Search results

  1. Tina

    Je, Harmonize na Kajala wamebwagana au ni kiki?

    Kunako mitaa ya Instagram Wasanii wameweka status tata katika akaunti zao. Harmonize ameweka haya 👇🏾 Huku Kajala akiweka haya 👇🏾
  2. Tina

    Mwanga, Kilimanjaro: M/Kiti wa Halmashauri na Diwani wadaiwa kuwa na mahusiano ya jinsia moja. Wapigana...

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mwanga, Salehe Mkwizu, ameingia katika kashfa kubwa baada ya kupigana na Diwani wa Kata ya Kighare, Innocent Msemo kiini kikitajwa kuwa masuala ya ushoga. Taarifa zinadai kuwa tukio hilo la aibu na kufedhehesha lilitokea tarehe 21,2022 katika baa mashuhuri...
  3. Tina

    Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

    Hali si shwari ndani ya Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) na sasa kundi la viongozi ndani ya baraza hilo wanakula njama za kumuondoa kiongozi wao makini Mufti Zubeir. Hali hiyo inakuja huku zaidi ya miezi miwili Bakwata haina ofisi na zaidi ya wafanyakazi 50 wa Bakwata Makao Makuu hawajalipwa...
  4. Tina

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    This is JF[emoji56] [emoji56]
  5. Tina

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Baada ya CCM na Chadema ni chama gani kinafuata? Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  6. Tina

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Hivi kweli tunafanana na hizi nchi ulizozitaja? Hapana angalao kwa sasa. Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
  7. Tina

    Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

    Unamzungumzia JK kama Rais mwenye mfumo wenye watendaji na sio Jakaya kama binadamu lakini sio watoto ambao bado hawajafanya kazi popote. Mada hapa ni watoto wa shule ya Feza akiwamo mtoto wa JK, angalieni sana na nyie muna watoto ama muna ndugu. Tusihukumu watoto kwa makosa ya wazazi wao...
  8. Tina

    Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

    Riz unayemsema amesoma shule na vyuo vya kawaida. Unayoyasema ni maneno ya mtaani ambayo hayana ushahidi. Lakini pia tabia ya mtu haijalishi kasomea wapi au kazaliwa na nani. Acheni kutoa hukumu ya jumla ya kiuokoo au kifamilia maana hiyo ni dhambi mbaya sana katika Taifa lolote na inajenga...
  9. Tina

    Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

    Tuwe na fikra chanya kuhusu watoto hawa. Kama kuna siasa hasi dhidi ya wazazi wao si vyema kuzibebesha watoto ambao hawana makosa na kwa kweli wangefeli ama kuzurura huko mtaani mungecheka
  10. Tina

    Wanafunzi wa Kitanzania wang'ara Marekani

    Baadhi ya wanafunzi wa shule ya kimataifa Feza wakiwa na furaha nchini Marekani baada ta kushinda medali za dhahabu kwenye mashindano ya Genius Olympiad. Kushoto ni Abdulrazak Juma Mkamia wa pili Rashid Jakaya Kikwete na watatu ni Abdalah Rubeya yaliyoshirikisha nchi zaid 63 duniani huko...
  11. Tina

    HUJUMA: Mamilioni yatengwa kuhujumu SOKA

    Taarifa za ndani ya vigogo wa Yanga zinasema yametengwa mamilioni kuhujumu timu nyingine ikiwamo Azam na Simba ili Yanga iweze kubeba kombe la FA iweze ipate ushiriki wa michuano ya Kimataifa. Hujuma hizo zinahusisha vigogo wazito ambao soon tutawaanika. Fedha hizo pamoja na mambo mengine...
  12. Tina

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Jamani kama kila kiongozi ama kila raia akutuhumiwa anatakiwa ajitete yeye itakua zogo maana mnataka kuhalalisha hata makosa yao waliyoyafanya kuwatuhumu watu hadharani kwa serious offences na nyie munarudia tena bila kuwa na ushahidi wowote halafu mtuhumiwa ndio atoe ushahidi. Kesho...
  13. Tina

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Lakini nani kawasilisha hata kwenye mahakama ya umma tunayoisema yaani humu kwenye social media ama hata tradional media kwa maana magazeti na TV ama kwenye "familia" kama ya Gwajima si angetoa photocopy za kutosha na kusambaza? Sasa kote nahangaika naona maneno matupu kama anavyosema Mkuu Nyani...
  14. Tina

    Wawekezaji Maswa wachangia 72m kujenga shule Meatu

    Miss Universe Tanzania 2017
  15. Tina

    Serikali: Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ilianza kutumika rasmi Disemba 31, 2016

    Tarehe ya andiko ni Januari 5 badala ya Februari 5, 2017
  16. Tina

    Magufuli anajua hesabu, atazame namba hizi za kwenye vitalu

    LABDA nianze kwa kutoa maelezo kidogo. Luxembourg ni nchi ya nane kwa udogo barani Ulaya. Ina ukubwa wa takribani kilomita za mraba 2,586. Hapa Tanzania, kampuni za uwindaji wanyama zinaweza kupewa leseni za kuwinda kwa kilomita za mraba mpaka 1,000. Hii maana yake ni kwamba, mtu mmoja...
Back
Top Bottom