Search results

  1. C

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Sasa waliomba kura za wananchi kwenda kuwaakilisha bungeni kufanya nini? kila siku wapo kwenye maandamano, mara jela na kugomea vikao vya bunge. Chadema wanajiharibia wenyewe, wangechukua muda huu ambao CCM wapo weak kujidhatiti kwa 2015.
  2. C

    Tarehe hii ni ya muhimu kwako....02.10.2011

    Yaani kweli kabisa, wakati umefika wa Watanzania kuhakikisha tunapata huduma bora. Haiwezekani hizi kampuni zinazotoa huduma mbovu ziendelee bila ya kujali wateja wao.
  3. C

    Chonde chonde watanzania nipo chini ya miguu yenu 2015 tusichague tena rais limbukeni

    mtu mwenye busara huwa anasikiliza zaidi ya maneno machache anayoongea
  4. C

    Dr. Dau achaguliwa kuwakilisha nchi 15 za Afrika ISSA;

    wewe dada hebu angalia nchi anazo represent kama ni za kiislamu, acha upumbavu wako wa kidini
  5. C

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    BABA JUICE Hivi mkuu nadhani haujui dunia inapoolekea, wewe unafikiri EU, UAE na EA community ni zipo kwa sababu gani? free movement of capital goods na human capital. sasa kuna watanzania milioni 3 ambao wanaishi nje ya nchi kwa sio maslahi yao tu bali na familia zao, na hao watanzania wengine...
  6. C

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    Museveni si ana uzoefu wa ku deal na rebels? AU hawana lolote
  7. C

    AU's dilemna and the Libyan crisis

    Well I think it is time to question the Western Powers on how they can pick and choose which dictator to ambush and which one to baby sit. I do not condone Gaddafi's and his regime decision to kill their own people, even though the western media gave him the "right" to do so by naming those...
  8. C

    Matibabu ya viongozi nje ya nchi - Aibu kwa Tanzania!

    Ndugu watanzania; Ni jambo linalonisikitisha sana kuona viongozi wa serikali wakienda kupata matibabu nje ya nchi. Naamini kiongozi yeyote anabidi aongoze kwa mfano sasa kama waziri wa afya Mh Mwandosya nae yupo India akipata matibabu, hivi kweli atakuwa ana dhamiria au hata kuziamini...
Back
Top Bottom