Search results

  1. B

    CCM imejaa vilaza kweli! Felister Bura (Mb) viti mauulum mkoa wa Dodoma

    Huyu mama ni kilaza balaa. Leo katumia muda mwingi kuponda UDOM. Amedhihirisha ukweli kuwa CCM inawezekana waangalia sifa ya ukilaza katika kugawiana nafasi za utawala hasa hawa viti maalum. Kaponda sana maandamano kuwa yanasababishwa na UDOM. Kasema upuuzi mwingi na anaendelea sasa kilaza...
  2. B

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    Take our politicians From the Ruling Party-CCM: they're a bunch of yo-yos. The presidency is now a cross between a popularity contest and a University debate, with an encyclopedia of clichés the first prize. It is the duty of every citizen according to his best capacities to give validity to his...
  3. B

    Shitambala wa Chadema Mbeya ahamia CCM - Chadema kuchukua hatua za kisheria

    Shitambala alikuwa mwanajeshi na anahusishwa na kina Jack Zoka ni kweli alikuwa anafanyiwa investigations na soon tu alikuwa anatimuliwa. Hana hoja amelipwa na ccm na kazi ya kuimaliza CHADEMA imemshinda amerudi kwao aende kabisa, Haiwezekani panya akae karibu na paka lazima tu ataliwa,so...
  4. B

    Elections 2010 Busanda waanza kujuta na mbunge wao

    Katika hali isiyo tarajiwa wananchi na wakazi wa BUSANDA wameanza kujuta kwa kumchagua mbunge wa BUSANDA kwa Ticket ya CCM,bi Lolensia Bukwimba. Maana tangu achaguliwe hajakanyanga tena Busanda. Bahati mbaya wengine tulijua maana haiwezekani m2 asiye hata na ndugu achilia mbali makazi jimboni...
Back
Top Bottom