kwanza kabisa poleni kwa kukimbia kwa muda...nilikua bize kidogo sikuweza kupata muda wa kuja jamvini. nashindwa hata nianzie wapi. in short, kwa wale wanaouliza kuhusu scholarship naweza kuwasaidia but information ni nyingi mno.. kikubwa inapaswa nijue elimu yako, unachotaka kusoma, na wapi...
Kuna watu wamekua wakitafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio. Wengine wanaomba scholarship miaka nenda rudi hawapati. Watu hao yawezekana wana elimu na uwezo mzuri ila tu kuna mambo yanasababisha washindwe kupata kazi.
Mambo hayo yaweza kua nje ya uwezo wao lakini pia yaweza kua ni kwa...
Natafuta secretary, awe na elimu kuanzia kidato cha nne, aweze kuongea na kuandika vizuri lugha ya kiingereza, awe na social and attending skills nzuri.aweze kutumia computa, specifically, microsoft word, power point na excel. aliyetayari, au mwenye ndugu yake mwambie atume CV yake. NOTE...
Pole sana kwa tatizo lako.
watanzania tumekua tukichukulia kila kitu kua ni simpo na mtu anaamua kufanya na anaweza kuacha. in fact kuna mambo ambayo ni more psychological lakini watu wanaona mtu anafanya makusudi. mambo hayo ni kama uhuni uliokithiri, kukojoa kitandani, kunywa pombe au kuvuta...
1. Find someone you trust to talk about how the death is affecting you. Don't keep your feelings to yourself and increase the stress you are already under.
2. Be willing to listen and be open to others who have experienced similar losses and how they have dealt with them. Choose those ideas that...
there is a place where they provide services to help you quit alcohol drugs or cigarate. they organise rehabs and group support for alcoholics where you get a very good support and your problem will remain as history. contact them through psychologicalsupport@hotmail.com
mke wako ana tatizo linaloitwa pseudocyesis...hii ni false belief ya kua pregnancy ambayo inaassociate na dalili zote za ujauzito. ni tatizo la kisaikolojia lipo katika kundi linaitwa somatoform Disorder not otherwise specified na mfano wa hili kundi ndio pseudocyesis ambalo mkeo analo. tafuta...
Hii ni moja kati ya matatizo mengi ya kisaikolojia inaitwa Female Hysteria na ipo katika kundi la psychological disorders inayoitwa somatoform. tatizo linaweza sababishwa na Sexual deprivation, frustration, au mental deficiencies. kwa maelezo zaidi tafuta kwa google Female Hysteria au tafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.