Search results

  1. K

    Kifalsafa Magufuli anataka Tanzania ya aina gani?

    Mwalimu Nyerere alitaka Tanzania ijitegemee, Mwinyi alitaka ubepari wenye kulinda tunu za kitanzania, Mkapa alisimamia uchumi unategemea uwekezaji na ubinafsishaji, Kikwete alisimamia Tanzania yenye demokrasia ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, sasa Magufuli anasimamia falsafa gani? nauliza hivi...
  2. K

    Mohamed Said; Mwanahistoria au Mtetezi?

    Namwita hapa jamvini ndugu Mohamed Said, nimesoma maandiko kadhaa nikajiridhisha kuwa kitaaluma ni mwanahistoria ila kiuhalisia ni mtetezi wa kundi flani analotaka liwepo kwenye historia, kwa mfano kuhusu Historia ya Tanganyika, hivi kwanini Abdulawaheed Sykes alimwachia Nyerere aongoze chama...
  3. K

    Kwanini watu wanasifia utendaji wa mgombea urais?

    kwenye kujenga nchi lazima tuambiane ukweli siyo porojo! nashindwa kuelewa propaganda zitaisha lini, hatari sana chama kutumia umaarufu wa mgombea kuhadaa wananchi, kwanza sera zinazouzika, mchezo wa kitoto sana huu kutembelea umaarufu wa mgombea huku chama kikibaki dhoofu bin hali! kwanza kwa...
  4. K

    Nape yaliyotokea Dodoma ni mambo ya jandoni tafadhali yaishie jandoni

    Binafsi navyojua kikao cha dodoma na maamuzi yaliyofikiwa hayapaswi kuwa bakora ya kutambiana na kudhalilishana kwa vijembe vya "tumemkata fulani" , nasema hivi kwa maana kama tahadhari haijachukuliwa kuna hatari ya Magufuli kupata wapinzani ndani ya CCM, Nape na Kinana wanatakiwa wakaripie...
  5. K

    Usikivu wa Kikwete kwa wazee umeleta tija

    Isingekuwa usikivu wa Kikwete kwa wazee Mwinyi, Mkapa, Msekwa bila shaka hali ingekuwa ngumu, lakini mpaka utulivu na furaha inayojionyesha kwa wajumbe Dodoma ni dalili makundi yanaelekea kumalizwa, ni jambo ambalo wachambuzi hawakulitegemea, kwenye taasisi yoyote wazee ni muhimu sana hasa...
  6. K

    Andrew Nyerere; Mwalimu angekuwepo angepinga ufisadi!

    Kuna maswala kadha wa kadha yanayoikabili Tanzania kwa hivi sasa, miongoni mwa mambo haya ni sakata la akaunti ya Tegeta/Escrow, mchakato wa katiba mpya na mengine mengi. Mwandishi Nova Kambota amefanya mahojiano na Andrew Julius Nyerere ambaye ni mtoto wa kwanza wa baba wa taifa hayati Mwalimu...
  7. K

    Go Pinda,nenda tu mzee wangu,mpe fursa JK aunde baraza jipya!

    Na Nova Kambota, 0712- 544237 Tofauti na wengi wanavyodhani, mzee wangu Pinda ulishaonyesha dalili za wazi ikiwa kweli unamudu vyema nafasi ya uwaziri mkuu. Kuna mengi tu yaliyofanya baadhi yetu tutilie shaka umahiri wako lakini hii skandali ya Tegeta/Escrow imefunga mjadala! Unakumbuka...
  8. K

    Wanyonge mkiungana-shairi

    Na Nova Kambota, +255712 544237 Jumapili, 16 Novemba 2014 Dar es salaam, Tanzania. Tano miongo yapita, taifa ladidimia Wengi wameshastuka,dawa wajitafutia Viongozi kadhalika, mali walimbikizia Wanyonge mkiungana, minyororo mtakata Tazama kwenye ramani, utaona hiyo nchi Nchi ya...
  9. K

    Mapinduzi ya umma Yataendelea Kushamiri barani Afrika Kuelekea 2030 serikali nyingi za kusin

    Kuelekea 2030 serikali nyingi za kusini mwa jangwa la Sahara zitang'olewa Habari kubwa hivi sasa barani Afrika ni mapinduzi ya umma yaliyofanyika Burkinafaso, makala haya ni mtazamo wangu kuhusu kitakachojiri kusini mwa jangwa la sahara kuelekea 2030, mtazamo huu umejikita katika...
  10. K

    Shairi: Katiba ya Wananchi

    Na Nova Kambota, 0712 -544237, Alhamisi, Novemba 6, 2014 Katiba ya wananchi, mwafaka wa taifa Kuna kucha hakukuchi, isije kuwa maafa Kuandika ya kukidhi,yahitaji maarifa Katiba ya wananchi, nauliza tutapata? Iokoe wakulima, wavuvi na walemavu Uchumi ukue hima, iondoe udumavu Ilinde...
  11. K

    Barua kwako Mzee Joseph Sinde Warioba

    Na Nova Kambota, Jumatatu Novemba 3, 2014 Shikamoo mzee wangu Warioba na pole sana kwa masaibu yaliyokukuta jana . Mimi mjukuu wako pasi na shaka ukiangalia kwenye diary yako utanikumbuka kwani niliwahi "kukutupia" swali moja pale chuo kikuu Mzumbe siku ya tarehe 16 mwezi Novemba 2011...
  12. K

    Rais Guy Scott wa Zambia; jaribio lingine kwa wahafidhina wa Afrika

    Rais Guy Scott wa Zambia akiwa na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe Alipochaguliwa Barack Obama kuwa rais wa taifa kubwa zaidi duniani Marekani, waafrika walifurahishwa na hali hiyo huku wakichagiza kuwa hiyo ilikuwa ni silaha dhidi ya ubaguzi kwa waafrika. Obama ambaye ana asili ya Kenya...
  13. K

    69 years of the united nations (UN)

    Dar es salaam, Tanzania, Friday 24th Oct 2014, United Nations General Assembly professed 24 October In 1947, the anniversary of the Charter of the United Nations. UN Day results the anniversary of the access into force in 1945 of the UN Charter with the approval of this founding document by...
  14. K

    CCM ina ubavu wa kupingana na fikra za Nyerere, Jumbe kuhusu TANU na ASP?

    Pengine acha nikubaliane na wale "maadui" wa muungano wanaodai kuwa Aboud Jumbe alifanya kosa kubwa la kihistoria kumkubalia Nyerere kuunganisha TANU na ASP, hawa wako wengi , ikiwa kweli wameliona hili nangoja wafanye yafuatayo; (a) Wazungumze bila kificho kuwa misingi ya TANU na ASP haikuwa...
  15. K

    Adolf Hitler ; Kwanini Uingereza na Ufaransa zitabeba dhambi hii milele?

    Na Nova Kambota, Jumatano, 26 June 2013 “Unless not later than 11 a.m , British summer time , today September 3rd ,satisfactory assurances have been given by the German government and have reached His Majesty’s Government in London, a state of war will exist between the two countries...
  16. K

    Mizengo Pinda hizi ni mbio za mchangani !

    “Watu wakileta ubishi watapigwa tu” Mizengo Pinda Na Nova Kambota, Si rahisi kumwelezea kwa undani wake waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda ni mtu wa namna gani? huyu ni “mtoto wa mkulima”, huyu ni mwanasheria, huyu ni kada wa CCM, huyu ana sauti ya upole, huyu ana sauti ya ukali ...
  17. K

    Julius Nyerere; The skeptic with a cause, can’t we be the same?

    By correspondent Nova Kambota, 19th January 2013Renowned Kenyan scholar who commands global respect professor Mazrui once quoted insisting that Nyerere had two main features, first a philosopher and second integrity, to put it in nutshell Nyerere goes down history as the most prominent...
  18. K

    History betrays CCM, Why we prophesize

    By Correspondent Nova Kambota, 29th Nov 2012 Two things that seemed almost impossible and improbable at the beginning of this year are increasingly becoming possible and probable as the year closes. One was that former PM Edward Lowassa would never face any disciplinary action (which was...
  19. K

    J2K Ingizo jipya katika Bongo flava apanga kuing'arisha Mkuranga

    Na Nova Kambota , 27 Nov 2012 Kijana anayechipukia katika miondoko ya bongo flava kutoka pande za Mkuranga anayekwenda kwa jina la Juma Thabit a.k.a J2K ameibuka na kudai kuwa sasa amejipanga vikali kuonyesha kipaji chake katika mziki huo wenye mashabiki wengi vijana. Akipiga stori kutoka...
  20. K

    Lowassa can yet step to Canaan

    By Nova Kambota et al, 28th September, 2012 It is no longer doubtful if Lowassa shall remain a notable story maker for number of years in Tanzania media industry. Every step he makes is to be added up in his political channel, some argue that the pundit is too relevant in political arena...
Back
Top Bottom