu ya kuhamisha allegiance kutoka kwa waziri kuja kwake na ku-take control ya wizara kinyemela...
  14. N

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Unadhani kutoa mapovu ndo kutoa hoja? Tunachosema ni kwamba Mnyika alitoa ahadi chungu nzima za kukwamua matatizo ya jimbo la Ubungo na hajafanya hata kimoja. Sisi tunamkamata yule aliyedhukua dhamana. Kama alaijua kwamba ahadi zake hazitekelezeki alikuwa anamdanganya nani?
  15. N

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Halafu bila hata aibu wanazunguka kuwachanganya wapiga kura wa majimbo mengine, as if kwenye majimbo wana kitu cha kuonyesha. Wananiudhi sana!
  16. N

    Mapokezi ya mbunge wa viti maalum Karatu

    Wasugua visigino hao. Hawana la kufanya!
  17. N

    Naulizia hali ya majeruhi mkuu wa Arumeru Mashariki

    Hakika obsession yako na Membe imepitiliza. Hakika mzee huyu akisikia jina la Membe linatajwa haja ndogo inajongea yenyewe.
  18. N

    Naulizia hali ya majeruhi mkuu wa Arumeru Mashariki

    Naelewa mzee huyu, familia na wapambe wake wanavyojisikia baada ya watu kumkataa na kumuumbua kwa ghilba zake. Tukiendelea kumuandama, tutampoteza jamani!
  19. N

    Naulizia hali ya majeruhi mkuu wa Arumeru Mashariki

    Jamaa kaaibika sana na nafikiri sasa hata kusimama jukwaani ndo basi tena. Kapigika sebuleni kwake, tena mchan kweupe!
  20. N

    Hivi Benno Malema anajisikiaje?

    Kanogewa na vipande thelathini vya fedha na sasa Hana breki na anadhani anaweza kuongea lolote. I used to admire the boy kumbe ni bure Kabisa!
Back
Top Bottom