Search results

  1. B

    Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

    Udhaifu wa huyu mama utatuletea balaa. Hamjifunzi yanayotokea Tigray nchini Ethiopia. Enzi za Chuma haya mawazo ya separatism usinge yasikia, hata hao watani zangu wa kaskazini walikiona Cha Moto kwa kuhisiwa tu. Tujifunze kwa wachina, spirit ya separatism kwao ni moja ya mihimili mitatu ya...
  2. B

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu mtendeeni haki huyu dogo

    Duh!! Namkumbuka, watu wanachangia kimasihara,. Hamjui watu Hawa, baadhi ya watumishi wa board ya mkopo wanamajibu ya kukatisha tamaa na huruma hawana
  3. B

    Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

    Lol, taifa linaweza ishi bila wafamasia, Ila haliwezi ishi bila madaktari. Shika adb
  4. B

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Watu wanashangaa nini, mbona hili lilitegemewa. CHADEMA wamefanya kosa kwa maana ya timing. Na itawagharimu, Wana option moja, compromise na Hawa akina mama. Hili litakua kosa jingine Kama like la kumzingua Dr. Slaa. Sijui kwanini Chadema wanaendelea kufanya makosa Kama haya. Wenye akili...
  5. B

    Kwa Propaganda za aina hii tutaizidi Korea Kaskazini haraka

    Nimeanza kushtuka, inatumika nguvu nyingi kuitangaza hii asilimia 23. Nia itakua ovu.
  6. B

    Mfanyakazi anayeshangilia Ongezeko la Mshahara hajui Hisabati

    Ndugu, watu wote wakifungua macho hasa walimu na madokta, wakajua jinsi baadhi ya watumishi kwenye baadhi ya taasisi wanavyolipana mihela, niamini, nchi haitatawalika. Mazwazwa sharti wawepo ili nchi itawalike.
  7. B

    Jinsi ya kukokotoa Ongezeko la Asilimia Mshahara!

    Kwa mtu wa mshahara huo net Ongezeko ni around Tsh. 102,000/= Kama una Deni la Hslb na mengine Yale ya kasaida Kama bima.
  8. B

    Nchi hii raia wanaishi kwa hofu leo nimevamiwa na vibaka mkuki umenisaidia

    Umenitangulia, storry chai hii. Alijuaje 9, na alijuaje mkuki ulimchoma kwenye mguu?!!!
  9. B

    Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?

    Huyo mama yenu haeleweki, anaharibu kwenye mipasho yake hasa, Mara kuleni kwa urefu wa kamba zenu, Mara nikune nikukune, Mara nidhamu ya awamu ya tano kazini ilikua ni ya uoga Ila kwake yeye nidhamu hakuna kabisa. Kingine no teuzi zake, kipara, Hiyo nnawie,mwigulu na wengine wengi wa awamu ya...
  10. B

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Dunia nzima,Taja nchi ambayo Katiba Inampa mamlaka yakiti Kama kwetu mwanamke, krotia?! Labda. Wanawake wanahitaji kusimamiwa, that's natural. Kwetu tukome kuchagua makam dhaifu.
  11. B

    Acheni kumlaumu Rais Samia. Mafuta yamepanda bei katika soko la Dunia, ulizeni bei za mafuta Kenya, Uganda, Rwanda zipoje

    Hatuna Rais, huyu ni Rais msaidizi aliyekaimishwa baada ya Rais kutoweka hivo maamuzi yake ........
  12. B

    Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

    Duh, jiandae, wahanga wa mfumko wa Bei wata kushhambulia Sana hum. Nadhani inaishia nje ya nchi.
  13. B

    Tumedondokewa na kitu kizito chenye ncha kali

    Mafuta yakipanda Bei, usafirishaji wa bidha hasa chakula unapanda Bei pia. Hivo, mafuta yakipanda hayaathiri wenye magari Sana, Bali watu wa Hali ya chini kwani mfumko wa Bei kwa vyakuala na bidhaa nyingine haukwepeki.
  14. B

    Jamii imegoma kabisa kuhusu Magufuli? Nini kifanyike?

    Akiwa hai wakati wa kampeni kipindi Cha pili alisema Msipo nichagua hii mradi haitaendelezwa. Je, huo nao ni uongo?!
  15. B

    Umoja Party ni chama chenye mlengo upi, kinaamini katika maendeleo au katika Magufuli?

    Duh, hii Safi Sana. Baadae wanaungana na chadema, halafu CCM ya Samia chali. Hii nimeipenda Sana, najua kushinda hawawezi, Ila wakishamiri CCM itabidi 2025 wa rethink watuletee Chuma Kama mzee baba mwenda zake.
  16. B

    #COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Rais magufuli Kama yesu, amekufa lakini bado watu wanamkumbbuka. Yesu alifari miaka takriban 2000. Lakini Hadi Leo anakumbukwa Tena kwa shangwe
  17. B

    Zitto: Mradi wa Kabanga Nickel ni Mradi wa Barrick uliofichwa kupitia kampuni ya LZ Nickel ya Uingereza

    Ninachojua nikua zito anajua fika kua kizazi hiki ni Cha mazoba, hata akiongea upupu, lazima majority watamwamini. Sisi wachache tunaoelewa tunashindwa kumdhibiti. Na Hawa wawekezaji watamwita na kumziba mdomo kwa milioni kadhaa. Hiyo ndo style yake ya maisha, maisha ya kitapeli. Kiboko yake...
Back
Top Bottom