Search results

  1. sixgates

    CHADEMA mnapanda upepo, mtavuna tufani

    Ana kesi za kujibu Aibu kubwa, yule Boniface alishavuliwa uanachama na umeya, karudi vipi?? Ni swali ambalo ukiuliza utafukuzwa
  2. sixgates

    CHADEMA mnapanda upepo, mtavuna tufani

    Mkuu CCM wanalipa for publicity , ni budget ipo kabisa. Tulichanga fedha nyingi m4c zimeenda wapi?
  3. sixgates

    CHADEMA mnapanda upepo, mtavuna tufani

    Siku za karibuni tumeshuhudia ushindani, kuchachafiana katika hatua ya kura za maoni katika ngazi ya Ubunge na Udiwani kupitia CCM. Tanzania nzima imekuwa ikifuatilia mchakato huu kupitia vyombo vya habari na mitandaoni hadi sasa “Wajumbe” wamejizolea umaarufu kutokana na mchakato mzima. Binafsi...
  4. sixgates

    Hussein Mwinyi kuitwa Rais Mteule kabla hajachaguliwa na wananchi ina maana gani?

    Hebu leta hiyo clip akiitwa rais mteule
  5. sixgates

    Wanachopaswa kufanya CHADEMA baada ya Tamko la Polisi

    Kugoma kwenda taifa kwa sababu hatafufuka hiyo ndiyo uanaharakati ndani ya Chadema. Ila pamoja na kwamba kanusurika kuuawa anarudi kama mtu ambae anataka kuwa Rais “siasa” ni kwenda kutoa pole.. unless uniambie Lissu hayupo serious na nafasi ya urais.
  6. sixgates

    Wanachopaswa kufanya CHADEMA baada ya Tamko la Polisi

    Toka asubuhi nimeona taarifa za hamasa za kumpokea Tundu Lissu. Ni katika kuhamasisha mipango ya ndani ya CHADEMA kumtengenezea ukubwa Tundu Lissu, lakini nasikitika kusema CHADEMA wamefeli kwanzia planning, na execution ya Jambo la Lissu. Nitaelezea siku nyingine hapo kwenye planning ila kwa...
  7. sixgates

    List ya wanawake hatari hapa mjini. Ukimuona mke wako yupo nao toa talaka

    Baada ya msiba wa mtoto Paty, na sinema zinazoendelea nimejifunza mengi haswa baada ya kuona kumbe yaliyokuwa yanasemwa na watu kuwa huu mji wa Dsm kuna wanawake ambao ni Waalimu wa wanawake. Hawa wanapenda maisha ya hadhi, maisha ya instagram, maisha ya kuwapelekesha walio waoa na si wote ila...
  8. sixgates

    Joyce Mhavile: Mkono wa kushoto wa Mengi IPP

    Wakati mwingine inawezekana ni kwa kutokupenda kufuatilia au ni mambo ambayo hayatuhusu, ila leo wakati tunaangalia utoaji wa Tuzo za Malkia wa nguvu, mmoja ya walioshinda tuzo maalumu ya inspirational icon ni Joyce Mhaville. Wakati anatambulishwa, Ruge mutahaba, Mkurugenzi wa Clouds Media...
  9. sixgates

    DAR: Tigo Fiesta 2017 kwenda mpaka Asubuhi

    Toka mchana zilianza kama story za chini kuwa JPM kasema iyo fiesta iende mpaka asubuhi kw sababu ni mara moja kwa mwaka na wamepewa masharti, sikuamini haswa baada ya RC kusema haitazidi sa saba. Mimi nataka niseme hii vita ya Makonda vs Clouds inaanza kuleta sign mbaya kwa mmoja katika hawa...
  10. sixgates

    Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

    Tunaoangalia haya mashindano ya kusoma Quran, wakati mwakilishi wa CloudsTv alieenda kupokea cheti cha kutambuliwa kufanikisha mashindano hayo, Kusaga kaenda kukabidhiwa zawadi na Waziri mkuu, lakini alivyofika pale high table kampotezea Makonda as if ni kama hapakuwa na mtu wakati akishikana...
  11. sixgates

    Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

    Tunaangalia live mashindano ya Quran amekaribishwa makonda kuongea hawamuonyeshi imesikika sauti kdg wanaona isiwe tabu wameweka tangazo la tigo jaza ujazwe. Tumecheka balaa.
  12. sixgates

    Msiba wa Wananafunzi: Clouds group kusimamisha vipindi vyake vya TV na redio ili kuomboleza

    Toka asubuhi, nimegundua mabadiliko makubwa ya vipindi vya Clouds, na haswa maudhui yakilenga ajali ya karatu. Na baadaye nikapata taarifa kupitia mitandao ya clouds kwamba vipindi vitarejea jumanne usiku. Hapa jijini arusha, watu wanafarijika kuona namna watanzania wengi haswa vyombo mbali...
  13. sixgates

    Ally Salum Hapi, umeonesha rangi yako halisi kwenye Tuzo za Malkia wa nguvu

    Sikuwahi kupata nafasi ya kumkubali Salum Hapi, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, haswa baada ya kuwa DC ambaye mkoa aliopo ni ngumu kuchomoza kutokana na aliyemtangulia Makonda kuwa amefanya vingi Kinondoni na hata Mkoani. Jana nimemuona katika tuzo za malkia wa nguvu akimkabidhi tuzo Saida...
  14. sixgates

    CCM imeitelekeza Clouds, wamebaki wanyonge sana. Mkuu haambiwa kuwa hawa ndiyo IT masaki?

    Watu wengi, tumeshindwa kuielewa Clouds Media Group, haswa baada ya kutangaza mgogoro na mkuu wa mkoa wa Dsm Rc Makonda, na baada ya hapo wameng'oa hata picha zake zilizokuwepo kwenye opening za taarifa zao za habari, wamiacha ya president Magufuli na nyingine nyingi ila Tukubali Clouds...
  15. sixgates

    Teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara za bei nafuu Kenya na Rwanda wanaifaidi sisi tupo nyuma

    Mkuu zungumzia technolojia sidhan kama unachosema ni kweli kwa sababu nlikuwa kimara na nmekuwepo nairobi hizi technology ndio zinatumika kwa wenzetu.ujanja ujanja unaitafuna tz
  16. sixgates

    Teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara za bei nafuu Kenya na Rwanda wanaifaidi sisi tupo nyuma

    Watanzania wanakosa miundombinu kwa sababu tu kuna watu wanataka teknolojia ya zamani iendelee kwa sababu wanafaidi na hiyo iliyopo
  17. sixgates

    Teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara za bei nafuu Kenya na Rwanda wanaifaidi sisi tupo nyuma

    Juzi nliona na kusikia kwenye vyombo vya habari kuhusu teknolojia mpya ya gharama nafuu ya ujenzi wa barabara ambapo sasa kilomita moja itajengwa ndani ya siku moja, Teknolojia hiyo imebuniwa na wataalamu kutoka Israel na Marekani na tayari barabara moja jijini Dar es Salaam tayari imefaidika na...
  18. sixgates

    Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

    Nmeona nmeshambuliwa... sikiliza mimi nilichofanya ni kutafuta story ya upande wa pili.. je ni nini kilitokea na source ikawa ni Kija na bahati nzuri amesema Kafulila anaujua ukweli wote. Mimi nadhan hata kituo chochote cha habar ingekuwa itv au azam bado taratibu zisipofuatwa lazma wangechukua...
  19. sixgates

    Mahojiano na Kafulila yafutwa Clouds TV

    By the way mimi nimeongea na Kija Yunus..producer wa icho kipindi.. nasikia yeye ndo alomleta Mh Kafulila, lakini hakuwa amteoa taarifa kwa program manager wa cloudtstv.. afu yule program manager akapost kwenye group la clouds kuhoji kwanini wagen kabla ya kuja taarifa hazitolewi sikuiz...
Back
Top Bottom