Search results

  1. sokwe

    Daktari afichua ongezeko la watoto wanaozaliwa na jinsia mbili

    Duh, kumbe hata Mungu hukosea?! Basi hakuna moto wa Jehanum [emoji1378]‍♂️
  2. sokwe

    Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

    Kaka heshima kwako! Ila kama hujaumwa hilo tatizo la huyo kijana, mm nilikuwa nalo na nikaambiwa nina matatizo ya akili. The thing about mold & mycotoxins yana damage kiasi kikubwa ubongo wako kiasi kwamba unakuwa emotion sana na ni kweli unaweza kuwa na attention seeking disorder au kujiona...
  3. sokwe

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Ni ukweli mkuu hawana meno kwasababu kama wanaweza kutoa taarifa tu lakini wasiweze kubadilisha madhara ambayo tunaweza kuyapata kama taifa! Kazi yao ina maana gani? Ila wanaweza kuwapoteza watu au kuteka watu ambao hawana madhara yoyote kwa taifa simply tu watawala hawataki/hawapendi kusikia...
  4. sokwe

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Ni kweli uhalifu hauwezi kwisha ila hakuna uhalifu mbaya kama unaofanywa na vyombo vya usalama kwa maslahi ya watawala na kusahau majukumu yao ya msingi.
  5. sokwe

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Uongo Marekani wanaongelea masuala ya idara zao FBI, CIA na hata DOJ kila siku na naweza kukubaliana na ww kidogo kwamba UWT wanaingiliwa na wana siasa lakini sio kweli kwamba wanashindwa kufanya kazi isipokuwa wanafanya kazi kinyume na taratibu zao kwa interest za wana siasa na kuacha majukumu...
  6. sokwe

    Nape: Usalama wa Taifa hausaidii nchi, wamekalia kusikiliza simu za watu

    Ni kweli mkuu nchi anazozitolea mfano ni za kishenzi kabisa hazina tofauti na tunapopelekwa sasa, mbunge anaweza kupigwa risasi kwenye makazi yao na Tiss wasiwe na majibu, mwandishi wa habari aliekuwa anafanya utafiti wa mauaji ya kibiti kapotea sasa miezi 3! Hawana majibu,watu wanapotea hawana...
  7. sokwe

    Zitto: Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania (TISS) yapaswa kufumuliwa na kuundwa upya ili kulinda Taifa na Wananchi

    Ww ndio bonge la mpuuzi, unafikiri ulaya walikaa dormant tu bila kufanya mabadiliko ya sheria mbali mbali za nchi zao? Usalama wa taifa wanafanya kazi kisiasa na kuacha mambo ya msingi kwa taifa letu. Tunataka wafanye kazi zao bila kusukumwa na watawala, watanzania wanapotezwa na kuuawa...
  8. sokwe

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Naona unajaribu kutafuta excuse yoyote ya kuhalalisha uchangudoa kwenye ndoa.
  9. sokwe

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Lovely for being dumb a#% stupid, keep it up being bum.
  10. sokwe

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Kuoa kunataka moyo sana, wengine wenye roho nyepesi kama mm naweza kuishia jela.
  11. sokwe

    Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Mm namjua Ronnie Coleman bodybuilder, labda jamaa atakuwa na misuli ya kufa mtu ...ila pole sana aisee kama ni kweli.
  12. sokwe

    Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Kama alikuwa na kiwango hicho cha pesa kipindi hicho kabla ya safari, angekuwa sasa billionaire wa kufa mtu kwa miaka ya sasa, kwa mtu mwenye akili timamu kulikuwa hakuna umuhimu wa safari.
  13. sokwe

    Mazishi ya Kingunge: Kanisa katoliki lijiepushe na double standard

    Marehemu John Komba alizikwa kwa heshima za kanisa katoliki na alikuwa na wake wawili na kimada wake ambaye sasa yupo jela, double standards zipo sana, kama unasali jisalie tu ila ukiyafuata ya kanisa wakati mwingine yanakatisha tamaa kama sio kutia uzuni.
  14. sokwe

    Hivi bei ya black belaire moja kwa hela ya kitanzania ni shilingi ngapi

    Ukiwa na mpunga wa kutosha unaweza kunywa Don Julio real, chupa inakwenda kwa 375 dollars! Ila ukiona parefu sana, basi unaweza kununua hata shots kadhaa, shot moja inakwenda kwa 17 dollars, you ain’t goin to regret the taste if you’re looking for quality & flavor...only for classic guys.
  15. sokwe

    Serikali yaomba mkopo nafuu Barclays bank ili kukamilisha miradi ya reli ya Standard Gauge na umeme Stiglers Gorge

    Walidai serikali ina 4 billion dollars zimelala hazina! Leo wanataka mkopo wa kumalizia reli? Huku wanatumia billion nzima kwa uchaguzi wa kingese.
  16. sokwe

    Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

    Alikuchungulia akahisi utakuwa mtindiga kama mzee wa magogoni ila bahati umeshtuka, usijitie umbugila ukarudi kwa huyo changudoa.
  17. sokwe

    Hongera mmiliki wa Kebby's hotel, Mwenge

    Mbona hotel ya kiwango cha kawaida sana! Ni kama ulizoea kuendesha Toyota Corolla ikatokea siku ukaendesha Toyota vanguard, big up lakini umeongeza kiwango ... [emoji851]
  18. sokwe

    Jumuiya yetu ya Kanisa Katoliki imevunjika sababu ya michango kuwa mingi

    Halafu kuna kiongozi mmoja mjinga wakati anapanda bombardier akadai maisha ni rahisi, kumbe ni michango kila kukicha ...nyambafu.
  19. sokwe

    Mtanzania anayekubali maneno ya Trump yeye ndiyo Shithole

    Imani bila matendo imekufa, kama vile mwili bila roho...lakini maneno mengi bila vitendo ni u shithole. Inauma lakini ndio ukweli, hata dawa ni chungu ila ukimeza utapona maradhi yako.
Back
Top Bottom